Wanaume wa kichaga

Wanaume wa kichaga

I see!
Huyu namvumilia tu maana namalizia ujenzi wa nyumba yangu niachane nae maana sidhani if i can spend the rest of my life with someone like this. Nitamchoka mapema sana.
Kama umezaa naye itabidi umzoee tu na kuendelea naye.
Kwenye mapenzi Kuna factors nyingi sana.
Inategemea umri wako upoje ukilinganisha na wake.
Mbali na umri inategemea priorities zenu ni nini ktk maisha,yaani inawezekana ww unawaza maisha ya anasa wakati mwenzako anawaza maendeleo ya miaka 5 au 10 ya badae.
Kwa hiyo Cha msingi ni kushirikishana mawazo yenu.
 
Hatimaye umetoa sababu ya kutaka kumuacha. Maana previous thread ulizunguka mbuyu haswaa..
Poleee. Mchangamshe wewe kama vipi. Au inawezekana humpendi tuu hata kwa kujilazimisha.
Huyu ni deal taker.... Angekuwa loyal to him yote hayo is just a peanut as long as they're well equipped on other angle.
 
Duuuh mnataka nini bibie? Do you think there is a perfectionism somewhere?

relax no one is perfect my friend
Haya maisha jipende wewe kwanza inatosha
Back then when my cup was half ndio nilikuwa natoa story yangu hio
Now my cup is full and overflowing,yani nina mapenzi ya kutosha kujipenda mimi na kumpa mwenzangu bila kumdai
 
Ni wakimya jamani A)hawako romantic B)wanwaza hela C) ni wachukuliaji nyota na washirikina wanapenda sana kanisa hawakosi ili wapunguze dhambi.
Sio wanyimi niwatunzaji ila sio wote hwajui mambo ila kaa ujue wanapenda biriani sana ndio maana asilimia nyingi wameoa wazungu.
Nawaogopaga sana kudate now baada yakuwajua tabia zao.
How did you come up on superstition weighing? Are you victim? And how did you sum up that all are on such way?
 
Habari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all

Kuulizia ulizia hapa na pale story zikawa ni hizo hizo tu.
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
Sielewi huwa mnatakaga nini wanawake, huwa nachukizwa sana kuona kwenye jamii kuna mwanamke anawapotosha wenzake, jifunze kutoka kwangu ni hivi ukiona Mwanaume akijali familia yako, anatoa hela za matumizi anakujali wewe na ndugu zako hayo ndiyo mambo ya msingi sana kwenye mahusiano yoyote, ...jambo la kutokukufikisha kileleni ni mambo mnaweza kujadili na mkafundishana pasipo kumuumiza hisia za mume wako,mambo ya kutokua romantic pia mnafundishana kwa upendo sio kujifanya unayajua mapenzi sana...,sasa ukisema utafute mchumba mwingine kila mchumba atakua na mapungufu yake huoni unaanza kuwa na kaumalaya utatembea na wangapi, unaweza mpata aliekua romantic lakini hana hela hakuna mkamilifu siku ya mwisho utakua unatangatanga tu
 
tatizo unataka mapenzi ya tamthiliya na kuskia kw watu.. ukitaka enjoy hayo tafuta vijana wa kazikaz dar Marioo..
Tatizo anajichanganya sana huyu mwanamama, hajui analosimamia ni lipi maana katika maisha ya sasa you choose between the 2:
-Pesa
-Mapenzi

Kila moja linakuja na package yake, ila ukijua unataka nini ndio itakusaidia kuwa basis ya selection au choice yako.

Pesa ikiwa nyingi asilimia kubwa ya vidume uaminifu huwa 1% na muda na madoido mapenzi (sex and romance) 9% hizo asilimia 90% zinazobakia ni kusaka dough,maendeleo na starehe binafsi.

Mapenzi yalipo basi ujue muda, care, uaminifu na madoido ya mapenzi (sex and romance) ni 90% ila asilimia iliobaki itakuwa pesa ni 10%. Hapo mapenzi utayapata ya hela yote mahaba ya kihindi ndio usiseme na kupigwa mkuyenge wa uhakika ila kwenye pesa ndio itabidi zitumike zako zaidi hasa kwenye strategic plans (kujenga, kusomesha, biashara) maana yeye mchango wake kiuchumi unakuwa ni mdogo sana.


Sasa huyu binti anaejinadi ana hela sioni ugumu wa kujitaftia wanaume wa kundi linalomfaa. Sielewi anakwama wapi maana wazee wa kazi wapo wengi sana sikuhizi msingi kiuno. Wanawake wanaojiweza kiuchumi wanajichukulia nakala zao tu mjini wanapata wanachokihitaji katika mahusiano wanatulia zao kimya.
 
relax no one is perfect my friend
Haya maisha jipende wewe kwanza inatosha
Back then when my cup was half ndio nilikuwa natoa story yangu hio
Now my cup is full and overflowing,yani nina mapenzi ya kutosha kujipenda mimi na kumpa mwenzangu bila kumdai
Usiwaangalie wenzio kwa short sighted (myopia) sasa kama unaamini no one is perfect.. And BTW your flooded just stay on your lane.
 
Kadri siku zinavyosogea wachaga tunazidi kuchukiwa ::: aise

Mchaga Sheria Kwetu

Kimoja Kinatosha
Sio kwa mchaga tu sahivi jamii imechafukwa, hamna mambo ya kizamani. Vipaumbele ni aidha mtu anataka pesa au mapenzi na si kwa wachaga tu. Wanaume wote wana exercise hii notion.

-Anaetaka mapenzi wapo watu wa hio biashara watamingle freshi tu na kumjaza kimapenzi.

-Anaehitaji pesa wapo watu watakaomfaa na kumfurahisha na pesa.

Ishu inakuja ambapo hawezi kupata vyote sehemu moja lazma vizidiane tu. So lazma mtu awe na kipaumbele chake maishani.
 
Back
Top Bottom