Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,468
- 16,168
Kuna sister mmoja alikuwa na wa kutoka hukohuko ilikuwa ni kumboost na ule uji wa Mbegeee yani ni goigoi kn kondoo!!Pesa kwangu sio tatizo maana hata mimi najua kuzitafuta, nahitaji mwanaume wa kufurahi nikiwa nae.

