Wanaume wa kichaga

Wanaume wa kichaga

Vipi huko facebook ushauza sana eeh hadi unalijua soko lake? Naona sasa umeamua kuuza jf, kwa majibu yako ya kichoko najua tu utajibu nini.
Dah, nimecheka sana, yaani kujibizana na watoto raha sana, moja kwa moja unajuwa anachoenda kujibu.

Wewe kama c mtoto bac ni malaya asiye na akili.

Jibu lako nalijua, nasubiri kuhakikisha
 
Mchagga akishapata pesa atachukua mwanamke yoyote kwa jeuri yake ila wewe kama unataka uzungu katafute wazungu kwanini ulalamike huku umeng'ang'ana hapo hapo?
Hakuna alielalamika wala kung'ang'ana
Namueleza mtoa mada hali halisi ya wachaga
Jeuri yenu ndo hio ni kushinda baa kwa wingi

Kando ya hapo wako bize na pesa
 
Ubaya ni kuwa licha ya kufanya yote unaweza ukaonekana kolo tu
Mambo mabaya hutokea kwa watu wema sometimes, na haimaanishi haupaswi kuwa mwema. Yupo atakae appreciate.
Ndio maana huyu nataka nimuache ili ampate atakaeendana nae.
 
tatizo unataka mapenzi ya tamthiliya na kuskia kw watu.. ukitaka enjoy hayo tafuta vijana wa kazikaz dar Marioo..
Mnakuza sana mambo na kufanya mapenzi yaonekane ni mzigo ambao mtu anaubeba kwenda nao kazini. Little things matter the most, hayahitaji kiasi kikubwa cha pesa wala muda mwiiiingi. Unayafanya na bado unafanya mambo mengine kwa nafasi vizuri tu.
 
Dah, nimecheka sana, yaani kujibizana na watoto raha sana, moja kwa moja unajuwa anachoenda kujibu.
Wewe kama c mtoto bac ni malaya asiye na akili.
Jibu lako nalijua, nasubiri kuhakikisha
Kujibizana na machoko ni kazi sana, vinajichekesha chekesha tu. Umalaya umeumaliza fb umeamia jf sasa.

Nasubiri jibu.
 
Habari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all😤😤

Kuulizia ulizia hapa na pale story zikawa ni hizo hizo tu.
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
Ni wakimya jamani A)hawako romantic B)wanwaza hela C) ni wachukuliaji nyota na washirikina wanapenda sana kanisa hawakosi ili wapunguze dhambi.
Sio wanyimi niwatunzaji ila sio wote hwajui mambo ila kaa ujue wanapenda biriani sana ndio maana asilimia nyingi wameoa wazungu.
Nawaogopaga sana kudate now baada yakuwajua tabia zao.
 
Back
Top Bottom