Kwanini huyu dada anapenda kutuchafua wanaume wa hapa mjini kwenye mtandao wake?


C.T.U

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Messages
4,785
Likes
1,366
Points
280
C.T.U

C.T.U

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2011
4,785 1,366 280
ALIANZA NA JAMAA ANYEITWA KIM KUMCHAFUA MZIGO ULIKUWA KAMA HIVI

Bi. Mwele Malechela,Najua utashangaa sana kuusoma huu ujumbe. Usishangae mshukuru Mungu kwa kuzipata taarifa hizi. Nimeona njia nzuri kukupatia ni kukueleza ukweli kwa njia hii kuhusu mtu unayejihusisha naye sasa hivi anayejiita Kim. Majina yake halisi ni Kimbangambanga Julius Mgaya.

Jamaa ni mtu mbaya na hatari sana. Wewe ni mtu mwenye heshima mbele ya jamii na mkubwa sana kiumri kujihusisha kimapenzi na Kim. Waswahili wanasema mapenzi hayachagui ni sawa isipokuwa tabia mbaya za mtu huyo ndio tatizo. Jamaa ameshatapeli sana hapa mjini na kuwarubuni wanawake wengi wenye nafasi zao kimapenzi na mwisho wa siku anawatapeli na kuwachuna mali zao.

Kim anafahamika sana hapa mjini kwa kuishi maisha ya kitapeli, utasikia hadithi nyingi kuwa yupo bize ana mikutano hadi usiku na wafanyabiashara au viongozi wa serikali kumbe ni uongo, hiyo ni kutaka kujionyesha kwa watu kuwa ni mtu muhimu na wa maana. Safari nyingi anazofanya ndani na nje ya nchi ni za kitapeli. Ana wanawake anaowachuna wapo Marekani na UK.

Maisha yake yote ni utapeli na kupitia wanawake wenye nyadhifa au wafanyabiashara wakubwa. Kinachomsaidia ni utanashati wake wanawake humnunulia vitu vya thamani. Kim amesoma hadi kidato cha nne tu hana cheti chochote zaidi ya hapo. Kim anajifanya ni mbia kwenye biashara kubwa kubwa hapa mjini akijichanganya na wahindi na viongozi wakubwa.

Ukweli ni kwamba hana kitu na yeye ni kishoka tu anawahangaikia watu mahali walipokwama na yeye analipwa kamisheni yake. Anatangaza mjini kuwa majengo yaliyobomolewa kule Masaki ni yakwake, kumbe ni ya mfanyabiashara mwenye asili ya kihindi. Anasema anamiliki hoteli Arusha inayoitwa Snowcrest, ukweli ni kwamba hoteli hiyo inamilikiwa na kijana wa kichaga anayeitwa Willy pamoja na dada yake anayeitwa Theo.

Kujihusisha kwa Kim kwenye hoteli hiyo ni kwa ajili ya kutafuta biashara na uurafiki wake na mmiliki wa hoteli hiyo lakini amekuwa anajifanya ni mali yake.Mama yangu Mwele, nakueleza mambo ya Kim ili usiingie kwenye mtego wake. Anakuhadaa ili mbadilishane magari, usithubutu. Kwa muda sasa amekuwa akikushawishi umpe gari lako nayeye akupe gari lake aina ya Benz .

Benz hilo alikuwa amelipaki muda mrefu bila kulitembeza, sio la kwake. Benz lina kesi maana alimdhurumu mwanamke mmoja na sasa mwenyewe amechachamaa analitaka gari lake. Sasa kuziba kasheshe hilo anataka kukuingiza wewe mkenge ili yeye ajitoe. Mama chukua tahadhali bado mapema. Kim anapenda sana kubadilisha magari lakini yasikubabaishe, yote unayoyaona sio mali yake ni ya kutaperi na kubadilishana na watu kama anavyotaka kukufanyia.

Alishawahi kuwa na gari aina ya Hammer lakini halikuwa la kwake, alimtapeli mwanamke Zanzibar mwenyewe husema kwa watu kuwa ameliuza. Alichukua magari mawili kwa Chikawe yule waziri wa sheria mojawapo ni BMW X5 ya rangi ya kibluu hadi leo hajamrudishia na anajizungusha nayo.Chikawe anamuonea aibu kumdai kwa kuwa alimsaidia kumtafutia nyumba binti yake.

Kim alivyo sasa hivi ana mahusiano ya kimapenzi na binti huyo wa Chikawe anayeitwa Tamika ameolewa na mzungu lakini utafikiri Kim ndio mume wake alivyomganda. Kim alikuwa na magari mengine Suzuki Grand na Mitsubishi ambazo si mali yake. Magari hayo kabla ya kunyang’anywa na mwenye mali alimtapeli mama mmoja anayefanya kazi shirika la nyumba NHC, ofisi yake ipo Msasani.

Mama huyo mtu mzima aliingizwa mkenge na Kim baada ya kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi. Na kwa kuwa mama huyo anafanya kazi NHC alimsaidia Kim kuipata nyumba ya nationa house anayoishi sasa Kim Chang’ombe. Nyumba hiyo aliipata kitapeli kwa msaada wa huyo mama, wakaibomoa na kujenga nyumba nyingine kubwa ambayo ndio anaishi Kim sasa hivi. Huyo mama aliyafanya yote hayo akijua kuwa wataishi na Kim kama mume na mke.

Nyumba ilipoisha Kim hakumjali tena huyo mama jambo lililomfanya mama wa watu ajue kuwa ametaperiwa na kumyang’anya magari yake mawili Suzuki Grand na Mitsubishi. Hivi sasa mama wa watu yupo mbioni kuikomboa nyumba hiyo ya Chang’ombe maana kaijenga kwa jasho lake. Kuna gari nyingine tena saloon Progress ambayo nayo haikuwa yakwake. Gari hiyo alimtapeli dada mmoja anayeitwa Lucy ambaye ameolewa na Mkorea wanamiliki kampuni inayoitwa TAKAOKA.

Kama kawaida yake Kim alianzisha uhusiano wa kimapenzi na dada huyo huku akimshawishi wafungue kampuni. Lucy alimpa pesa nyingi Kim, gari na jenereta kubwa lilifungwa kwenye nyumba ya Kim huko Chang’ombe. Lucy alipomshtukia Kim akachachamaa na kumnyang’anya gari na jenereta, hataki hata kumsikia Kim. Mama Mwele ona mifano ya wenzio.Tabia nyinginewe ya Kim ni umalaya. Kila mwanamke anataka kulala naye, wengi anawaahidi kuwaoa na hata kuwavisha pete.

Anatumia mbinu hiyo chafu ili kuwanasa nyie dada zetu akishapata anachokitaka anatafuta pengine pa kuchuna. Kuna mwanamke aliyezaa naye Zanzibar, baada ya kukorofishana aliondoka na mtoto wake. Sasa hivi amezaa mtoto wa kiume na mwanamke mwingine polisi traffic anayeitwa Shufaa anakaa Ukonga. Mwanamke mwingine yupo benki ya NBC, kuna mwingine naye anaishi Kibangu ni vurugu tupu. Kuna wanawake wawili ambao ana mahusiano nao bila wao kujijua wanafanya kazi Ifakara health institute.

Mmoja wao anaitwa Rahima Dosa ambaye naye kama walivyo wengine amemtolea posa baada ya mdosi kuona Kim anamzingua. Rahima ameapiza kuwa hawezi kumuacha Kim vinginevyo atamuua kwa kua ameshampotezea muda wake mwingi. Wakati huo huo ana mahusiano ya kimapenzi na wanawake wengi nitakutajia wachache ninaowafahamu na ambao Kim ameshanitambulisha nao akina Premi Kibanga yupo ikulu ni mwanamke wake wa muda mrefu, Sofia, Badra Masud wa TANESCO, Justina Shauri, Shina Sanare, Batilda Buriani balozi wa Kenya ambaye alikuwa mbunge zamani, Grace, Mange Kimambi na mama yake Rose Kimambi ambao wote amelala nao na wengineo.

Arusha pia ana wanawake wawili ninaowafahamu mmoja nafanya kazi kwenye hoteli moja maarufu na mwingine anafanya kazi BOT Arusha.Kwanini nimesukumwa kukujulisha tabia za Kim, pamoja na udhaifu wetu wanaume ni kitendo kibaya kuwachanganya wanawake wanaofahamiana au ndugu. Sijuwi mlikutana wapi na Kim lakini kabla hujaanza kuwa karibu naye aliwahi kuwa na mahusiano na dada mmoja ambaye sitakutajia ni wa familia yenu alianzisha uhusiano naye wa kimapenzi akamwambia anataka kumuoa, dada huyo akapata mimba.

Kim akamwambia aitoe mimba dada huyo akakataa kuitoa. Kim kwa siri alitafuta dawa na kumpa binti atumie akimdanganya kuwa ni za vitamin zisaidie kukuza mimba hiyo. Dada huyo kwa mapenzi alitumia dawa hizo na akaanza kuumwa tumbo na damu kumtoka, alipoenda hospitali aliulizwa ametumia nini naye akaonyesha dawa alizopewa na Kim kumbe hakupaswa kuzitumia kabisa katika ujauzito na mimba ilitoka.

Dada huyo si mbali na familia yako lakini jamaa haoni vibaya anachotaka ni kuvuna. Huyo si mwanaume mama achana naye atakuliza. Kibaya zaidi tabia ya umalaya haogopi hata magonjwa wala hajifunzi maana mfano mzuri ni watu wake wa karibu ambao ni wazazi wake walitangulia mbele za haki kutokana na ugonjwa wa ukimwi lakini yeye hajali.Sasa hivi kuna watu wanajiandaa kumfungulia mashitaka ya utapeli na kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu. Amewaliza wengi na watu wana visasi naye.

Kwa kupenda maisha ya juu ametengeneza maadui kuliko marafiki na amekuwa anaishi maisha ya kujifichaficha. Kim hana mwisho mzuri. Jihadhari sana na Kim anapenda sana ushirikina na waganga wa kienyeji. Anatumia waganga wengi kutoka Bagamoyo, Zanzibar na Iringa. Na utapeli wake ni wa kutumia dawa kuwafunga watu wanaomdai na kuwapumbaza wenye pesa zao ili wasimshtukie. Mwaka jana mwanzoni kuna taarifa zake zilitoka kwenye vyombo vya habari na magazetini zikitahadharisha watu kukaa mbali na Kim.

Habari hizo zilitumwa kwenya vyombo vyote vya habari pamoja na picha yake. Habari hizo naziunganisha hapa chini ili usome kama hukubahatika kuzisoma mwaka jana. Ningeweza kukueleza mengi kuhusu Kim ni aibu kwa haya machache huenda ikasaidia kukufungua macho. Jamii inakuheshimu sana na ndicho kilichoniumiza na nikaamini humjuwi vizuri Kim.

Akaja kwa mheshimiwa magai
, March 21, 2009
MHESHIMIWA MAGAI ATUNDIKWA MAHAKAMANI !

Na BETH MWALUSAKO Dar es Salaam, March 16, 2009.-A PROMINENT Dar es Salaam lawyer has found himself dragged to court as defendant in a civil suit where the plaintiff is demanding over 150m/- in damages for alleged assault in a public place.

The plaintiff in the case is one Ms Mange Kimambi, and the defendant is none other than-Sadock Dotto Magai-of the leading private law firm Ishengoma, Masha, Mujulizi and Magai (IMMMA) Advocates.Through her own lawyers Tenga and Partners Advocates, Ms Kimambi yesterday filed a suit at the High Court in the city, demanding payment by Magai of specific damages of 1,575,000/- and $24,120, plus general damages of 135m/-, plus costs of the suit and any other relief the court may grant.

The damages claim arises from an allegation of ’tortuous act of assault’ by Magai during an evening function at the Kilimanjaro Kempinski Hotel in the city last Sunday (March 15), which is alleged to have caused her ’’humiliation, injury, embarrassment, loss of dignity, and property.’’According to the plaint, on the day of the incident she was attending a party at the hotel, sharing a table with some friends.

It was during the party that Magai, whom she said she had known for some years, is alleged to have approached their table and began causing a fracas of sorts.The plaintiff said later, Magai started shouting loudly at her ’’for no apparent reason’’, insisting that she leave the room.When she did not heed to the demand, he is said to have then decided to attack her, calling her insulting names, grabbing her blouse and forcefully pulling the plaintiff back and forth.

This, according to Ms Kimambi, caused one of her breasts to pop out of her bra and become fully exposed, also causing her to suffer great pain from a big scar on her breast resulting from a previous operation she had.The fracas is said to have lasted for about four minutes, until one of the plaintiff’s friends and some other eyewitnesses apparently pleaded with the defendant to let her go, which he is said to have done with a forcible final push.

According to the plaint, the incident caused Ms Kimambi to suffer a lot of damages caused directly by the advocate by injuring her in person and her reputation, humiliating her, injuring her feelings and causing her to be ridicule by her colleagues and her prospective business clients.She thus claims that she should be paid $7,000 as costs of redoing the operation on the injured breast at a hospital in Dubai; $1,600 as costs for Dar-Dubai-Dar return air tickets for her and her attendant; $700 for costs of staying in hospital for at least one week; and $7,000 for two weeks’ stay at a hotel for her and three weeks for her attendant.

She also claims payment of another 150,000/- being costs for lost jewelery; $7,000 and 75,000/-being cash money that she was carrying in her handbag; and another $ 820 for a mobile iphone 3G she also claims to have lost that night.She is furthermore demanding payment of general damages for loss of reputation as an unmarried Muslim girl, plus loss of reputation for her business; damages of humiliation, physical pain, injury of feelings, ridicule and loss of business.The case is now awaiting the fixing of a mention date as well as the assignment of a High Court judge to preside over it.

Baada ya msiba wa kanumba akamchafua ray
Kwenye sentensi nyingine, Ray ameamplfy kwamba “kwa hiyo anataka kuwadhihirishia watanzania kwamba Ray ndio anahusika na hicho kifo, baada ya hilo nimeshirikiana na polisi na kushitaki na kufungua kesi ambapo hivi sasa ninapozungumza yupo polisi Osterbay akihojiwa kwa sababu ameandika kitu ambacho bado kipo ndani ya uchunguzi, hana uhakika nacho sijui Luli amekamatwa Coco Beach which is not true, sijui hizi habari kaipata wapi”

Akamchafua na bwama wake cynthia masasi kipindi fulani na sio hao tu
Wamo pia kina
Ray wa legency hotel (kuhusu maumbile yake ya kiume)
Diamond( kuhusu na maumbile yake ya kiume)
List ni ndefu ila swali langu kwanini awachafue watu hivi yeye ni nani?

Yuko safi sana?
Sheria ya kumfungulia kesi mtu aliyekuchafua mtandaoni ikoje?
 
Mwanahisa

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Messages
1,395
Likes
33
Points
135
Mwanahisa

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2012
1,395 33 135
Its fascinating if not terrorizing?
Kwa mtiririko huu Kim alishamliza mwandishi. Poleni jamani mjini chuo kikuu mahafali unachagua mwenyewe.
 
N

NEPTUNE

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Messages
546
Likes
173
Points
60
Age
50
N

NEPTUNE

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2013
546 173 60
Maadili kumbe ni tatizo kubwa kiasi hiki.
 
Ndibalema

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Messages
10,949
Likes
246
Points
160
Ndibalema

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2008
10,949 246 160
Hiyo ya kim ilishabandikwa humu.
 
Titans

Titans

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Messages
1,321
Likes
2,706
Points
280
Titans

Titans

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2010
1,321 2,706 280
mmh...jamaa anapiga si mchezo...hivi watu hawaogopi ngoma??
 
Monyiaichi

Monyiaichi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Messages
1,826
Likes
113
Points
160
Age
62
Monyiaichi

Monyiaichi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2012
1,826 113 160
una roho nzuri c.t.u, lakini mbona umempendelea tu mwele peke yake? si hata hao wengine nao ungewastua? au hao wengine huwajui vizuri? ila umemwaga story mwanawane, ngoja tuone kama kuna mtu mwingine anamjua huyo kim tuzidi kuthibitisha, ila nakushauri kitu kimoja, umesema kim ni mshirikina anaewafunga wale wote anaowatapeli. huoni kwamba inabidi ukamzindue mwele? pengine kaishamkamata ufahamu asiweze kukuelewa.
 
M

my web

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Messages
1,594
Likes
2
Points
0
Age
33
M

my web

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2012
1,594 2 0
kazi kwel kwel .waheshimiwa kibao hapo
 
muonamambo

muonamambo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Messages
778
Likes
65
Points
45
muonamambo

muonamambo

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2010
778 65 45
tuwekee picha ya kim....
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
31,004
Likes
6,451
Points
280
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
31,004 6,451 280
mleta mada unamzungumzia nani
 
babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Messages
5,572
Likes
2,093
Points
280
babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2009
5,572 2,093 280
Hii mada sio c.t.u.alioiandika yeye kaileta tu humu.na ilishakuwepo pia hapa siku nyingi
 
Githeri

Githeri

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
819
Likes
13
Points
35
Githeri

Githeri

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
819 13 35
Naona watu hawajakuelewa mleta uzi. Nafikiri anamzungumzia dada flani anayechafua eti wanaume. Hiyo ya KIM Ni moja kati ya alizotiririsha. Swali kwanini anawaandika mitandaoni? Labda wajirekebishe tabia.
 
A

ADK

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2012
Messages
1,450
Likes
329
Points
180
A

ADK

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2012
1,450 329 180
Jamanie mapenzi ni makubaliano ya watu wawili. Swala la kupeana mali ni jingine. Yeye huyo kamuona kim kuwapitia madem kibao imekuwa ishu mbona machangu kwa siku anasex na watu zaidi ya kumi kwa siku jf? Hilo halioni kuwa nijanga zaidi?
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
31,904
Likes
5,265
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
31,904 5,265 280
duh.... mi'binafsi nitamuEliza Kim, kwakuwa tunaiva kimtindo.... nisikie atasemaje na anachukuliaje masuala haya ..
 
papaa masikini

papaa masikini

Senior Member
Joined
Mar 5, 2011
Messages
171
Likes
17
Points
35
papaa masikini

papaa masikini

Senior Member
Joined Mar 5, 2011
171 17 35
Mkuu una roho ya kimungu aliyokujalia yakutoa ushauri na tahadhari,ila sasa changamoto kwa hao dada zetu ambao 92% huwa wanawaamini sana wanaume wa style kama ya Kim,na mwisho wake hufanywa sexy toy,kutapeliwa nakuachwa!
Pole kwa hao waliyokwisha ingizwa mkenge na watakao fuatia!
 
mhalisi

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Messages
1,181
Likes
19
Points
0
mhalisi

mhalisi

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2011
1,181 19 0
mama Batilda Buriani naye yupo kwenye list chafu! kweli nchi imekosa viongozi wenye maadili!
 
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,615
Likes
12,214
Points
280
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,615 12,214 280
Weka ya Mziray mi naitafuta mda mrefu, ilinipitaga!
 
bucho

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Messages
4,814
Likes
1,024
Points
280
bucho

bucho

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2010
4,814 1,024 280
huyu jamaa anawavuna wananchi wenzetu kweli.
 

Forum statistics

Threads 1,262,329
Members 485,560
Posts 30,120,686