Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,075
- 111,665
Dada jaribu kujibu kwa busara kama ulivyojibu hapa, nmesoma comments zako zote majibu yako ni ya hovyo mno jaribu kubalance majibu yako kuna watu wanachangia vzuri kwa ustaarabu lakini unavyojibu kwa dharau/kejeli yani kama vita vile..Mambo mabaya hutokea kwa watu wema sometimes, na haimaanishi haupaswi kuwa mwema. Yupo atakae appreciate.
Ndio maana huyu nataka nimuache ili ampate atakaeendana nae.
Nb: To every general rule there is an exception.


