Sielewi huwa mnatakaga nini wanawake, huwa nachukizwa sana kuona kwenye jamii kuna mwanamke anawapotosha wenzake, jifunze kutoka kwangu ni hivi ukiona Mwanaume akijali familia yako, anatoa hela za matumizi anakujali wewe na ndugu zako hayo ndiyo mambo ya msingi sana kwenye mahusiano yoyote, ...jambo la kutokukufikisha kileleni ni mambo mnaweza kujadili na mkafundishana pasipo kumuumiza hisia za mume wako,mambo ya kutokua romantic pia mnafundishana kwa upendo sio kujifanya unayajua mapenzi sana...,sasa ukisema utafute mchumba mwingine kila mchumba atakua na mapungufu yake huoni unaanza kuwa na kaumalaya utatembea na wangapi, unaweza mpata aliekua romantic lakini hana hela hakuna mkamilifu siku ya mwisho utakua unatangatanga tu