Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,146
- 190,618
Eeh manka jmnManka bhanaaaa sio Mangi.![]()
Eeh manka jmnManka bhanaaaa sio Mangi.![]()
Wewe ni kabila gani?Habari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all😤😤
Kuulizia ulizia hapa na pale story zikawa ni hizo hizo tu.
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
Njoo kwangu mama achana nae uyo ,mi Nina ubunifu mpya kila siku so utaenjoy.ila sina hela Mimi... Tutatumia zako kwanza
Yes i am a victim of them.How did you come up on superstition weighing? Are you victim? And how did you sum up that all are on such way?
anajenga nduguyo huyoUliingiaje kwny mahusiano wkt humpendi?..
Anakupenda?
Hahah kilichonifurahisha ni aliekupa like ya swali lako
Jibu mbona nilijibu vizuri tu
Kwa maelezo yake tuu ndoivo yani. Mara nyumba iishe mara nini..maslahi mbele.Huyu ni deal taker.... Angekuwa loyal to him yote hayo is just a peanut as long as they're well equipped on other angle.
Am acquaintance on this case... Am always chill out...Mbona upo na hormones hivyo!?5G na we ni mchaga nini?
Relax!!!
Kabla ya kukutaka radhi kwanza inabidi unifahamishe Namtumbo mlifuata kitu gani Cha muhimu?Tutake radhi mkuu
Haswaaa.... HorrificKwa maelezo yake tuu ndoivo yani. Mara nyumba iishe mara nini..maslahi mbele.
Kwa maana kwamba akimuacha mapema cost za kodi na mambo mengine yatamlemea mleta mada mwenyewe.. poor chagga brother.

Victim on superstition other impairments?Yes i am a victim of them.
Tukutane kwenye b/s
Leo pepsi big itahusikaHallelujah![]()
Huo us..nge sijui wakuwa fun na makorokoro kibao kawatafuteni machoko wa pwani huko n.k
Sisi tupige tako mbili tatu wazungu hawa hapa..tunaendelea na mbishe nyingine,ukitaka kaliwe nje huko chiu si wako
Habari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all
Kuulizia ulizia hapa na pale story zikawa ni hizo hizo tu.
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.

huyo anaekenua sio mwanaume, yani umpige singi acheke et jentromenukijaribu kwangu naweza nikakupandia mgomba
Kabla ya kukutaka radhi kwanza inabidi unifahamishe Namtumbo mlifuata kitu gani Cha muhimu?
Ndio unataka kusema akina manka hamuonji onji?Unajua ili useme chakula hiki ni kibaya ni lazima umeshawahi kula chakula kitamu. Hauwezi kusema chakula ni kibaya huku haujui kitamu kipoje.
Hauwezi kusema mwanaume huyu amepooza, au hajui mapenzi kama haujawahi kuwa kwenye mahusiano na watu kadhaa ukaona utofauti.
Wanaoweza ni kwa sababu wanaume wao hao hao ndiyo waliowafundisha mapenzi yaani wameanza nao na wanaendelea nao. Huwa hawaonji nje ili kufananisha kama ladha ni tofauti au lah ndiyo maana tunaweza.
Wasio weza ni wale ambao wameshaonja ladha mbali mbali. Ni sawa na mtu anasema mtu ana kibamia, hawezi kusema hivyo kama hajawahi kukutana na kubwa. Lakini tungekuwa tunatulia kwenye mahusiano haya mambo ya kufananisha fananisha na kugundua kasoro za mwenzako yasingekuwepo.
Mpumbavu hujibiwa kwa kadri ya upumbavu wake.Dada jaribu kujibu kwa busara kama ulivyojibu hapa, nmesoma comments zako zote majibu yako ni ya hovyo mno jaribu kubalance majibu yako kuna watu wanachangia vzuri kwa ustaarabu lakini unavyojibu kwa dharau/kejeli yani kama vita vile..
Nb: To every general rule there is an exception.