Wanaume wa kichaga

Wanaume wa kichaga

Ukishaona demu umemuoa sio bikra changamoto kama hizi hazikwepeki. Unagegeda kumbe mtu anawaza mb.o ya Mzee toboa ilikuwa kubwa zaidi hii ni ndogo. Mzee toboa alikuwa ananitekenya huku na huku huyu hafanyi.
Upumbavu tuu mkuu na bila aibu mwanamke analia mtandaoni mume wake hajui mapenzi. Maadili zero.
 
Yes wachaga wanajal family sana,bora kuolewa na mtu hayuko romantic ila majukumu yake kama baba na kichwa cha family anayajua na anayabeba vema
Mwache huyo ukadate wanaotaka kutunzwa wao na watoto mtakao zaa ndipo utajuta
Ndoa sio kuhave fun na kuwa romantic all the time,it's more than that
Mweh mi najali hisia Kwanza, Kama mtu hanisisimui sijisumbui kuwa nae, tusije tafutiana lawama bure
 
My sis unachopitia ni ukweli,Mimi nilipiga goti nikaomba Mungu sitaki tena mchaga maana ilikuwa ni serial dating ya chagas ilikuwa inatokea tu
Wakaka wazuri kwelikweli aisee hatarii lakini mambo mengine kidogo wanapwaya
Labda huyu mchaga mmoja wa old moshi alikaa nje kwa muda huyu alikuwa na uzungu uzungu wa kuletewa maua,visuprise,outings,kubebewa handbag etc lakini bado alikuwa na uchaga
Mchaga ni mchaga ila nawasifu wanajali familia zao
Duuuh mnataka nini bibie? Do you think there is a perfectionism somewhere?
 
Ukishaona demu umemuoa sio bikra changamoto kama hizi hazikwepeki. Unagegeda kumbe mtu anawaza mb.o ya Mzee toboa ilikuwa kubwa zaidi hii ni ndogo. Mzee toboa alikuwa ananitekenya huku na huku huyu hafanyi.
Upumbavu tuu mkuu na bila aibu mwanamke analia mtandaoni mume wake hajui mapenzi. Maadili zero.
Zero brain kabisa 😂😂😂
 
Unajua ili useme chakula hiki ni kibaya ni lazima umeshawahi kula chakula kitamu. Hauwezi kusema chakula ni kibaya huku haujui kitamu kipoje.
Hauwezi kusema mwanaume huyu amepooza, au hajui mapenzi kama haujawahi kuwa kwenye mahusiano na watu kadhaa ukaona utofauti.

Wanaoweza ni kwa sababu wanaume wao hao hao ndiyo waliowafundisha mapenzi yaani wameanza nao na wanaendelea nao. Huwa hawaonji nje ili kufananisha kama ladha ni tofauti au lah ndiyo maana tunaweza.

Wasio weza ni wale ambao wameshaonja ladha mbali mbali. Ni sawa na mtu anasema mtu ana kibamia, hawezi kusema hivyo kama hajawahi kukutana na kubwa. Lakini tungekuwa tunatulia kwenye mahusiano haya mambo ya kufananisha fananisha na kugundua kasoro za mwenzako yasingekuwepo.
A word from horse's mouth...
 
Huko mwishoni nimewasifia nadhani familia ni kitu muhimu kuliko vitu vingine vidogo vidogo
Nimeona ofcourse mwanaume akijali familia yako mimi nahisi ndiyo jambo mntakiwa mjivunie...mambo ya kutokukufikisha kileleni ni mambo mnaweza kujadili na mkafundishana,mambo ya kutokua romantic pia mnafundishana kwa upendo sio kwa kumkosoa ,maisha yanakua mazuri tu, maana ukisema utafute mchumba mwingine kila mchumba atakua na mapungufu yake,utampata aliekua romantic lakini hana hela siku ya mwisho utamchukia
 
Back
Top Bottom