Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,988
Nenda kaedit fasta kabla marehemu babu yangu hajaisoma hii posti yako...... hapa bandani napoishi nimeotesha "isale" kabisa ili nisije nikabatizwa kabila jipya.... BTW pole kwa msiba wa mpiganaji wetu.... bado kama namuona vile. kila wakati nachkua simu nikitaka nimpigie ili nione kama ataitika lakini nasita.....
Acha tu kusema kiongozi, kifo si jambo geni lakini kila kikitokea hakizoeleki!!
Tumuenzi kwa kufanya yale aliyokuwa akiyapigania na kutekeleza, nadhani hilo tu ndilo tulilobaki nalo.