Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Nakwambia ilikua raha kupitiliza.Kumbe!! ndoo maana! Utakuwa uliifaidi sana busara za bibi.
Hawa jaamaa ambao hawaishi kutusakama wanajisumbua tu. Awali ni awali. Imetoka hiyo!
Hehehehe wanajaribu kukimbiza express train ambayo ilishaondoke stendi nusu saa iliyopita.