mhh h naguna kidogo maana hoja yako ni nzito.
hivi karibuni nimeshindwa kufahamu kama kuna watu hasa mijini bado wana hulka za makabila ukiacha majina tu.
hivi mtoto wa kichaga he/she amezaliwa mji tofauti na kwa bahati mbaya anapata kwenda bush kila baada ya miaka 5-7 akiwa mkubwa utamwita mwanaume/mwanamke wa kichaga.anajua nini huko?
katika mapenzi kujua au kutojua ni relevant na mpendwaji mwenyewe hivyo kwa akili yangu nadhani kuwa hakuna kabila ingeneral ambalo watu wake wanajua kupenda au hawajui kiujumla.ina tegemea umekutana naye kivipi?anakuchukuliaje au hakupendi wewe siyo kwamba hajui kupenda.