Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

Haki ya Mungu, huyu X-Girl Friend ni Mchokozi kabisaaa........................
 
Hivi wew..uliepost hii kitu..ndo unajua mapenzi sana au..
 
dah! Inanisikitisha sana kuona watu wanadisuss perfomance ya ngono ya kabila fulani,kwn mtoa mada hajui maana ya neno mpenzi.je,mapenzi ni ngono?tujadili mambo ya kujenga! Ngono co sifa ya kabila km ni sifa nitajie hilo kabila ili nami nipate jina la kuwapa
 
Mtoa mada kagonga sehemu mbaya, maana jinsi wenyewe walivyochachamaa!!!!
Kwa aina ya Thread za hapa haina tatizo sana sema tu baadhi ya watu wamekerwa
lakini sichangii kuhusu hilo nataka kujua vitu vitatu tu kutoka kwa mtoa mada
1.Wewe ni mpare? Kama sio
2.Wewe ni kabila gani?
3. Mpaka sasa ushafanya na wachaga wangapi?

Kama no.1 jibu ni ndiyo hayo yaliyobaki usijibu. Ahsante
 
dah! Inanisikitisha sana kuona watu wanadisuss perfomance ya ngono ya kabila fulani,kwn mtoa mada hajui maana ya neno mpenzi.je,mapenzi ni ngono?tujadili mambo ya kujenga! Ngono co sifa ya kabila km ni sifa nitajie hilo kabila ili nami nipate jina la kuwapa

Amekujibu huyu mleta uzi? inaelekea kwake ngono ndo kila kitu.
 
Dah! First of all im declaring conflict of interest. Mimi ni mchaga. Tena sijachanganya chochote. Nadhani watu hawajajua mapenzi ni nini na ngono ni nini. Ili useme mwanaume huyu anakupenda inabidi afanyeje? Nionavyo mimi ni yule anayekujali, kukutunza na kukuridhisha. Kwamba anakupa first opportunity in everything. He cares for what you eat, how and where you sleep. Na inapokuja on bed he is responsible as well. No where in records its shown chagga have failed to that. They are the best. Tofauti yetu na waswahili ni kuwa wakati wao wanawaza ngona toka asubuhi mpaka jioni sie twawaza maendeleo. Ngono si chakula ufanye daily. Lakini ni raha iliyoje kuwa na mwanamme wa kichaga ndani ya nyumba ya ukweli na jeep imepaki nje mkijivinjari ndan ya 6 kwa 6 kuliko kulala na mswahili saa tatu asubuhi juu ya mkeka kwenye nyumba ya makuti pasipo hata uhakika wa lunch?
 
Tena ili useme hawajui lazima uwe umelala nao si chini ya watano na wote wameprove failure! Sasa hapo tunajua wewe mtu wa aina gani. Lazima uliwakuta hao wachaga wako baa tena wamelewa tayari. They did you under influence of alcohol. To show how you are, you want us to prove! Lol! Such a nonsense!
 
what a confusion! Hawajui kutongoza, halafu tena hawajui mapenzi. Ilikuwa ukakubali wasiojua kutongoza? Maana kama kutongoza hajui inakuwaje anafika huko kunakomfanya aonekane hajui? Ustake kunambia wanawake wanakubali wachaga coz of pesa! Unatafuta kesi ya udhalilishaji
 
Ngono ki2 gan bhana!! Money counts and cash rules everything....kila asubuhi nikiamka natema mate pande zote nne za dunia kumshukuru MUNGU kwa kuniumba mchagga!period!!

hata mimi namshukuru mungu kwa kuniumba Mhehe, na kuwa na 'baba mkubwa' mwenye utajiri mkubwa sana Tanzania/ mmoja wa wafanyabishara wakubwa sana, ambae hivi majuzi amemwajiri MCHAGA kuwa mtunza wake wa fedha/mahesabu. Cash Rules Everything around him because of baba yangu mkubwa;
 
Here comes another PUMBA EXPRESS.

Achana na kaka, baba,wajomba, wadogo au WANAUME WETU kwa lugha nyingine. Kama akili yako inawaza ngono 24/7 tafuta wenzako (I guess hiyo yaweza kua sifa ya kabila lenu) mngonoke mpaka mchakazane miili. We Chagga ladies and lads have better things to worry ourselves with.

Halafu kutwa kulalamika uhusu Chaggaz...nani kawalazimisha wawafuate? Si hawajui kutongoza sasa wao ndio huwatongoza kisha kuja kulalamika.Waambie "get a life!"

 
fanya utafiti kidogo mtume mkeo au binti yako au dada yako kwa mwanaume wa kichagga halafu aje akisimulie habari yake ipoje
 
LIZZY na wachaga wenzio woote humu najua ukweli unauma ila mapenzi yote kwa ujumla ( si kungoneka tu) hamjui. Just recognize your deficiencies and find solutions

Kama hawajui..wewe na wenzio mlio wa sample mlishikiwa miguu?
Kwanini usibaki na kabila lako?
 
mmmh labda kuna ukweli ndani yake jamani, mwacheni mtoa mada afafanue, labda kuna yaliyomfika.....:shut-mouth:
 
Back
Top Bottom