Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

Bullshit!!! Kichwa cha habari 'mapenzi'. Content 'ngono'. Kwa ufahamu wako huo mfupi kama maisha ya funza. Unawezaje kunyanyuwa domo na kutuhukumu. I wish Jf could have a tab to slap m2.
 
kwa hiyo hapa unawazungumzia mpaka wale wachaga wanaume maarufu katika politics za chama fulani cha kaskazini mwa nchi?

Haya sasa, mwingine huyu;keshageuza mada lakini anaelekea kwa watu walewale!
Nimekumbuka sredi ya Mkandala ktk Jukwaa la Siasa.
 
mmh.......!!!???? hili balaa.......hapa wanaume wa kichaga......kule wanaume wanaoishi dar.......kwa hakika watu mmetoa madukuduku yenu rohoni.
 
kumbe kweli mzungu akiamka asubuhi anaweka mkono kichwani na kuwaza atafanya nn siku hiyo cha maana
mhindi akiamka anashika mfuko na kuwaza atapata wapi hela siku hiyo au ataingiza sh ngapi
lakini wabongo kama xgirlfriend anashika maziwa na k yake akiwaza nani atampa raha siku hiyo
kwa hivo simshangai na hii mada yake,alikoma na wachaga wakamwacha patupu.
 
Kudadadeki!!We dada taratibuee!NKiki ukundi!!Che kingibhesa!!
 
to me their my favorite
maisha sio ngono tu,kuna starehe nyingi
ngono inaaply kwa % chache
kuna starehe nyingi,kunywa mvinyo,kuwatch movie,kuchatchat nk
so kwangu mimi sijali kungonoka
i love u chagas

Nini haswa kinawafanya wawe wateule? kwani hizo starehe zinapatikana pia kwa wanaume wahehe, wagogo, n.k.
 
Alikukunja nn, njo kwangu km ujakimbia ukahacha ch**p na ni mchaga wa rombo mashati ni pm 4n namba yako, u prove failure ya ulichokisema!
 
ni kabila teule tanzania wapo juu

Apart from the Sukuma and Nyamwezi who make up 13% of the Tanzania, The Chaga follows, they made up 5% of the Tanzania and you will find them in all aspects of life (doctors, nursese, soldiers, lawyers, professors, traders, bankers, politicians, e.t.c).

Kwa kweli, wako jii
 
We are extremely best in any field (untouchable), and we are very happy your struggling to find our weakness but you will always get nothing toka nipo shule alikuwa akihamia dada mweupe mzuri, anayejiamini jamaa walikuwa wanaanza kupredict lazima atakuwa mchaga, kwa dada zetu hakika mmeshindwa kutoa udhaifu wa kweli, sasa mmeanza kwa makaka haya twende tuone mwisho itakuwaje.
 
Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo lakini kwenye mapenzi ni 0, hata kutongoza wengi wao hawajui wanajua kuhonga tu, na wanawake wanawakubali sababu wanapewa matumizi yakutosha ila wengi wa wake zao au magirl friend zao wana wanaume wapembeni wa kuwaridhisha kimapenzi. USIBISHE FANYA UTAFITI

Me ni mchaga, kwa jinsi ulivyotudhalilisha hebu ni inbox kama wewe ni mdada, and i will prove u wrong, na ndo utajua sio wote
 
Wachaga wanatisha...wake kwa waume....wako juu....

😛oaNampa credit mtoa thread kwa sifa moja tuu aliyowatunuku wachaga. :tea:
nanukuhu "Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo" baada ya kunukuhu napata ujasiri wa kwenda mbali zaidi na kusema kwamba akili zao wamezielekeza zaidi kwenye kutafuta hela na sio kwenye ngono.....ngono ni kitu kingine cha ziada na hawafanyi kwa mashindano au kukomoa K bali kwa starehe na pale muda unaporuhusu tena kwa ufanisi na ujuzi wa kiwango cha juu sana:A S-coffee:
 
ilikuwa "wanawake wa kichaga wazuri kwa sura na hawajui Mapenzi",
zoezi limegeuka! naona sana ni wanaume wa kichaga! jamani hizi topic kuhusu wachaga hapa JF zimekuwa nyingi mno!
inaboa sasa!

yeah kwa kweli it's boring...; but assuming mtoa mada yuko right, hivi wakikutana mwanaume na mwanamke wa kichaga shughuli inakuwaje hapo?
 
Vibinti vilivozoea kusuguliwa tangu vikiwa nasare skuli, akili zao zinafikiria ngono tu! Hayo mashimo yangekuwa yanajaa ingesaidia sana kupunguza haya masredi upupu..... CRAP at its best

Nakuunga mkono mkuu tabu tup
 
Ngono ki2 gan bhana!! Money counts and cash rules everything....kila asubuhi nikiamka natema mate pande zote nne za dunia kumshukuru MUNGU kwa kuniumba mchagga!period!!
 
huyu xgirlfriend alikuja na thread ya wadada wa kichaga,na sasa amekuja na ya wakaka...ngoja tuone utaleta upupu gani baada ya hapa???kusema kweli naomba nikuambia its booooooring be creative a bit....
 
Back
Top Bottom