Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

mnaacha kuongelea vitu vya msingi maongelea mambo ya wachaga na mapenzi jamani.maisha yalivyi tight bado huo muda wa kusuguana upo tuu?mmh haya bana.
 
Kwani lazima mchaga? Au una research ya ngono kwa makabila? kama hawajui nenda wanakojua. kwani kila siku wachaga wachaga. au mnafuata pesa zao?
 
to me their my favorite
maisha sio ngono tu,kuna starehe nyingi
ngono inaaply kwa % chache
kuna starehe nyingi,kunywa mvinyo,kuwatch movie,kuchatchat nk
so kwangu mimi sijali kungonoka
i love u chagas
Na wewe Chagazi nini?Vipi Kadada.
 
Huu ni upuuzi mtupu kuwaza ukabila kila wakati badala ya kuwaza mambo ya maendeleo. Waacheni shemeji na wakwe zangu Bwana watafute fedha wazidi kusoma halafu wakiwa wengi TRA na mbalimbali mnaanza kupiga makelele waacheni jamani, si wamesoma!
 
Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo lakini kwenye mapenzi ni 0, hata kutongoza wengi wao hawajui wanajua kuhonga tu, na wanawake wanawakubali sababu wanapewa matumizi yakutosha ila wengi wa wake zao au magirl friend zao wana wanaume wapembeni wa kuwaridhisha kimapenzi. USIBISHE FANYA UTAFITI

kumbe ndo kisa cha wewe kupigwa chini na mangi wa duka la jirani...
 
Wewe kizazi cha nyoka, ni maana ya mapenzi? Nadhani ni zaidi ya kufanya tendo la ndoa. Kama ukimpata fundi wa hilo tendo lakini hakujali, dharua kibao, hafikiri suala la maendeleo utakuwa naye kwa sababu tu anakufikisha? Kama ukiugua bila pesa unaweza kweli kufurahia tendo hilo maana hakuna pesa ya kukupeleka hospitali.
 
Aika Ruwa ko mbee!
Ngilefeo Mchaka na kila mfiri ngyekeamba, Aika Ruwa!
Wasoro woose mche hayla kanyi koko lunyo hoo kiwari kilorha!

ndo nini hiki au ndo umempa shit xgf nini...
 
to me their my favorite
maisha sio ngono tu,kuna starehe nyingi
ngono inaaply kwa % chache
kuna starehe nyingi,kunywa mvinyo,kuwatch movie,kuchatchat nk
so kwangu mimi sijali kungonoka
i love u chagas

Nami pia nawapenda sana sana hawa watu...I love you my G (mchaga wangu)
 
Back
Top Bottom