Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo lakini kwenye mapenzi ni 0, hata kutongoza wengi wao hawajui wanajua kuhonga tu, na wanawake wanawakubali sababu wanapewa matumizi yakutosha ila wengi wa wake zao au magirl friend zao wana wanaume wapembeni wa kuwaridhisha kimapenzi. USIBISHE FANYA UTAFITI
acha uongo!!!!!
hivi kuna wanaume watamu kuliko wakichaga????
 
kweli si unakumbuka ule mchezo wa marite marite? kumbe bwana ilikuwa ni am i right?
na baishoo i love you baby? unaipata?

Hahahaha naipata sana, sie wakali ndio maana majungu hayaishi.

Baishoo baishoo I love you baby. . .
Hehehehe nimesahau maneno yanayofuata.
 
LIZZY na wachaga wenzio woote humu najua ukweli unauma ila mapenzi yote kwa ujumla ( si kungoneka tu) hamjui. Just recognize your deficiencies and find solutions

Acha weeee. . . .
 
Ishu kama hizi zisizo na kichwa wala miguu ndio katika ya vitu vinanifanya niwe nachungulia tu Jukwaa la MMU siku hizi....

ishu kama hizi inatakiwa utumie UJINGA kuzijibu!!
think of mtu anakuuliza 'mwanamke wa kabila flani kama ni mtamu au si mtamu' -------mpe jibu la hata kama ameezeeka kama mama yake ni mtamu,,,,,,ujinga unajibiwa kijinga
 
Hahaha acha uchizi.
I'm proud of you. . . niambie kabisa unataka nikuletee zawadi gani.
Thank you, thank you...lol..itabidi nije kule kijiweni kwetu nikuwekee varieties za zawadi..lol
 
Nimecheka mpaka nimepata mafua! Inaonekana da Lizzy kakaa kwa bibi/ na babu sana. Cha ajabu wazee wenyewe hawakwenda shule ki- hiivyo lakini umombo haukuwa taabu sana.
Mosha nimekaa sana na bibi yangu, yani hicho ni kati.ya vipindi nnavyovitreasure sana maishani.

Hahahaha walikua soo. . . ndo maana watu viroho haviwatulii.
 
Haya makabila WACHAGA, WAHAYA bila watu kuyazungumzia hawaoni raha aiseee...naona sasa hivi pia wameanza kwa Wasukuma pia..
 
Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo lakini kwenye mapenzi ni 0, hata kutongoza wengi wao hawajui wanajua kuhonga tu, na wanawake wanawakubali sababu wanapewa matumizi yakutosha ila wengi wa wake zao au magirl friend zao wana wanaume wapembeni wa kuwaridhisha kimapenzi. USIBISHE FANYA UTAFITI
ni kweli wanaume wa kichagga hawajui kabisa kula tigo.
wewe bila kuliwa kuliwa tigo dozi haikutoshi even if ubakwe kwa nja ya kawaida na wanaume wanne
 
ilikuwa "wanawake wa kichaga wazuri kwa sura na hawajui Mapenzi",
zoezi limegeuka! naona sana ni wanaume wa kichaga! jamani hizi topic kuhusu wachaga hapa JF zimekuwa nyingi mno!
inaboa sasa!

Una jua JF members asilimia kubwa ni wachaga!! halafu inafuatia wameru, waarusha na wamasai, asilimia ndogo sana ni wa makabila mengine, ndiyo maana topic za wachaga zimekuwa nyingi na huenda anayeanzisha ni mchaga na anataka kujua jamii inawachukuliaje juu ya mambo flani......teh teh teh teh....think outside the box....
 
Inawezekana ndio sababu wengi wao kuwaacha wake zao vijijini na kwenda kwengineko kutafuta kwa muda mrefu!?Lakini on a serious note, suala la mapenzi halina uhusiano na kabila hasa kwa sasa.
 
Mosha nimekaa sana na bibi yangu, yani hicho ni kati.ya vipindi nnavyovitreasure sana maishani.

Hahahaha walikua soo. . . ndo maana watu viroho haviwatulii.

Kumbe!! ndoo maana! Utakuwa uliifaidi sana busara za bibi.

Hawa jaamaa ambao hawaishi kutusakama wanajisumbua tu. Awali ni awali. Imetoka hiyo!
 
ahahaa dah kumbe wale wazee ni sooo mitusi yote hii waliiitoa wapi jamani?

Dah. Bibi yangu alikua anatia faken nalaabuku. Sijui nalaabuku ni nini na nani alimfundisha. Labda wakoloni...
 
Kumbe!! ndoo maana! Utakuwa uliifaidi sana busara za bibi.

Hawa jaamaa ambao hawaishi kutusakama wanajisumbua tu. Awali ni awali. Imetoka hiyo!

wewe chizi kweli. yaani watu wenye busara utamleta lizzy mvuta bangi?. kusoma hujui hata picha huoni?.
 
Back
Top Bottom