Wanaume wa JF mnaweza kufanya hivi?

Wanaume wa JF mnaweza kufanya hivi?

Kwa mkemia mnaenda kuhakiki matokeo ya taste.

Yaani kama ile testing ya taste ilitengeneza kiumbe ndo mnaenda kuhakiki kama kweli matokeo hayo ni ya ile test.
Alaaa kumbe kwa mkemia sio
Kwa mkemia mnaenda kuhakiki matokeo ya taste.

Yaani kama ile testing ya taste ilitengeneza kiumbe ndo mnaenda kuhakiki kama kweli matokeo hayo ni ya ile test.
testa?
 
Jitahidi unapomsahihisha mtu/watu uwe umesoma na kuelewa vizuri.

Ila bi FaizaFoxy nakuona mambo sio mabaya

Jitahidi unapomshukuru au kumpongeza mtu/watu uelewe alichokufanyia au alichokifanya
Daby mie, marehemu mama yangu alinifundisha kushukuru kwa kila jambo, liwe baya au zuri!!!! Mie huwa ninashukuru sana, hata kama ni wewe tukiongea faragha hata kama hukunipandisha kilele cha Kibo au Mawenzi nitakushukuru tuu
 
Kwa mawazo yangu.ilitakiwa jamaa akitaka muona mwanae,amtume dada yake au ndugu yake wa kike,akamchukue mtoto aje amuone,
kitendo cha kwenda pale so cha kiungwana,jammaa hata kama alionyesha furaha,je
 
Pole kwa mama.

Haha eti hata kama faragha. Wewe!

Nilichomaanisha pale juu FaizaFoxy
Kanisahihisha kimakosa hajaelewa nilichokuwa nimemaanisha. Mondray alikuwa anakuita Chikila that's why nika weka mabano( in Mondray voice)

Sina tatizo nilitaka kuweka kumbukumbu vizuri. Hongera.
 
Ila baba mwenye nyumba nilimuona alikuwa peace kwa ujio wa mgeni yule!!!
 
Pole kwa mama.

Haha eti hata kama faragha. Wewe!

Nilichomaanisha pale juu FaizaFoxy
Kanisahihisha kimakosa hajaelewa nilichokuwa nimemaanisha. Mondray alikuwa anakuita Chikila that's why nika weka mabano( in Mondray voice)

Sina tatizo nilitaka kuweka kumbukumbu vizuri. Hongera.

hahahhahaahahahahahaahahah
 
Inatoka moyoni? Na sisi wanaume tuna matatizo ya akili mara nyingine,mtu kashaoa mzazi mwenzio,kwani hamna njia nyingine ya kuonana na mwanao mpaka uende kwa wenzio waliofunga ndoa?
 
Back
Top Bottom