Wanaume wa JF mnaweza kufanya hivi?

Wanaume wa JF mnaweza kufanya hivi?

kama wanaishi kwa child support wafanyeje sasa lazima msukuma apokelewe kwa bashasha.
msukuma analipa bill zote hapo
Hapana hao wanaondoa wana pesa nzuri tu ya kununua debe la unga, una nyumba yao nzuri, usafiri, sio watu wa kulia lia kama mimi, hahahahah
 
Umewahi kuona mwanaume anamchukia mtoto wa baba mwingine ila mwanamke sasa.
Always mwanaume ufanya vitu ambavyo mtoto hata wa baba mwingine kila wakati awe na furaha. Ndio maana umeona hana kinyongo na mtu for sake ya marry.
Aisee, umenipa somo Perpendicular ahsante
 
Aisee wakutanie huko huko siyo kwangu.staki mazoea kabisa
Basi wenzie walikaa kama familia moja bustanini wakawa wanaongea na kufurahi na hata mwishowe wakamsindikiza mgeni wote na kuagana kwa furaha, hahahahahahahahah Waterloo
 
Habarini wanaJF.

Niende kwenye mada bila kuchelewesha muda, ni hivi kuna jirani yangu ambaye kabla ya kuolewa na mume aliye naye alikuwa tayari amezaa mtoto anayeitwa Mary na bwana mwingine.

Jana baba yake Mary akaja nyumbani kwa mzazi mwenzie kumuona mwanae.
Mume wa ndoa wa huyu mama alikuwepo home, pia mama Mary alikuwepo.
Mama Mary na mumewe wa ndoa walimpokea kwa bashaha Baba Mary.
Walikaa pamoja, yaani mume wa Mama Mary wa sasa ambaye wamefunga ndoa, Huyo mzazi mwenzie mama Mary ambaye ndie baba Mary halisi, Mary mwenyewe na Mama Mary walikuwa wanaongea na kucheka kwa furaha.

Baadaye mgeni wao (mzazi mwenzie mama Mary) aliaga na wote kwa pamoja akiwemo mume wa ndoa wa mama Mary walimsindikiza na kuagana kwa furaha.

Majirani wambeya wambeya tulikuwa tunachungulia tu na kufurahia amani iliyokuwa imetawala eneo lile na hasa kuona jinsi mume wa ndoa wa huyu mama alivyokuwa hana wivu, ni MNYAKYUSA na mama Mary ni Mzaramo, Baba Mary halisi ni Msukuma

Nawasilisha

Makabila yao ya Kinyakyusa, Kizaramo na Kisukuma yaliweza kutengeneza ' Chemistry ' nzuri ya ' amani ' sasa kwa moyo wako huo huo wa ' ufukunyuku ' Mkuu hebu tusaidie kuangaza angaza huko na kule tukio kama hilo la Watu wenye makabila ya Kikurya, Kimasai na Wahehe ili tujue kama na wao hii ' Chemistry ' yao italeta ' ushirikiano ' wa kutukuka.
 
kwaiyo tufanyeje sasa.ila huna taste yangu maaana mimi mtamu balaa
heeeeeeeeeeeeee shemeji yangu, umesemaaaaaa..... mna ladha sawa na Miss Natafuta, hahahahahaha
ahahhahahhaa
mwakei
 
Back
Top Bottom