Wanaume wa JF mnaweza kufanya hivi?

Wanaume wa JF mnaweza kufanya hivi?

Umewahi kuona mwanaume anamchukia mtoto wa baba mwingine ila mwanamke sasa.
Always mwanaume ufanya vitu ambavyo mtoto hata wa baba mwingine kila wakati awe na furaha. Ndio maana umeona hana kinyongo na mtu for sake ya marry.
 
Hao wanaume wote inaonekana wapole Sana, Jana chikira umefurahi kweli Yan
 
weeee! zamani sio sasa. sasa nimeoa sitaki mawasiliano yao kwangu...
ahahahhahhah, myoyambendi yaani ungewaona walivyokuwa wanaongea na kufurahi kwa pamoja labda ungerudisha moyo ahahahahah
 
Back
Top Bottom