Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,217
mzima mamy unaendeleleaje lknUmemuonaee. Kanichekesha aisee.
Mzima lakini weyee?
mzima mamy unaendeleleaje lknUmemuonaee. Kanichekesha aisee.
Mzima lakini weyee?
Haha haha... Sema wewe Kirundu[emoji23] [emoji23]Ahsante kwa swali lako zuri: mimi ni mpare wa bila kuchakachua wala kuchanganyikana namaanisha mpare origino
kuna ataetaka umuoe?!?! single mamaz ni kwa wale wanaume wenye upeo tu sio boysSioi single mama.
MNYAKYUSA na mama Mary ni Mzaramo, Baba Mary halisi ni Msukuma
kuna ataetaka umuoe?!?! single mamaz ni kwa wale wanaume wenye upeo tu sio boys
Nashukuru pia.Aisee, umenipa somo Perpendicular ahsante
mwenye mke halali ni Mnyakyusa, na Baba Mary ni msukuma ila sijui ni wa kata ipi hahahahahahCHIKIRA MTABARI huyo mume ni wa Kolomije!? Nauliza tu lol!
C umeckia wanajiita wambeaSasa ulitakajee,,,, usikie ngumi humo ndani,,,,, waswahili bhanaa,,,,,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mtoa uzi naona anapenda matokeo sana.kama gwajima