- Thread starter
- #141
hahahhaahhahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahhaahhahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anataka kujua we ungeweza kumkirimu baba Mary?Dah nimeshindwa hata kuelewa kabisa lengo la mada hii
Dah mkuu linapokuja swala la mapenzi kila mtu huwa anamitazamo yake ,Anataka kujua we ungeweza kumkirimu baba Mary?
Ha haa bora umekua mkweliDah mkuu linapokuja swala la mapenzi kila mtu huwa anamitazamo yake ,
Kwanza mimi binafsi siwezi maana najuwa watu hawaachani ila wanapumzishana tu
Ntakuwa mnafki kwenye maswala yote ila sio mapenzi maana ntakuwa najihadaa mwenyeweHa haa bora umekua mkweli
Ni kweli Valentina hiyo ndio ilikuwa maana yangu.Anataka kujua we ungeweza kumkirimu baba Mary?
Ni ngumu sana, unampikia, mnakula pamoja, mnakwenda bustanini kupungua upepo mkibadilishana mawazo halafu mwishowe wewe na mumeo na mtoto mnamsindikizaHapa ni sawa uniambie mimi Pati kuwa mwanamke aliozaa na mume wangu kabla mimi sijaolewa aje kumsalimia mwanaye, Mimi na mume wangu tumpokee kwa bashasha,nderemo na vifijo...
Hahahahahaaaa. Ngoja nikaweke unafiki kando ndio nije kujibu.
hahahahaha, walishaachana hawana tena mahusiano ya mambo ya siriAmekuja kuangalia uwezekano wa kumwongezea Mary mweingine.....nadhani muda si mrefu mume atalea mimba nyingine ya baba Mary,hawana maana hao.
Sioi single mama.
kama unasema huoi single mother vip na single father na sisi tusiolewe nao au ?
Love anamanisha hivi... Mfano uzalishwe na mwanaume lakini asikuoe, nikakuoa mimi... Lakini huyo mwanaume akawa anakuja kumuona mtoto uliyezaa nae nikiwepo na mimi pasi kutia neno lolote...Am a slow learner sijaelewa mwenzenu please
Msaada wa maelezo mafupi zaidi
Love anamanisha hivi... Mfano uzalishwe na mwanaume lakini asikuoe, nikakuoa mimi... Lakini huyo mwanaume akawa anakuja kumuona mtoto uliyezaa nae nikiwepo na mimi pasi kutia neno lolote...
Ndiyo anauliza je wanaume wengine tunaweza...