APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 6,202
- 12,431
Akan'nyambala hujho.....ni wa ukweli kabisa kutoka Kyela
Akan'nyambala hujho.....ni wa ukweli kabisa kutoka Kyela
unaweza kutafsiri kidogo APEFACEAkan'nyambala hujho.....
Sio mwanaume huyo................unaweza kutafsiri kidogo APEFACE
ni kweli noiselessly hunterInatoka moyoni? Na sisi wanaume tuna matatizo ya akili mara nyingine,mtu kashaoa mzazi mwenzio,kwani hamna njia nyingine ya kuonana na mwanao mpaka uende kwa wenzio waliofunga ndoa?
ndaga ndaga APEFACESio mwanaume huyo................
mmmmmmmmmmmmmmh! espyHaya mambo wala huwa hayahitaji kutumia nguvu nyingi wala hasira, mbona kawaida tu.
Abeeeeee!!mmmmmmmmmmmmmmh! espy
huo urafiki wa Tom and Jerry,ipo siku kitanuka tuHabarini wanaJF.
Niende kwenye mada bila kuchelewesha muda, ni hivi kuna jirani yangu ambaye kabla ya kuolewa na mume aliye naye alikuwa tayari amezaa mtoto anayeitwa Mary na bwana mwingine.
Jana baba yake Mary akaja nyumbani kwa mzazi mwenzie kumuona mwanae.
Mume wa ndoa wa huyu mama alikuwepo home, pia mama Mary alikuwepo.
Mama Mary na mumewe wa ndoa walimpokea kwa bashaha Baba Mary.
Walikaa pamoja, yaani mume wa Mama Mary wa sasa ambaye wamefunga ndoa, Huyo mzazi mwenzie mama Mary ambaye ndie baba Mary halisi, Mary mwenyewe na Mama Mary walikuwa wanaongea na kucheka kwa furaha.
Baadaye mgeni wao (mzazi mwenzie mama Mary) aliaga na wote kwa pamoja akiwemo mume wa ndoa wa mama Mary walimsindikiza na kuagana kwa furaha.
Majirani wambeya wambeya tulikuwa tunachungulia tu na kufurahia amani iliyokuwa imetawala eneo lile na hasa kuona jinsi mume wa ndoa wa huyu mama alivyokuwa hana wivu, ni MNYAKYUSA na mama Mary ni Mzaramo, Baba Mary halisi ni Msukuma
Nawasilisha
Tuwaombeee mema hahahahahuo urafiki wa Tom and Jerry,ipo siku kitanuka tu
Hahahaaa! Umekuwa mpole mwenyewe na ndio huna jinsi tena mumy.misstrace, humu duniani tuko mchanganyiko, uko wewe mstaarabu,niko mie hapa shambenga basi yaani ni mchanyato wa kila tabia
Hahaha! Kanifurahisha sana CHIKIRA MTABARI hajataka kuificha tabia yake mwenyewe.ahhahahhahh mlikua wapole kama mmemwagiwa maji ya baridi
hahahhah chikira ni chizi sipati picha alivyoshushukaHahaha! Kanifurahisha sana CHIKIRA MTABARI hajataka kuificha tabia yake mwenyewe.
Kausubiri kwa hamu ubuyu ila ndio hivyo tena.
Hahaaa
Umemuonaee. Kanichekesha aisee.hahahhah chikira ni chizi sipati picha alivyoshushuka