Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Kwa hili wanawake kutoka Mbeya wanaongoza.
Nishawahi shuhudia mmama toka mbeya akimpa kipondo mumewe hadharani huku kwetu kwa mtogole!!Wee baba alichezea kipondo huyoo..hadi nikawa.nawaogopa wanawake wa kinyaki...na ile miili yao alivyokuwa anazidunda uwiii....
Wakati nasoma chuo nikakutana na mdada wa kinyaki bedmet..eeh akaanza kunihadithia utotoni baba yake alikuwa akidundwa na mama yake...nikawa namuogopa lol!!!
Wanyaki oyeee
 
Mmachame wangu ni hatarii ila amenipata! Akimwaga ugari namwaga maharage ya nazi. Uwa napiga za chembe usiku unasikia anakuletea simu ongea na mama. Akinipa nasikia msamehe mwenzio! Mamaye!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimefikaaa
Yote tisa kumi kwangu.Niliwahi milki mmoja mtani na akina shimboni we acha. Na leo nimemkumbuka sijui kama hatanitokea kwenye njozi akinicharanga vibao.Alikuwa akilianzisha hata watoto wake hawali mzunguko wa saa kwa siku.Hadi anabandua miguu nilishapiga magoti kwa mwenyezi kiasi cha kuota sigida.Mungu ni mkubwa lakini iliniathiri kisaikolojia kiasi mwanamke yeyote akinitajia kwamba ni wa kabila lile napoteza fahamu
Haha unapata vibao hadi ndotoni
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wapare nini!!
 
Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada
Mkuu tujuzane..kabla hujamuoa alikua mgomvi? Au alikua ameficha makucha
 
Nishawahi shuhudia mmama toka mbeya akimpa kipondo mumewe hadharani huku kwetu kwa mtogole!!Wee baba alichezea kipondo huyoo..hadi nikawa.nawaogopa wanawake wa kinyaki...na ile miili yao alivyokuwa anazidunda uwiii....
Wakati nasoma chuo nikakutana na mdada wa kinyaki bedmet..eeh akaanza kunihadithia utotoni baba yake alikuwa akidundwa na mama yake...nikawa namuogopa lol!!!
Wanyaki oyeee
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mkuu wengine mpaka hivi sasa bado ' tunatibu ' majeraha ya ' kutukuka ' tuliyoyapata kutoka kwa ' Wapenzi ' wetu baada ya kupokea ' mkong'oto ' wa kufa Mtu. Kuna Wanawake wanapiga ' Ngumi ' za maana hata Mabondia wenyewe akina Klishko na Antony Joshua hawaoni ndani.
Hahaha! Pole mkuu
 
Ukiona Mwanaume anaogopa kuweka bayana ' Kipondo ' alichokipokea toka kwa Mpenzi wake jua ya kwamba huyo ' hakupigwa ' kisawasawa ili sisi tunaouguza sasa haya ' majeraha ' tumeshaanza kuchukua hatua za awali za kufikisha ' malalamiko ' yetu ya ' kutukuka ' kabisa kwa wa Wakwe zetu na akina Baba Paroko ili waweze kutusaidia Kiushauri ila kwa ' Kificho ' kabisa pia tumeshachua na ' RB ' ili kama ikitokea tena ' maumivu ' ya ' Ngumi ' za Kibondia yanazidi basi tuwe ' Wageni ' wema kwa Kamanda Sirro ili aweze kutusaidia. Jamani ' tunakong'otwa ' nyie acheni tu!
Hivi inakuakuaje mwanamke anakupiga?
 
Nilishawahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mgomvi. Yaan kila saa tukiongea kwenye simu lazima alianzishe kwa makosa madogo madogo. Nilivumilia sana... lakin habadiliki. Akasema ndio tabia yake so hawez kuibadilisha.
Nikampiga chini mapemaa... siwez ishi na mwanamke kutwa ni kelele.. stress.. matus.
Duuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah me ninalo hilo janga aise sijapata kuona msichana mgomvi kama huyu niliye nae, wiki kama mbili hivi zimepita alikuja kunianzishia bonge latimbwili mwanamke aamuliki kosa langu nikumpiga kibao2 ndio ikawa nimechokoza aise yaan nikaamua nimuache afanye kile anachotaka alinikaba shingo maumivu niliyohisi aise nilijikuta nimepiga kelele maana nilihisi kufa nilipotoka hapo kwahasira nilimuuma shavu ila ndio akasara hatar watu wanaamua ila wap mpaka akaja mama yake mtu ataki kuacha ugomvi kanikwida kama vile mwizi mpaka akaja mama yangu mtu bado2 kakaza ikabidi wamuamue kwangu watu wanne ndio walifanikiwa kumtoa ndani naalipotolewa ndan nikaambiwa nijifungie mlango ndani, akawa kazinda mlangoni anatukana hatar anafoka mpaka akazimia hapo hapo mlangoni yaan mpaka sasa anaumwa maana alilazwa kabisa baada yakumpeleka hospital
 
Mmachame wangu ni hatarii ila amenipata! Akimwaga ugari namwaga maharage ya nazi. Uwa napiga za chembe usiku unasikia anakuletea simu ongea na mama. Akinipa nasikia msamehe mwenzio! Mamaye!
Hivi inakuaje mpaka unamtia vibao mwanamke
 
Back
Top Bottom