Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada
Wakat wa uchumba na kwenyewe alkuw mkorofi au alikuwa na nidham ya hali ya juu?
 
Tena lianzishwe haraka sana Mkuu kwani kiukweli ' tunateseka ' mno kila siku kuzuia tu ngumi za chembe na usoni halafu ukienda Kazini na ' Manundu ' kisingizio kikubwa tunachokitumia kukisema huko ni kwamba tumevamiwa na Vibaka na hofu yetu kubwa siku hawa ' Vibaka ' wakiwa hawapo tena humu ' mitaani ' tutatumia ' uwongo ' gani kuwaambia Wafanyakazi wenzetu humo Maofisini?
...Hahahaaaa
 
Mkuu wengine mpaka hivi sasa bado ' tunatibu ' majeraha ya ' kutukuka ' tuliyoyapata kutoka kwa ' Wapenzi ' wetu baada ya kupokea ' mkong'oto ' wa kufa Mtu. Kuna Wanawake wanapiga ' Ngumi ' za maana hata Mabondia wenyewe akina Klishko na Antony Joshua hawaoni ndani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] achen bac mtatuua wengne.
 
Mkuu mimi mwenyewe nina wiki ya 3 nimehama mtaa, nimemuachia kila kitu, duh haya mambo kama tungekuwa tunayajua mapema tusingefanya makosa. Huyu wangu yeye haangalii pa kulianzisha, tushafunga mtaa kwa ugomvi kama mara 2 hivi, yaani nimeoa komandoo.
Komando John au kipensi hahahaaa
 
Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada
Ha ha ha,ni bora ulivokua hujibizani nae,maana ukijibizana nae ni kama unachochea moto katika kuni ili ukuripukie.
Safi sana
 
Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada
Pole sana Mkuu!

Muombe Mungu akusaidie.Yeye anafanya njia pasipo na njia.
 
Msukumie Mungu akuongoze,
Mie ugomvi sipend hivyo aniepushe na WASHARI,
Maana sipend kujibizana na Mwanamke
Kweli kabisa kaka hata mimi sipendi huwa napenda mwanamke mwelevu mno.
 
Back
Top Bottom