Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Teh enjoy galHaha, nimeona. Itabidi nirudi nyuma nilipoishia last time nicheke upya! [emoji1]
Teh enjoy galHaha, nimeona. Itabidi nirudi nyuma nilipoishia last time nicheke upya! [emoji1]
Hadi anabandua miguu nilishapiga magoti kwa mwenyezi kiasi cha kuota sigida.Mungu ni mkubwa lakini iliniathiri kisaikolojia kiasi mwanamke yeyote akinitajia kwamba ni wa kabila lile napoteza fahamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wengine kupigana sijui ni hoby!! Kuna mama mara utamuona na pop mguuni mara mkononi, mara kavimba uso, ukimuona na jeraha basi ujue na mumewe analo la kwake, siwaelewagi kabisa na ni watu wazima sasa[emoji134] [emoji134]
sijui nipige chini....alafu eti hapendi niwe nampa hela mbele ya watu, eti anataka niwe nampa tukiwa peke yetu....yani acha...........
Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada

Pole sana mkuuUsiombe!...

Hehe me mnyaki wa wapi sijui, hata kakibao sipigi lol. Khaa kweli kuna wanawake wagomviNakumbuka visa Vingi lakini hizi Ndio vilikuwa too much.
1.jirani zetu,
Wote wanyakyusa lakini mwanaume alikuwa anapigwa mpaka anatoka nje kuomba pooh na msaada. Yaani anatoka nje baada ya kujaribu kuzichapa ndani,akionaamezidiwa na anavuja damu kabisa anatoka nje kuomba msaada. Tuliamulia mpaka tukachola wakawa wanaokoa polisi jamii,mpaka mwenye nyumbani akawapa notice na mtaani wakatimuliwa Maana mjumbe aliwlsha wachoka na kesi zao kila siku.
2.Shangazi yangu
Ni mkorofi typically,Yaani yeye bila ugomvi kwa siku hajalala vizuri aisee. Anazichapaga na mume wake mpaka mwanaume anazimia. Kuna siku wakawekwa kikao na ndugu wa mume,sasa vile walivyokuwa wanamsema na mume wake akachangia maeno machafu sana,aisee alinyanyuka akaanza kutembeza kichapo kwa mumewe,akakimbilia ndani akamfuata huko huko alipiga mpaka mwanaume akawa anavuta pumzi kama anakufa hivi lakini bado anaendelea kupiga. Baba Ndio alikuwa ana wasili eneo la tukio,alikata nyaya akamgusisha nazo alipigwa na shoti Ndio akaacha.
3. Rafiki yangu,
Alikuwa mtata jamani sijawahi kuona wala Ku image,mzuri na ana msambwanda kama basi la Kilimanjaro. Ilikuwa akianza kuzichapa na bwana ake,mpaka wanakatana nyembe na kushikiana visu,full ngeu kila siku. Siku moja akatuita Mimi na Marafiki zetu wengine wa4,tumsindikize ubungo. Alawasha gari yake tukaingia sisi haoooo to ubungo. Alivyofika akapark,akaenda kugonga nyumbani Fulani wakati Huo na sisi tunashuka. Yule msichana aliyefungua,alivutwa kama mwizi. akaanza kumpa kipondo,alipiga,mwanamke anapigana kama john cena. Akaja kaka wa yule binti,akaingilia ugomvi. Rafiki etu akarudi kwenye gari,kwenye buto alitoa nondo na nyundo,ule ugomvi uliamuliwa na wanajeshi. Maana ilikuwa anapiga watu wawili na anawachakaza.
Nilivunja urafiki nae days ahead,nikawa simpokelei simu wala sijibu Sms zake.
4. Cousin wangu,
Ameolewa toka mwaka 2014. Around 2016 mume wake akawa anachepuka,lakini she is decent and hakuwa anamfuatilia. Na Hata alipo ambiwa mumeo huko Hapo somewhere na mchepuko hakuwahi kumfatiliza.
There is a day yule bwana akajichanganya,akamwambia cousin "Yaani wewe malaya umenichosha,bora ningeoa mama ako" ile siku ni alimpiga sitaki Kukumbuka ni alipiga kwa kiasi gani,akapiga tu simu nyumbani akasema jamani nimeua huku. Tulivyoenda jamaa hajitambui,alikaa ICU mwezi mmoja. Cousin nae akawekwa ndani na ndugu wa mume wake,sababu wakwe walivyofika Wifi mmoja akaleta jeuri aKampa kipigo akachanika mdomo na jicho wakaenda polisi. Mume wake alivyoamka akasema namtaka mke wangu,good thing mpaka Leo wapo pamoja,mwanaume alijua makosa yake,yakaisha. Wakafuta kesi polisi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sana.ha ha ha...mi ndo hata siwezi kuhesabu..sijui kwa nini inapotokea kwa wanawake huwa sina nguvu kabisa...nimeshawahi piga wanaume watatu kwa mpigo ila mwanamke mmoja alinishinda siku hiyo yaani nlipomwona tu nikawa weak. sielew wana uchawi gani. huwa nakuwa tu kama mbwa kwa chatu naenda mwenyewe huku nikinung'unika na kuhuzunika.
kiukweli mimi nilishachapwa sana vibao na wanawake tena si mmoja...tofaut tofaut...basi huwa nalia tu na kuomba msamaha.sema sasa wamanume ndo ajichanganye aone kipigo nitakacho mpa.mithili ya paka mwizi wa mboga ya wageni ambao ni wakwe.
Mbegu fupi ni chafu sana.Habari wakuu,
Katika mambo ambayo wanawake wanakosea ni kuwa wagomvi.
Hata katika mahusiano wanaume wanavumilia vingi, wengine huwaacha wasichana hao.
Wanaume wengine hukutana na msichana mwenye ugomvi na bila kujua anamuoa.
Sasa hapo ndio moto unawaka kwenye ndoa ndio wanaume wananyooka mwanamke kitu kidogo tu kashalianzisha kwa mumewe.
Kwanini wanawake wanakuwa wagomvi?
Wanaume mliowahi kuwa na na wasichana/wanawake wagomvi tujuzeni hapa.
NB; Sio wanawake wote wagomvi.
Haha pole sana. Sema unakuwa tu unawaonea huruma, maana ukisema uwapige unaweza kuuaha ha ha...mi ndo hata siwezi kuhesabu..sijui kwa nini inapotokea kwa wanawake huwa sina nguvu kabisa...nimeshawahi piga wanaume watatu kwa mpigo ila mwanamke mmoja alinishinda siku hiyo yaani nlipomwona tu nikawa weak. sielew wana uchawi gani. huwa nakuwa tu kama mbwa kwa chatu naenda mwenyewe huku nikinung'unika na kuhuzunika.