Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Mkuu, kwahiyo wanaume wengine huvumilia tu ugomvi..sababu mwanamke ni mzuri?
Hiyo inaweza kua ni moja ya sababu.pia kumbuka huwezi kukata mapenzi ghafla bin vuu,kuacha ni 'process' (kwangu mie nipo hivo).alafu kuna kujipa moyo kua anaweza kubadilika (big mistake!),na pia inategemea na makuzi na familia uliyotoka,kwa wengine haya maugomvi ya ovyo ovyo tumezoea kuona kwa wanaume wenzetu,sio watoto wa kike.
 
Mkuu wengine mpaka hivi sasa bado ' tunatibu ' majeraha ya ' kutukuka ' tuliyoyapata kutoka kwa ' Wapenzi ' wetu baada ya kupokea ' mkong'oto ' wa kufa Mtu. Kuna Wanawake wanapiga ' Ngumi ' za maana hata Mabondia wenyewe akina Klishko na Antony Joshua hawaoni ndani.
Hahahahah
Umetisha sana Mkuu.
 
Nilikuwa nae Tabora pale, ebwana mwanamke alikuwa mgomvi yule sitamsahau, basi mwanzoni alikuwa akinikoroga nampa kibano cha haja, baadae nikabadili utaratibu akinikorofisha nakuwa mpooleeeee hadi anaamua kutulia kumbe moyoni nampangia adhabu yake, siku nambembelezaaaaa namuandaa vizuri ananyegeka hasa, sasa nikishapanda kinenani pale nilikuwa sishuki nakwambia hadi analia, mimi ndio kwaanza kama vile ndio naanza. Kuna siku nimepiga mgegedo tangu mida ya saa nne hadi nane nane sijashuka nasugua tu huku nikiorodhesha maugomvi yake yote, si akakata pumzi, weee ilikuwa patashika pale, pepelea pepelea baadae akarejea ktk hali ya kawaida, asbh ilibidi kumpeleka hsptl nikamwambia tuachane tu maake haipiti wiki lazima aanzishe ugomvi bila sababu. Nilimkimbia nikabadili na namba ya simu.

Anadai yy hawezi kukaa bila kugombana hasikii raha. Ila ni kero sana
 
Usiombe!...
Hapa ninapoandika hii text nimehamia chumba kingine na kutandika godora chini.....(Nalala huko).Ni HATARI..Huyu wangu ni hatari...Yeye akishachukia...hubomoa Milango,kuvunja TV,kuchana masofa....
YAANI...Bora wasio oa...hii ndoa yangu ni ngumu mno....
Na ukitaka kukusanya mtaa mzima uwe unajibizana naye....So me nimechagua kuto kujibizana naye na kuhamia room nyingine....
Kabla ya kuoa msio oa....
Waangalieni Vizuri wadada
Mkuu mimi mwenyewe nina wiki ya 3 nimehama mtaa, nimemuachia kila kitu, duh haya mambo kama tungekuwa tunayajua mapema tusingefanya makosa. Huyu wangu yeye haangalii pa kulianzisha, tushafunga mtaa kwa ugomvi kama mara 2 hivi, yaani nimeoa komandoo.
 
Hiyo inaweza kua ni moja ya sababu.pia kumbuka huwezi kukata mapenzi ghafla bin vuu,kuacha ni 'process' (kwangu mie nipo hivo).alafu kuna kujipa moyo kua anaweza kubadilika (big mistake!),na pia inategemea na makuzi na familia uliyotoka,kwa wengine haya maugomvi ya ovyo ovyo tumezoea kuona kwa wanaume wenzetu,sio watoto wa kike.
Umenena vizuri mkuu. Pia inafikia kipindi unamzarau nakumpuuza
 
Nilishawahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mgomvi. Yaan kila saa tukiongea kwenye simu lazima alianzishe kwa makosa madogo madogo. Nilivumilia sana... lakin habadiliki. Akasema ndio tabia yake so hawez kuibadilisha.
Nikampiga chini mapemaa... siwez ishi na mwanamke kutwa ni kelele.. stress.. matus.
 
Inabidi dawati la jinsia kwa wanaume lifikiriwe kwa kina

Tena lianzishwe haraka sana Mkuu kwani kiukweli ' tunateseka ' mno kila siku kuzuia tu ngumi za chembe na usoni halafu ukienda Kazini na ' Manundu ' kisingizio kikubwa tunachokitumia kukisema huko ni kwamba tumevamiwa na Vibaka na hofu yetu kubwa siku hawa ' Vibaka ' wakiwa hawapo tena humu ' mitaani ' tutatumia ' uwongo ' gani kuwaambia Wafanyakazi wenzetu humo Maofisini?
 
Hofu yangu ni kwamba hilo dawati laweza kosa watu!!Mwanaume wa kiafrka kwenda kusema amedundwa lo yataka moyo..Wanapitiaga humu walifanyie kazi!!Muunde na asasi za kuwatetea
 
Hofu yangu ni kwamba hilo dawati laweza kosa watu!!Mwanaume wa kiafrka kwenda kusema amedundwa lo yataka moyo..Wanapitiaga humu walifanyie kazi!!Muunde na asasi za kuwatetea

Ukiona Mwanaume anaogopa kuweka bayana ' Kipondo ' alichokipokea toka kwa Mpenzi wake jua ya kwamba huyo ' hakupigwa ' kisawasawa ili sisi tunaouguza sasa haya ' majeraha ' tumeshaanza kuchukua hatua za awali za kufikisha ' malalamiko ' yetu ya ' kutukuka ' kabisa kwa wa Wakwe zetu na akina Baba Paroko ili waweze kutusaidia Kiushauri ila kwa ' Kificho ' kabisa pia tumeshachua na ' RB ' ili kama ikitokea tena ' maumivu ' ya ' Ngumi ' za Kibondia yanazidi basi tuwe ' Wageni ' wema kwa Kamanda Sirro ili aweze kutusaidia. Jamani ' tunakong'otwa ' nyie acheni tu!
 
Nishawahi kuwa na mwnamke mgomvi,nilijuta,alafu bahati mbaya alikuwa mzuri dizain za kina masogange hivyo kumuacha unafikilia mara mbili utampata wapi kama yule.
Unaweza ukafanya mazuri kibao,usipomfanyia moja tu,yaani anasahau yote na analianzisha! Hapo sahau sex,kuongea hata chakula ndani siku hiyo akipikwi bahati mi mwenyewe si mbaya jikon.
Wanawake wakorofì wanapenda wivu wa kijinga,hawapendi kusikiliza,na ni kama watoto anapenda sana kuridhishwa wakati wao hawajitahid hata kidogo kwenye mapenzi,M/Mungu aniepushe kukutana na aina hii tena.
tuko pamoja mkuu ni BALAA hadi inafika kujuta majuto ya kipigo cha MBWA mwizi
 
Wapo na tumekuwa nao!!
Wapo wengine wagomvi sana lakini nguvu hawana na
Wengine ni wagomvi na nguvu km Tyson
Majumbani humu midume tunalizwa na hawa majike dume
Hahahaaa hasa hapo bora ukutane na yupi? ambaye mkorofi lakin hana nguvu au Tyson?
 
Back
Top Bottom