Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Kuna mmoja huyo alikuwa anampiga mumewe alafu yeye ndio anapiga kelele, mkienda kuamulia mnashangaa mume ndio kaumia mnashindwa kuelewa nini kimetokea.

Wengine kupigana sijui ni hoby!! Kuna mama mara utamuona na pop mguuni mara mkononi, mara kavimba uso, ukimuona na jeraha basi ujue na mumewe analo la kwake, siwaelewagi kabisa na ni watu wazima sasa[emoji134] [emoji134]

Huh!, yaani bila wao bila ugomvi hakuna raha.
 
Kwa hili wanawake kutoka Mbeya wanaongoza.

We hujakutana na hawa jirani zetu wanaotoka kale ka nchi ambako kila kitu wao wanajua. Nimejivua gamba mwezi Jana maana maisha ya kugombana kila siku siyawezi ukizingatia mtu mwenyewe alikuwa temporary na hilo alikuwa analijua
 
One of my aunts bana, physically yupo kinyaki, in short yupo fit kinoma ila ni mpole unahisi sio mnyaki kabisaa. Alipata mume, sijui sababu ya ule ufupi so akawa anajitutumua ili aheshimike. Akikosea tu ni anashushiwa kipondo, sometimes hata kosa hulioni. Siku hayo eti karudi home, aunt katoka nje na mtoto ile kambeba mgongoni anatembea naye ambembeleze alale, likawa kosa la kipigo. Ikabidi tu amwambie bwana wewe leo naomba iwe mwanzo na mwisho wa kunipiga. Siku aliyorudia kumpiga, alipewa nakozi mateke ya uhakika na tangu siku hiyo hajarudia tena kumpiga aunt.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mnyaki aliamua kumfundisha adabu, safi sana.
 
Yote tisa kumi kwangu.Niliwahi milki mmoja mtani na akina shimboni we acha. Na leo nimemkumbuka sijui kama hatanitokea kwenye njozi akinicharanga vibao.Alikuwa akilianzisha hata watoto wake hawali mzunguko wa saa kwa siku.Hadi anabandua miguu nilishapiga magoti kwa mwenyezi kiasi cha kuota sigida.Mungu ni mkubwa lakini iliniathiri kisaikolojia kiasi mwanamke yeyote akinitajia kwamba ni wa kabila lile napoteza fahamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duh hii ni kweli nakumbuka najione huruma,hasa pale inabidi utoke nae kwenda sehemu ya shughuli au starehe alafu unajua kuwa mtakuta na ndugu na marafiki wa karibu,yaani hujui utasema nini au utafanya nini ambacho kinaweza kumuuzi alafu akaanzisha zali la kufa mtu,au kutoa maneno yatakayokuvunjia heshima mbele za watu.Unaanza kuwa na huzuni kabla hata hamjaenda,wakati mwengine unaamua kutokwenda kabisa.na ukisema uenda peke yako,hata urudi saa tisa usiku unakuta anakung'oja sebuleni au kalala kwenye kiti na nguo za kutokea ,pemben kaweka kile kigongo cha kukandia chapati.
Hahahaaaa!, kavaa nguo za kutokea anakusubiri na kigongo cha chapati [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nilipewa kofi moja hata sikuelewa nipo ahera ama duniani, akili ziliporudi nikakimbilia polisi, kumbe alijua nitakwenda huko na ana marafiki zake kule, weeeh si nikakuta nina kesi, acha niwekwe ndani!! Yaani sitakaa nimsahau yule kiumbe!!!
Huh! [emoji15]

Mbona pole dear!
 
Nilipewa kofi moja hata sikuelewa nipo ahera ama duniani, akili ziliporudi nikakimbilia polisi, kumbe alijua nitakwenda huko na ana marafiki zake kule, weeeh si nikakuta nina kesi, acha niwekwe ndani!! Yaani sitakaa nimsahau yule kiumbe!!!
Momma, don't tell me.[emoji35] [emoji35] [emoji22] [emoji22]
 
One of my aunts bana, physically yupo kinyaki, in short yupo fit kinoma ila ni mpole unahisi sio mnyaki kabisaa. Alipata mume, sijui sababu ya ule ufupi so akawa anajitutumua ili aheshimike. Akikosea tu ni anashushiwa kipondo, sometimes hata kosa hulioni. Siku hayo eti karudi home, aunt katoka nje na mtoto ile kambeba mgongoni anatembea naye ambembeleze alale, likawa kosa la kipigo. Ikabidi tu amwambie bwana wewe leo naomba iwe mwanzo na mwisho wa kunipiga. Siku aliyorudia kumpiga, alipewa nakozi mateke ya uhakika na tangu siku hiyo hajarudia tena kumpiga aunt.
Mnyaki oyeeee![emoji2]
 
Back
Top Bottom