Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,611
- 5,173
Mama full dozi[emoji16][emoji16]Wewe ni mtu sijuwi wa ngapi kuniambia hii kitu live, ila nilishamtem baada ya kuambiwa na werevu ukweli huu.
Mama full dozi[emoji16][emoji16]Wewe ni mtu sijuwi wa ngapi kuniambia hii kitu live, ila nilishamtem baada ya kuambiwa na werevu ukweli huu.
HahahaMwanamke mgomvi dawa yake unamtia mimba akijifungua unamtia mimba tena unahakikisha unamzalisha mpaka anazeeka baada ya hapo kwisha habar yake ugomvi automatic utaamia kwa watoto wake
Ila mkasa wako ndo umeniacha hoi mkuu pole jamani hahahaaa naamini sasa una amani tele
huwa wanaua ukizubaa ukishaona yupo hvo mkatae mapemaa anaweza kukuua kwa msongo wa mawazo au kisu au ukamuua kwa bahati mbayaHabari wakuu,
Katika mambo ambayo wanawake wanakosea ni kuwa wagomvi.
Hata katika mahusiano wanaume wanavumilia vingi, wengine huwaacha wasichana hao.
Wanaume wengine hukutana na msichana mwenye ugomvi na bila kujua anamuoa.
Sasa hapo ndio moto unawaka kwenye ndoa ndio wanaume wananyooka mwanamke kitu kidogo tu kashalianzisha kwa mumewe.
Kwanini wanawake wanakuwa wagomvi?
Wanaume mliowahi kuwa na na wasichana/wanawake wagomvi tujuzeni hapa.
NB; Sio wanawake wote wagomvi.
Wewe ni dhaifu , mwanaume gani unapigwa na jike ?mkuu napitisha siku kadhaa simtafuti wala kuonekana maeneo ya kuonana, tukija onana yameisha.
nilikuwa naishi kama digidigi, hofu mda wote maana hujui ataamua nini?.maisha na wagomvi ni hatari tupu. mtu haangalii hata sehemu yeye popote analiamsha dude.
yawezekana iko ivyo kwa nyie mnao amini katika mfumo dume,ila kwangu ilikuwa ni kumpuuza kuepusha maneno na ugomvi usio na maanaWewe ni dhaifu , mwanaume gani unapigwa na jike ?
Sisi wakurya ndio wanaume , makabila mengi hamna wanaume halisi , sisi wakurya ni mwiko kwa jike kujibizana na mwanaume au kujaribu kipigana na mwanaume , akijaribu hicho ni kifo .sisi huwa tunatoa kipigo cha mbwa koko ( yaani tunachakaza ) , mi nashangaa eti dume zima na mavuzi yako unapigwa au kuendeshwa na mwanamke. SHIT MURAAA .KARIBUNI TARIMETeh!, Mwenzangu hao ni wa kukimbia kabisa, kipigo chao sio cha ki spot spot [emoji2]
hao wakulya wa namna iyo waliisha mwaka 2000 wa sasa ivi tunawazika kila uchwao eti wamejiua kisa mapenzi, eti nyumba haina maelewano. siku izi mnapigwa kiakili hadi mnajilipua (wengi wao askari)Sisi wakurya ndio wanaume , makabila mengi hamna wanaume halisi , sisi wakurya ni mwiko kwa jike kujibizana na mwanaume au kujaribu kipigana na mwanaume , akijaribu hicho ni kifo .sisi huwa tunatoa kipigo cha mbwa koko ( yaani tunachakaza ) , mi nashangaa eti dume zima na mavuzi yako unapigwa au kuendeshwa na mwanamke. SHIT MURAAA .KARIBUNI TARIME
Hao si wakurya muraa , niamini mimi . We njoo huku Tarime ushuhudie kwa macho yako . Kipondo tunachoshusha huwa siyo cha ulimwengu huu .tunakata na masikio incase hujawahi ona mwanamke kavunjwa iguu , mikono na kukatwa sikio . Wanaume wa kiKurya si wa mchezo .hao wakulya wa namna iyo waliisha mwaka 2000 wa sasa ivi tunawazika kila uchwao eti wamejiua kisa mapenzi, eti nyumba haina maelewano. siku izi mnapigwa kiakili hadi mnajilipua (wengi wao askari)
Uo ni udhaifu na upuuzi uliopitiliza . Hivi wewe uko radhi kabisa kutembezewa mkong'oto na kudhalilishwa na mkeo ? , hapo nani kaolewa kama sio wewe ?yawezekana iko ivyo kwa nyie mnao amini katika mfumo dume,ila kwangu ilikuwa ni kumpuuza kuepusha maneno na ugomvi usio na maana
kama umezaliwa na kulelewa kwenye familia ya kila siku dingi kumbutua maza lazima unione dhaifu
Wewe ndio mwanaume sasa , hawa viumbe bila kutembeza mkong'oto wa mbwa Koko dunia hii utaiona chungu nakwambia .Wangu mkorofi balaa na mkikwaruzana kidogo tu anakimbilia kuniuma meno hapa nilipo nina makovi matatu ya meno lakini rafiki yangu alinishauri dawa ya mwanamke mkorofi unatakiwa umdunde haswa bila huruma siku nyingine akikumbuka kipondo ulichompa ataishia maneno tu kwa kweli namshukuru jamaa maana kuna siku alilianzisha niliponda kama sio wapangaji ningeua. Sasa hivi tuna miezi kama kumi na moja hivi tuko shwari kabisa
Aliye kwambia uanaume uko kwenye kutembeza kipigo alikudanganya, matokeo yake tukioa kwenye haya makabila yenu ndio tunahangaika hivi ndugu zenu kutaka tuwadunde ndo wajua sie wanaume.Uo ni udhaifu na upuuzi uliopitiliza . Hivi wewe uko radhi kabisa kutembezewa mkong'oto na kudhalilishwa na mkeo ? , hapo nani kaolewa kama sio wewe ?
Nimeamini wanaume wamepungua kwa kiasi kikubwa katika jamii zetu , tumebaki na wavaa suruali .
aiseeeWewe ndio mwanaume sasa , hawa viumbe bila kutembeza mkong'oto wa mbwa Koko dunia hii utaiona chungu nakwambia .
Watambezeeni tu vipondo , mi mwanamke mwenye jeuri , kiburi na dharau hana thamani , ni kipigo heavy hadi hayo mapepo aliyo nayo yamtoke .Aliye kwambia uanaume uko kwenye kutembeza kipigo alikudanganya, matokeo yake tukioa kwenye haya makabila yenu ndio tunahangaika hivi ndugu zenu kutaka tuwadunde ndo wajua sie wanaume.
kiukweli jamii yenu inatupa sana shida