Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Mimi nilimuacha demu wangu kwa sababu alikuwa hajiamini. Yeye kila muda alikuwa ananihisi ninachepuka, mara utamuona usiku usiku anakuja nyumbani na kusachi kila sehemu kuona kama nina demu nimemficha. Atanitukana na kunipiga makonzi pamoja na kuniita majina ya kijinga na kwenda kwao. Akiwa njiani ananipigia simu na kunitukana Zaidi huku akinionya kuwa akinikamata na demu atakata dushelele langu na kulila mbele za watu. Cha kushangaza, sikuwahi kuwa na mchepuko kipindi niko na yeye na hata sasa.
Hadi makonzi tena hahahha
 
Hyo ni Disorder mkuu inaitwa
"Intermittent explosive disorder"

"Intermittent explosive disorder involves repeated, sudden episodes of impulsive, aggressive, violent behavior or angry verbal outbursts in which you react grossly out of proportion to the situation. Road rage, domestic abuse, throwing or breaking objects, or other temper tantrums may be signs of intermittent explosive disorder.

Most people with this disorder grew up in families where explosive behavior and verbal and physical abuse were common. Being exposed to this type of violence at an early age makes it more likely for these children to exhibit these same traits as they mature. There may also be a genetic component, causing this disorder to be passed down from parents to children"
Niliwah kuwa na mwanamke mwenye hii kitu. Mwanzoni nilidhani ana Bipolar Personality Disorder but today umenifungua macho.
sikujua hii kitu kama ipo, maana niliwah kuzungumza nae akaniambia ni tabia so hawezi kuibadili.
 
Ukiona Mwanaume anaogopa kuweka bayana ' Kipondo ' alichokipokea toka kwa Mpenzi wake jua ya kwamba huyo ' hakupigwa ' kisawasawa ili sisi tunaouguza sasa haya ' majeraha ' tumeshaanza kuchukua hatua za awali za kufikisha ' malalamiko ' yetu ya ' kutukuka ' kabisa kwa wa Wakwe zetu na akina Baba Paroko ili waweze kutusaidia Kiushauri ila kwa ' Kificho ' kabisa pia tumeshachua na ' RB ' ili kama ikitokea tena ' maumivu ' ya ' Ngumi ' za Kibondia yanazidi basi tuwe ' Wageni ' wema kwa Kamanda Sirro ili aweze kutusaidia. Jamani ' tunakong'otwa ' nyie acheni tu!
Umenichekesha saaaaana
 
Niliwah kuwa na mwanamke mwenye hii kitu. Mwanzoni nilidhani ana Bipolar Personality Disorder but today umenifungua macho.
sikujua hii kitu kama ipo, maana niliwah kuzungumza nae akaniambia ni tabia so hawezi kuibadili.
Ngumu kuacha ila anaweza akitia juhudi za kutaka kubadilika
 
Ngumu kuacha ila anaweza akitia juhudi za kutaka kubadilika
Dada yes nikiri ilikuwa ngumu kumuacha nilifanya juhud za kumsaidia ili hiyo hali iishe lakin yeye hata alikuwa haangaiki. Anachukulia powa tu.
jitihada zangu ziligonga mwamba..
Niliachukua maamuzi ya kumuacha.. maana niliona huko mbelen future yangu ingekuwa ngum sana kama ningeendelea nae.
 
Mimi nina mchepuko wangu mke wa mtu ni mshari mnoooo mwaka wa 20 huu, akipiga simu kulalamika mfano ameomba upite sokoni umchukulie mayai basi atapiga hiyo simu na atalalamika kwa saa nzima,yan kisa mayai tu eti...dah
sijui maneno huwa anatoa wapi, hapo atakumbushia kila kitu ambacho anahisi hukumtendea sawa, hata kilichotokea mwaka 2000, anakumbuka hadi tarehe na saa...ajabu tumeshindwa kabisa kuachana, huwa inatokea tunanuniana kwa wiki 2 then anaibuka tena na kutaka nikamfanye, hapo nitamfanya na anaenjoy kweli lakini atakuwa na malalamiko kibao...nilikaa naye kwa wiki 1 Arusha nilichoka kwa kweli...ajabu yeye hachoki kufanywa wala kulalamika!
 
Mie nilikuwa na demu wangu fatuma dah alikuwa mkorofi hatari
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Anaedhani wanawake ndo waathirika zaidi wa mateso ndani Ndoa huyo ni mpumbavu na mbumbumbu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ngumu kuacha ila anaweza akitia juhudi za kutaka kubadilika
Nilisumbuka na mwanamke mkorofi Mwenye makusudi Kwa miaka nane, nilidhani tukiachana ntaumia Sana maana nilimpenda na nilivumilia vituko matusi ugomvi na Shari, na hata alipotaka tuachane nilikwepesha ishu,
Lkn maajabu ni kuwa nilivyoachana nae Aisee hadi nimehisi wepesi, Nina Amani kubwa Sana sikudhani
 
Kuna Jirani Alikua Na Mwanamke Mgomvi. Bas Akawa Anamvumilia Na Kukaa Kimya Demu Mara Amfungie Nje Akichelewa Kuangalia Mpira,Kupasua Vitu,Mara Amtukane Mbele Za Watu. Sasa Dada Akasahau Kua Hajaolewa. Baada Ya Muda Jamaa Kaenda Kazini Mda Wa Kurudi Umefika Hajarudi. Demu Akasema We Lala Huko Huko Usirudi Jamaa Hajarudi Kweli. Kesho Hajarudi Kupiga Simu Jamaa Anapokea Vizuri Demu Anazidi HasiraJamaa Wiki Hajaja Anamtukana Tu Keenye Simu. Kumbe Jamaa Alipanga Kwengine Katafuta Vyombo Na Vitu Vya Ndani Kimya Kimya. Alijua Akimuambia Tuachane Anaweza Akamdhuru. Bas Bwana Jamaa Anakuja Kurudi Anamuambia Aendelee Na Maisha Na Kodi Imebaki Miez Mi5 Vitu Vyote Vyake. Mwanamke Kalia Kama Mtoto Jamaa Kamuambia Kila La Kheri Mama! Jamaa Alikua Anahamisha Vitu Vyake Muhimu Kimya Kimya Baada Ya Kuamua Kusepa. Dada Alilia Yule Mikamas Kama Mtoto. Alafu Na Watu Mtaani Walikua Wanafurah Anavyolia Koz Wanajua Na Walikua Wanamsikia Anavyomtukana Na Kumletea Jamaa Ubabe. Dada Hakumaliza Mwezi Akahama!!
 
Ila wakorofi wana raha zao haswa wenye matusi ila muhumu awe mwenye minyege tu maana mboo huwatuliza unakamua we kwa raha zako
 
Nilisumbuka na mwanamke mkorofi Mwenye makusudi Kwa miaka nane, nilidhani tukiachana ntaumia Sana maana nilimpenda na nilivumilia vituko matusi ugomvi na Shari, na hata alipotaka tuachane nilikwepesha ishu,
Lkn maajabu ni kuwa nilivyoachana nae Aisee hadi nimehisi wepesi, Nina Amani kubwa Sana sikudhani
Pole mkuuu..Upate mwingine asiye mkorofi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Dada yes nikiri ilikuwa ngumu kumuacha nilifanya juhud za kumsaidia ili hiyo hali iishe lakin yeye hata alikuwa haangaiki. Anachukulia powa tu.
jitihada zangu ziligonga mwamba..
Niliachukua maamuzi ya kumuacha.. maana niliona huko mbelen future yangu ingekuwa ngum sana kama ningeendelea nae.
Pole sana Mkuu
 
Dah! Umenikumbusha mbali sana. Nilikuwa na msichana alikuwa kimbaumbau lakini fujo zake kwa kifupi hajionei huruma, na alikuwa mbishi ukimpiga labda ni mpaka awe hoi au azimie ndio ugomvi uishe, mbaya zaidi yeye ugomvi wake ni kwenye wivu wa mapenzi tu, haka kasichana kalikuwa kananipenda sana ila fujo zake zilinichosha, na kalivyokuwa na wivu na hakaniamimi ndio kabisa, kiasi cha kwamba hata ningemwambia nipo kwenye misa angeomba kuongea na pastor, na ukishindwa kufanya hivyo jua kwamba ukikutana naye kuna adhabu atakupa, kuna siku alinikunja pale ferry wakati natoka kwenye pantoni et kwa sababu niliondoka kwangu tangu jana yake bila kumpa taarifa, wakati mimi siishi naye yeye anaishi kwao na mimi nimepanga, aliniaibisha huyu msichana. Nilipata hasira nikaanza kukapiga mangumi ya maana ikawa ndio kwaanza achochea yaani ndio kanapata hasira kanalia huku kakinipalamia, hadi wanajeshi wakatukamata na kutaka kunipa adhabu, cha kushangaza kakaanza kuniombea msamaha pale ili nisipewe adhabu, basi tukaachiwa akaanza kuniomba msamaha na nikampa evidence kwamba nililala tabata kwa mother, nikajua angejirekebisha ila akiwa katika normal mood anakuwa mtu poa sana hadi unaweza sema kuna kipindi anakuwa na shetani, ikafika kipindi akinikunja najitahidi nicholopoke nitoke nduki maana ukitaka kumpiga labda umzime.... nilipoona habadiliki nikaamua kuachana naye, nikasahau drama zake ila akaja kuibuka ghafla akapeana kisago na manzi wangu mpya, japo kalipigwa ila manzi wangu alisimulia show yake, sijawahi kuona mwanamke anayependa ugomvi kama yeye japo kuwa haumudu... kwa drama zake alinifanya nitoke kigamboni nipange tegeta kwa maana tumeachana bado yakimpanda analianzisha
 
Uzi umenifanya nicheke alfajiri hii[emoji3][emoji3]
Poleni wanaume wenye wake vigego,mm nisivyopenda ugomvi makelele sijui maneno maneno sipendi ht kdg tena nikiwa na rafiki wadizaini hii najitahd kumuepuka
Siwezagi yani
 
Ni leo asubuhi nimetoka kugombana na mrembo wangu. Kaniambia anajiskia anaumwa tumbo na miguu anajiandaa kwenda hospitali. Nikamuuliza una pesa, akanijibu ndiyo ninayo Tsh16000; nikamuuliza hiyo pesa inatoshakwenda hospitali? Ni hospitali gani inatibu kwa hiyo pesa? Hilo likawa kosa akawa mkali, eti dharau sipendi! Nikamuuliza dharau zinatoka wapi tena kuuliza ni dharau? Akawa mkali tena, eti kuuliza gani huko. Duh nikamwambia basi nenda huko hospitali ila hiyo pesa haitoshi. Tukamaliza kwa style hiyo, lakini nikawa najiuliza kwa nini wanawake wengi ni wagomvi wanapenda sana maisha ya purukushani na ubabe ubabe hasa wale wanawake wafupi wana matatizo sana.

Mkuuu hapo ilibid ujiongeze chap kwakutuma ht 20 imsaidie sasa ww unaanza maswali tena[emoji3]pole
 
Back
Top Bottom