Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

No wanawake wengi wanapigwa maana wanashindwa kujua kam sio wanaume wote wanapenda kupigiwa kelele kitu kidogo kwao kinakuwa shida kelele masaa mawili
Wanawake wa siku hizi wajuaji sana. Ndo maana hata akikosea hawezi jua kakosea kwan tayari anaamini anajua na anaweza.
Mbaya Zaidi hawajui kama ni wajuaji ndo maana hata ukiwaambia ni wajuaji wanakataa.
Matokeo yake ndoa nyingi Zinakufa sababu Fahari wawili hawakai Zizi moja.
 
Hahaha ila kuna wanawake manunda jamani. Kidume unagaragazwa hadi unaomba kimoyomoyo watokee watu wakusaidie teh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akileta ujinga garagaza tu , mpaka akili imsogee unajua wengi hawajitambui ni
kina nani katika familia unakuta limejaza midevu lakini lamaana hakuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi unikunjie ngumi umejiloga. Nitakutwanga mpaka ushike akili.

Ingawa mimi ni mcheshi, real gentlemen. Waulize wanaonijua humu.
Hata kama kosa lako? Mie sikusogelei ila kitakachokuwa karibu nakurushia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe Rusha tuu ila siku utakayojaribu kufanya hivyo kama Mungu aishivyo itakuwa siku ya Hasara kwako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna kitu kama hicho unikosee halafu unitandike hapana hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
yupo mmoja hivi.. kila akinichokoza sikasiriki.. sinuni wala sionesh tofaut yeyote zaid ya kucheka tu.. atafanya fujo.. vituko.. atachoka atalala..

ikabid siku aniulize.. "yaan wewe hata hujui kununa.. yaan hukasiriki.. emb siku nikasirikie"

nikamwangalia tu.. ila moyoni namwambia.."nikikasirika hautaamini milele"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna kitu kama hicho unikosee halafu unitandike hapana hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Njoo nikuoe ndio utajua nikisemacho. Kwa nini tuongelee mate
 
Kuna mchepuko aliwahi kuniambia usiniletee ujinga.Tokea siku hiyo hajawahi kusikia sauti yangu wala kuona sura yangu. Mke wangu hatukuwai kutoleana tusi ata moja alafu mchepuko anitikane. Ilikua mara yangu ya mwisho kuchepuka japo ni miaka kama 10 imepita
Hahahahahaha na kweli ukome
 
Duuuh, umenikumbusha jimama fulani la Kijaluo jirani yangu zamani kidogo. Jimama hilo korofi, nene, jeusi kisha limepanda hewani na mme wake vilele, miraba minne mithili ya umbo la Idi Amin. Basi ngumi zikianza baina yao, ni full burudani mtaa mzima maana watu wazima hao ilikuwa kawaida kukimbizana mtaani na kupeana kipondo. Aliyepewa kipondo kizuri atatulia kwa muda na kujisahaulisha lkn ipo siku ata revenge hata kama mwenzake yuko usingizini! Ulikuwa mchezo wa kuviziana daima na kulianzisha.
Apo mlikua mnajionea sinema zetu buuuure bila kulipia
 
Mwanamke mgomvi dawa yake unamtia mimba akijifungua unamtia mimba tena unahakikisha unamzalisha mpaka anazeeka baada ya hapo kwisha habar yake ugomvi automatic utaamia kwa watoto wake
Aiseeee
 
Kuna shoga angu huyo kaolewa Kuna muda namuonaga na Makovu lakini sijawahi kumuuliza ukimuona mmewe ni zaidi ya yy wanatwangana hao wanatowana makovu ila mumewe yanazidi
Ndoa Zina Mambo iziii
 
Nishawahi kuwa na mwnamke mgomvi,nilijuta,alafu bahati mbaya alikuwa mzuri dizain za kina masogange hivyo kumuacha unafikilia mara mbili utampata wapi kama yule.
Unaweza ukafanya mazuri kibao,usipomfanyia moja tu,yaani anasahau yote na analianzisha! Hapo sahau sex,kuongea hata chakula ndani siku hiyo akipikwi bahati mi mwenyewe si mbaya jikon.
Wanawake wakorofì wanapenda wivu wa kijinga,hawapendi kusikiliza,na ni kama watoto anapenda sana kuridhishwa wakati wao hawajitahid hata kidogo kwenye mapenzi,M/Mungu aniepushe kukutana na aina hii tena.
itakua ulivyoachana naye nikakutana naye mimi huyo demu...
 
Back
Top Bottom