Wanaume tuwe wasafi jamani!

Kuna Mambo sisi wanaume lazima tuyaache na tujue jinsi ya kuwa wasafi.

2. Hotelini mtu anasukutua na kutemea mate au kohozi kwenye sink linalotumiwa na watu wote. raha mustarehe


Mkuu kwenye hateli masink huwa yako WC, huko ndo haswaaa kunako fanyika usafi huo unaoutaka.
 
we vipi? Watu wako busy na life,wewe anza usafi huo,kapige mkorogo kama madem tujue moja !
Mwanaume kunuka soksi siyo issue kivile mambo ya kawaida.
Tafuta pesa mkubwa achana na mambo ya kujipodoa podoa,hizo time hatuna sisi !,hivi maisha haya chini ya uongozi wa sasa ccm unaweza kupata muda wa kuwa msafi kiivyo utakula nini,kwa raha ipi,subiri kwanza tuachafuke saaana na muda ukifika tutastarehe.

aminia mwanangu, nasikia kuna mpaka manukato sijui perfume, kuna baadhi ya wanaume wanajipuliza kabisa, aaaaaagh! Mwanaume hasifiwi usafi, anasifiwa kazi nyie,
 
Hama huko umasaini uje mjini bwana tukufungue macho na mambo kimjini mjini. Niliposoma nikadhani labda ni mwanume ndiye aliyeandika hii kitu. Kwa nini tu usibadili huyo mshikaji wako utafute anayejua kutumia mapoudaaaaaaaaaaaaa!

Ila hiyo kitu inaboa sana. Heri ya soksi kutoboka kwani akivaa viatu huwezi kuona. Kuna ambazo zinatema hata bila kuvua viatu. Na hiyo ya midomo kunuka, kwa kweli kama ndiyo mumeo au mpenzi wako, itabidi tu uzoee.
 
Duh jamaa kaamua kutuanika hapa. Ngoja nikanunue sox mpya aise maana ya kwangu imetoboka kidole gumba
Halafu boxer nazo zina wiki hazijafuliwa
 
Dawa ya kikwapa hiii hapa

chukua ukoko wa ugali, uloweke, uweke kwapani kwa mda kama dakika kumi hivi then toa. Harufu inaisha. Dawa nyingine kunywa maji kwa wingi ili jasho liwe diluted!
 
Duh jamaa kaamua kutuanika hapa. Ngoja nikanunue sox mpya aise maana ya kwangu imetoboka kidole gumba
Halafu boxer nazo zina wiki hazijafuliwa
Du! polepole basi nawe.huyu Rose1980 akikusikia tu, kesho utajikuta kwenye gazeti la nipashe
 
kuna mambo sisi wanaume lazima tuyaache na tujue jinsi ya kuwa wasafi.

1. Mtu soksi zinanuka kwa sababu ya kuvaliwa kwa muda mrefu haoni kama ni tatizo

2. Hotelini mtu anasukutua na kutemea mate au kohozi kwenye sink linalotumiwa na watu wote. Raha mustarehe

3. Una soksi ina bonge la tobo kwenye kisigino na kwenye dole gumba lakini bila ya aibu unaivua mbele za watu.

4. unaingiza dole lako kwenye pua na kutoa kamasi au ugando wa kamasi bila ya wasiwasi mbele za watu

alafu unapata jamaa katoa dole...anaagalia kama kapata almasi, toka mashimoni..(wengine watia mdomoni..aaaghhh!!!!)

5. Unafanya kazi gereji hufui nguo zako hadi tofauti kati yako na grease za gereji inakuwa sawasawa na ziro

6. unajijua una kikwapa lakini kunyoa nywele zako za kwapani inakuwa ni mgogoro mkubwa.

wenyewe wasema kunuka uuume (kibeberu), ndio kivutio kwa kina dada(kina rose...)

7. Unakula kitimoto, unakunywa bia na vitu vingine kadha wa kadha,lakini mswaki kwako mwiko!

8. Huwezi kuoga mpaka ujue unakwenda kwenye kideti kipya.

9. Domo lako unajua kwamba linanuka lakini wewe ndiyo kinara wa kutaka kunong'oneza watu.

Hizi ni tabia ambazo baadhi yetu wanaume tunazo ila wengine wanazitetea eti ndiyo "udume" jamani tuwe wasafi kwani usafi nao ni sehemu inayochochea mapenzi.

mume si uuume bali ni kiume!!!!!!
 
Mkuu kwenye hateli masink huwa yako WC.
siyo kila Hoteli ina masink WC kwa taarifa yako mimi nwenyewe nilishuhudia jamaa Pale mnazi mmoja akisukutua na kutema mate wakati wengine tukila chakula.
 
Kwani ni wanaume tu peke yao! mbona na nyie hamfui chupi zenu mpaka zinatoa harufu mbaya kama yai viza
- unakuta msichana kavaa wigi linanuka ile mbaya halafu anakaa katikati ya watu
- upo kwenye siku zako kwa nini usitumie vizuri basi hizo pedi zako? kwani ni lazima mpaka tuzisikie harufu?
 
Kwani ni wanaume tu peke yao! mbona na nyie hamfui chupi zenu mpaka zinatoa harufu mbaya kama yai viza
- unakuta msichana kavaa wigi linanuka ile mbaya halafu anakaa katikati ya watu
- upo kwenye siku zako kwa nini usitumie vizuri basi hizo pedi zako? kwani ni lazima mpaka tuzisikie harufu?
kweli bwana!!
 
watawezaje kusema wakat midomo yao inatema?
labda wataandika..ahh km kuandika poa tu waache waaandike asi wanafanya mazoez ya vidole manake ndo kiungo pekee wanachokifanyisha mazoez vingne vyote vipo tu vimelala kuanzia januar mosi mpk desemba 31

KESHO TENA UWACHANE enhh?wapake wapakike manake daily ahh demu wangu kajamba..demu wangu ananuka nini sjui..demu wangu anabnuka sana...ahh wanatudhjalilisha sana awa ,...yaan masuala ya kukaa na demu wakew akamrekebsha ye analeta apa..au ukute mkaka jana kapigwa kibut ahh utajua tu atakuja na topic nzito uyo acha yakuponda mademu mwanzo mwsho full kudhalilisha as if mama yake si mwanamke..
wewe rose1980?????...umetumwa nini? haki, please kamwambie huwapo. Jesus Christ, ukizidi tutaissue warrant of arrest kwako na mto mada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom