Wanaume tuwe wasafi jamani!

Teheteheteheteheh,,,,,:loco: MBAVU ZANGU MIE.. BASI KUMWAMBIA LIVE UNAOGOPA UNABAKI KUGEUKA PEMBENI TU.

ndugu acha tu...najifanya nainama chn napandisha soks ili nisiwe nae sambamba ili arufu isinipate manake nikismama nae tunalingana so pumzi zoooote puan kwangu..bas nikawa tu naishia ahh admau jaman wewe..yaan admu jaman ngoja nimuwai mwalimu. ..ata nikimwona mbali najifanya admu mamboo....?ili niwe nshamsalimia na ivyo asinifate kunihug
 
Hivi nani humu (waume kwa wake) ana floss mara mbili kwa siku? Mnajua hata ku-floss ni nini?

Nani humu wanatumia tongue scraper mara mbili kwa siku?
 
Nakubaliana na wewe kabisa ,hasa wale wanao nuka kikwapa na midomo ndio hodari wakutaka kuwakaribia watu, ivi niulize wengine wana wakezao ivi ukiwa kama mke unashindwa kumulewesha mwenzio au kumwambia kama mwenzangu hapa fanya hivi,aaah mie siwezi hata kama mpenzi wangu nakwambia manake hata raha ya mchezo inakua hakuna tenaaaaaaa manake akiingia chumbani harufu ya chumba kizima kinanuka yeye,yaaak...
 
ina mana niende na mswaki BAR???

yes nenda nao..unakunywwa bia..kitimoto+karanga zikipita umeita+korosho wakat mchana ulipiga ugal dagaa au ugali samak na kachumbari sa apo unategemea nin?

nenda nao babu wewe ukimaliza jiswak fresh ukirud domo arufu zero lakin ahabar ya kurud home na GRANDTOTAL YA HARUFU ZOOOTE uko stak mie....
 
Hao wanaume wenye tabia hizo ni wa huko kwenu,.....ambako hakuna maji,sabuni,maduka ya kuuza miswaki na dawa,hakuna leso,...etc,..huku kwetu hayo mambo hayapo_na hao kina Preta na Rose1980 wanao kussuport nafikiri mnaishi nao huko...waambie waje kwetu wataona tofauti
\
umesaha ndugu yangu kwamba kwetu ndiyo kwenu. Hata Huku wako ina maana wewe mwenzetu umeshahama huku tunapoishi?
 
Je hayo yote ni kwa wanaume tu au hata jinsia nyingine?

Ndiko ninakoelekea huko na mimi. Maana nadhani wengi wa hawa wanaopondoa kuhusu usafi wa vinywa vya wanaume nao usafi wao ni wa mashaka vile vile.

Taratibu tu tutafikia kwenye uwiano.
 
Je hayo yote ni kwa wanaume tu au hata jinsia nyingine?

jaman mwandish asi kasema WANAUME TUWE WASAFI JAMAN..au kichwa cha habar aukion fresh..apo anamaana kuwa WANAUME NDO WACHAFUuuu...hah hahhah haa..najua ningekuw akaribu apo ungenipa kikwenzi cha utos..lakin ndo ivyo..apo anamaana kuwa kajiridhisha kabsa jinsia nyingne apa duniana HAINA tabia km zio so m here with due respect KONKAA with STATEMENT,,.....mfuege soks izo eboooooooooo!!!!!!
 
Do you floss?

Do you use mouthwash? If so, what kind?
 
daaa kweli kabisa....... ila swala hili siyo wanaume tu hata wanawake pia.
 
Ndiko ninakoelekea huko na mimi. Maana nadhani wengi wa hawa wanaopondoa kuhusu usafi wa vinywa vya wanaume nao usafi wao ni wa mashaka vile vile.

Taratibu tu tutafikia kwenye uwiano.

ni wanaume tu.KM ILIVYOANDIKWA NDIVYO ILIVYO...teh teh ..jaman ndugu mwandishi umenikuna leo mwee sjui nkupe nin walahh ebu chagua fasta bwna..
nawasilisha.
 
Hivi nani humu (waume kwa wake) ana floss mara mbili kwa siku? Mnajua hata ku-floss ni nini?

Nani humu wanatumia tongue scraper mara mbili kwa siku?
wengine wakila nyama wana Floss lakini pia siyo lazima uwe na Tongue Scraper lakini angala kwa kiwango cha chini uwe unafanya usafi wa kinywa chako. Sasa fikiria mtu siku mbili haapigi mswaki.
 
wengine wakila nyama wana Floss lakini pia siyo lazima uwe na Tongue Scraper lakini angala kwa kiwango cha chini uwe unafanya usafi wa kinywa chako. Sasa fikiria mtu siku mbili haapigi mswaki.

Wana floss na nini? Toothpicks?
 
Si wanaume tu na wanawake wamo bwana msitusingizie sisi tu. hebu leo nifue soksi zangu msije nisema bure
 
ni wanaume tu.KM ILIVYOANDIKWA NDIVYO ILIVYO...teh teh ..jaman ndugu mwandishi umenikuna leo mwee sjui nkupe nin walahh ebu chagua fasta bwna..
nawasilisha.
wewe unataka hawa jamaa waseme umenipa RUSHWA!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom