Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,649
ITS JUST MANLY PRIDE!unajua msamaha huenda na confession sasa hapo ndo ngoma aseme kuwa amekusaliti,aseme kuwa amejenga kwa pesa ya hawara,aseme kuwa gari alilokununulia alipata peasa kwa kuua,aseme kuwa anatembea na mdogo wako,aseme kuwa umekuwa rough sana ndo mana hakutamani,aseme kuwa wanashare penzi na kakake,aseme kuwa ana miallowance kibao ofisini lakini mzigo wa matumizi anakuachia wewe,na mengine kibao!haya ndo yanamfanya mwanaume asiombe msamaha manake kusema ukweli mimi ili nikusamehe lazima useme lile kosa na ulitapike lote tena into details sasa hapo ndo ngoma WANAANZAJE!though guys kusema ukweli mnatuumiza sana ambavyo hamuombi msamaha a woman needs to see yu regret,and confess sio mammbo ya kukimbilia kutaka ka mchakato hata kabla hamjaweka mambo sawa!pale mnazidi kuumiza hisia za wenzenu!
Hapo tu...Yaani mna-demand vitu ambavyo ni vigumu kupewa...Ni sawa na kumtuma mumeo akuletee jino la simba au cobra!! Kama mnawapenda waume zenu basi msiwafikishe kwenye hiyo hatua!!
Babu DC!!