Wanaume, tupeni majibu hapa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume, tupeni majibu hapa...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by gfsonwin, Aug 15, 2012.

 1. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  Hivi kwanini wenzetu nyie si wepesi hata kidogo wa kukiri makosa yenu na kuomba msamaha? Kwanini mara nyingi huwa mnatafuta means ya kujusfty makosa kuliko kuomba msamaha? je ni ubabe ama ni aibu ama mnahisi kufanya hivyo ni kujishusha hadhi yani kutoka kuwa mwanaume na kuwa mtu mwingine?

  je na kwa wale mnaokiri na kuwaangukia wake zenu kwa samahani, je wake zenu wamewahi kubadili heshima yenu ama hata kukudharau?

  leo akina mama tukae tuwatupie maswali kwa kila hoja watakazo leta hadi tujue nini ni nini.

  nawasilisha.
   
 2. NyotaMalaika

  NyotaMalaika Senior Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kwakweli..
   
 3. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  afadhali kungwi wetu umerudi
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  nitayainua macho yangu nitazame milima...
   
 5. o

  omary2222 Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  dada kiukweli sipokwenye mahusiano lakini hapo ni ukatili sana na uonevu
   
 6. m

  muhinda JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 340
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Malezi dadangu
   
 7. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #7
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ni kwa sababu ya ubabe na kutokujali hisia za wenzetu,malezi ya kijinga yanayotujenga tujihisi ni watawala.
   
 8. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,662
  Likes Received: 5,256
  Trophy Points: 280
  "Heri kuishi juu ya paa la nyumba, kuliko kuishi na mwanamke mgomvi"
  sehemu ya nukuu toka katika vitabu vitakatifu..
   
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  mwaya nimerudi ila leo nataka hawa wakaka wa humu jf watuambie manake jamani hatuwaelewi. ama sijui wenzetu ni malaika.
   
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  sasa kwanini mnapenda kuonea wanawake?
   
 11. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  inamaana malezi mnaambiwa msiombe samahani?
   
 12. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  wanaume wa jf mko wapi? tunawasubiri mtusaidie kwa nini samahani inakuwa ngumu kana jiwe?
  ila mie naweza sema nina bahati naombwa msamaha pale anapokosea lol
  wanaumee were r u?
   
 13. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  hivi mtawala huwa ni role model ama ni mbabe?
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  so womn always ni wagomvi kwa mujibu wa vitabu hvyo?
   
 15. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #15
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,403
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kama matone yanayovuja katika nyumba ni sawa na mwanamke mkorofi katika nyumba kwikwikwikwikwi
   
 16. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #16
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280

  aisee! you are lucky ila kuna wanaume ni wabish wasamahan na wengine wanadai eti kuish na mwanamke mgomvi ni bora uish kwenye paa. yaani men .................goja waje niwaskie hapa.
   
 17. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #17
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wenzetu gani dear? wanaume?
   
 18. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #18
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280

  na kama moshi unavyoumiza macho ndani ya chumba cha jiko ndivyo ilivyo kuish na mwanaume mkorofi ndani ya nyumba.
   
 19. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #19
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sio wote. Just like kwa wanawake kuna ambao wanakiri makosa yao
  (kwa dhati au kwa unafiki) na wengine wanakomaa na uongo au kiburi.
   
 20. m

  muhinda JF-Expert Member

  #20
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 340
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  unakuta mtu kalelewa kwenye family ambayo anaona mama siku zote ananyanyaswa, na hajawi kuona baba anaomba samahani hata siku moja. what do expect out of this man!

   
Loading...