Wanaume, tupeni majibu hapa...

Wanaume, tupeni majibu hapa...

"Men are all the same",ndiyo slogan ambayo kila mdada hutumia,ila the truth men are different in their own way n the truth is dat wapo ambao saying sorry,thank u etc is in their blood.
Tatizo ni kwamba wapo wadada ambao wakikutana with such kind of men wanaanza kuwa exploit wakidhani its sumthing rare that they shud use it to their own merit ndo maana men change to protect n prevent dat from happening.
 
Ni wazito wa kuomba msamaha sababu sisi ni wepesi, tunakuwa lege lege sana, kakosa yeye msamaha unaomba wewe. Ukishamjengea mtu wako mazingira hayo usitegemee atakosea na akiri kosa!
Wanawake wa kulia lia, unyenyekevu usio na maana wabadilike sasa
 
mwanamke unyenyekevu wewe mdada!
 
Ni wazito wa kuomba msamaha sababu sisi ni wepesi, tunakuwa lege lege sana, kakosa yeye msamaha unaomba wewe. Ukishamjengea mtu wako mazingira hayo usitegemee atakosea na akiri kosa!
Wanawake wa kulia lia, unyenyekevu usio na maana wabadilike sasa

Mwajuma Keki
 
uombe msamaha kwani umekosea wapi? wanaume si kitu mchezo mchezo. yeye kama leader atafanya makosa hapa na pale ktk kutekeleza majukumu yake. haiwezekaani kila ufanyapo kosa uombe msamaha, hapo sasa utakuwa Bushoke. Kama leader, siyo kila kitu kinakuwa na umuhimu, ndo maana tunafundishwa ku-ignore trivialities, kama vile kuomba msamaha, kumfata fata mkeo nay umbea. Daima mwanaume atajihusisha naa mambo yenye impact, katika family na jamii na siyo mambo madogo madogo ya bikini bikini. i stand to be corrected
 
Ni wazito wa kuomba msamaha sababu sisi ni wepesi, tunakuwa lege lege sana, kakosa yeye msamaha unaomba wewe. Ukishamjengea mtu wako mazingira hayo usitegemee atakosea na akiri kosa!
Wanawake wa kulia lia, unyenyekevu usio na maana wabadilike sasa

nakubaliana na wewe, wanawake sometimes wanayalea haya......mwanaume akosee halafu mke uanza samahani mumewangu.....imagine kamfumania...anamuomba msamaha kwa kumfumania? Upuuuzi, anategemea huyu kiumbe nda ataacha umaaruni wake????
 
huwa yanatokea haya?
 
Tatizo wanawake wengi ukiwaambia ukwel ndo umeharibu ndoa yako, bora udanganye coz hawapend kuambiwa ukweli.
 
Malezi bora . Kwa wengine hiyo ni "defence mechanism" lakini isiyo na tija. Kwangu mimi kuomba msamaha ni jambo la kawaida na huwa tunaelewana na Thando wangu. Heshima haijawahi shuka ila ndio inakuwa siku hadi siku.Yote haya ni kupitia ukweli kwani mtu akiijua kweli itamuweka huru. Kujiamini ni suala jingine hapa....wanaume wengi tuna tabia ya mfumo dume ambao matunda yake ni ile hali ya kutojiamini kabisa....wanaume tubadilike kwa hili.

Hivi kwanini wenzetu nyie si wepesi hata kidogo wa kukiri makosa yenu na kuomba msamaha? Kwanini mara nyingi huwa mnatafuta means ya kujusfty makosa kuliko kuomba msamaha? je ni ubabe ama ni aibu ama mnahisi kufanya hivyo ni kujishusha hadhi yani kutoka kuwa mwanaume na kuwa mtu mwingine?

je na kwa wale mnaokiri na kuwaangukia wake zenu kwa samahani, je wake zenu wamewahi kubadili heshima yenu ama hata kukudharau?

leo akina mama tukae tuwatupie maswali kwa kila hoja watakazo leta hadi tujue nini ni nini.

nawasilisha.
 
uombe msamaha kwani
umekosea wapi? wanaume si kitu mchezo mchezo. yeye kama leader atafanya
makosa hapa na pale ktk kutekeleza majukumu yake. haiwezekaani kila
ufanyapo kosa uombe msamaha, hapo sasa utakuwa Bushoke. Kama leader,
siyo kila kitu kinakuwa na umuhimu, ndo maana tunafundishwa ku-ignore
trivialities, kama vile kuomba msamaha, kumfata fata mkeo nay umbea.
Daima mwanaume atajihusisha naa mambo yenye impact, katika family na
jamii na siyo mambo madogo madogo ya bikini bikini. i stand to be
corrected

Acha uprimitive,kwanza inaonesha umezaliwa 90 kweusi
 
Malezi bora . Kwa wengine hiyo ni "defence mechanism" lakini isiyo na tija. Kwangu mimi kuomba msamaha ni jambo la kawaida na huwa tunaelewana na Thando wangu. Heshima haijawahi shuka ila ndio inakuwa siku hadi siku.Yote haya ni kupitia ukweli kwani mtu akiijua kweli itamuweka huru. Kujiamini ni suala jingine hapa....wanaume wengi tuna tabia ya mfumo dume ambao matunda yake ni ile hali ya kutojiamini kabisa....wanaume tubadilike kwa hili.

umekuzwa vzr sana.
ila wewe wenzio hawakushanga ama mkeo hakushangai kuskia kwamba unamwomba msamaha??
 
poa bhana, primitive mie. cha kukumbuka ni kuwa wanaume hatakaa ajishushe, hili ni amri ya Mungu! habari ndio hiyo @ zhou
 
Back
Top Bottom