Wanaume, tupeni majibu hapa...

Wanaume, tupeni majibu hapa...

kwa nini huyo baba hakumwongezea kibao kidogo? ili kesho ajue akiambiwa stop anatii

Hapa sasa unataka kunichekesha Fixed Point...

Yaani wewe mwenyewe unapendekeza mwanamke mwenzio achapwe vibao??

Hata hivyo wanaume wa kweli huwa hawapigi wake zao hata kwa dawa....Ila hata wakifumaniwa live (ili mradi hujakuta mkono kwenye kopo la sukari) huwa hawaombi msamaha ng'o!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ofcourse ni ujinga Swahiba, you dont think so? wewe kama umekosea ubabe wa nini sasa? mkeo akipigiwa simu na vidume unadinda mpaka unamkosesha Amani mtoto wa watu, anaomba msamaha hata kumkubalia msamaha hutaki, wewe ukikutwa na meseji kwenye simu eti ubabe, sasa hu si usela ma ..... a GENTLEMAN ni mtu anayeweza hata kumwomba msamaha mwanaye.

Kuna siku nilirudi home nikawa na mikazi ya oficin, sasa mwanangu akawa anakuja kwenye laptop analeta namto kwa nguvu, Kama mara 5 hivi, ya sita mzee aliondoka kimya akaenda chumbani akalia mpaka akapitiwa na usingizi .........
Wife akasema sijatenda haki, nikatupa laptop nikanza kumweleza wife I real admit that was bad.

Basi nikaa sikulala nikavizia mpaka mtoto akashtuka kama saa 5 hivi, alipoamka nikamchukua nikakaa naye mda, tulicheza mpaka alipolala tena saa saba usiku ndo nikalala fresh. Kwa hiyo nili apologize fresh kwa wife na kwa mtoto pia, and I think that is good for the father to do.

Kumbe wewe uttoh2002 unaongelea haya mambo ya kitoto.....!!

Mie nilidhani unaongelea mambo ambayo hata kumwangalia usoni mkeo unahitaji kuomba ruhusa ya shetani.....

Siwezi hata kufikiria kuwa hili ni kosa la kumsumbua mwanamume......!!

Halafu ukumbuke kuwa wanaume wa kweli hawafanyi makosa ya kitoto kama kupeleka sms za hawara zao home.

Hebu jikumbushe jinsi ya kushughulikia issues za kiume hapa,

CLICK HERE

Babu DC!!
 
Hello, Leo ndio kwanza nimepata fursa ya ku-join JF na topic yako ikanivutia. Ukweli wanaume wengi tunaelewa ukijinyenyekeza tu mpenzi wako atakukalia. Hamsau kitu nyie na mtakuwa mnakumbushia kwenye kila jambo hivyo tnaona ni bora kuminya
 
Dark City napenda kuutambua mchango wako kwenye huu uzi ingawa najua kabisa wachache sana wataelewa unachokimaanisha kwa upande mwingine ila ukweli umetuelewesha hasa tabia za kiume ambazo sasa wanawake tutaanza kuziona ni za kawaida sana kwetu. uongezewe busara zaid.
 
Last edited by a moderator:
Hello, Leo ndio kwanza nimepata fursa ya ku-join JF na topic yako ikanivutia. Ukweli wanaume wengi tunaelewa ukijinyenyekeza tu mpenzi wako atakukalia. Hamsau kitu nyie na mtakuwa mnakumbushia kwenye kila jambo hivyo tnaona ni bora kuminya

je wafikir kuminya kutamfanya mkeo asikumbuke? tena ni bora useme liishe kuliko kulistomaki manake mwishoni ni kukumbushiwa hadi siku ya mwisho uliyojamba mkila. tena ni vyema kabisa mkajua kwamba wanawake are good at rot learning isee.
 
Me nafikiri hii ni tabia ya wanaume tulio wengi kwani kukiri kosa huwa ni wagumu sana kwani huwa tunahisi kukiri kosa na kuomba msamaha ni kujishushia uwanaume wetu kitu ambacho sicho, yan tuko radhi kutunga story hili tusionekane tumekosa! Na hii kwa upande mwingine utokana nakuto jiamini kuwa hata tukiomba msamaha hakutapunguza heshima yetu.

Pingine hii pia utokana na aina ya wanawake tulio nao, wanawake wengine ukisha kiri kosa na kuomba msamaha kila siku atakuwa anaongelea kile kile hivyo utulazima kutokiri makosa hili kuepusha shari.
 
Du...The Boss hiyo conclusion yako wala hujaipa evidence za kutosha...yani mke aki demand apology mara kwa mara ndoa inakufa... Bado hujatoa maelezo yenye mashiko. How??? Mme anachoka kuombwa aombe msamaha.

wanawake wako so good kwenye ku demand apology
tena wana enjoy ku demand kama kama amekubana na ushahidi huna
yaani mtu 'kakusoea' na anakulazimisha uombe msamaha sababu huna evidence
ya kumtuhumu....inaumiza saana
na huwa sababu ya ndoa nyingi kufa mwishowe
 
Ila inabidi mi nifanye kazi ya ziada maana naona huu uanaume huko kwenye damu pia..mwanangu kuna siku anakuwa radhi abutuliwe kuliko kuomba msamaha...

Kuna siku alifanya kosa shule tulipotoka job babake kachukua bakora amtandike...mi nikaingiwa na huruma nikmwambia omba msamaha, knowing kuwa hiyo ndio itakuwa pona yake, kwani wote mimi na mume wangu tunaheshimu sana mtoto anapokubali kosa na kulijutia kwa kuomba msamaha. Aisee dogo aligoma kata kata na alikuwa 4 years tu. Mpaka baada ya kula fimbo kadhaa ndo akasema Dad am sorry.

Wakati mwingine anasema usinichape mama nimeshaomba msamaha. Inategemea ameamkaje. Ndio maana nasema labda kiburi cha kiume kiko damuni.

Ni vizuri kufundisha watoto kuombana msamaha, mimi pia wangu nawafundisha hivyo. na wameshazoea.
kama mmoja amefanya kosa na fimbo inamsogelea, anakuwa amechanganyikiwa sasa napata viboko, utasikia mwenzake "mwombe mummy akusamehe", kama sinema hivi, basi nabaki kucheka tu
 
sijawah kuwa na mwanaume mkorofi hata kidogo wala siombei niliye nae abadilike kwa kiasi hicho ila nasemea uzoefu wangu kwenya mambo ya usuluhishi kwenye ndoa.
haya mamaa ya usuluhishi mimi nimeamua kumpenda mke wangu mpaka anashangaa huwa anawahadithia wenzake maana huko nyuma kama sijajua nilikuwa nalikuwa na matatizo mengi sana wenye ndoa baada ya migogoro mingi sasa nimejifunza na tunayafurahia maisha hata jana jioni tulikuwa kwenye vikao vyetu vya kawaida kujadili maendeleo ya penzi letu na kuangalia ni wapi tunapokwanzana, tukaombana msamaha tukatoka hapo tukiwa tunaelekea nyumbani nikafungulia mlango wa gari nikambeba kumpandisha kwenye gari tukapigana kiss yaani nimejifunza kupenda kama kwenye sinema vile maana nyie wanawake mnaangalia mamuzi ya kidhungu halafu mnasema wanaume wa ki A free car hatujui kupenda sasa namimi natoa za kimuvimuvi wewe yaani mwanamke anavyojisikia raha hadi radi
 
Hivi kwanini wenzetu nyie si wepesi hata kidogo wa kukiri makosa yenu na kuomba msamaha? Kwanini mara nyingi huwa mnatafuta means ya kujusfty makosa kuliko kuomba msamaha? je ni ubabe ama ni aibu ama mnahisi kufanya hivyo ni kujishusha hadhi yani kutoka kuwa mwanaume na kuwa mtu mwingine?

je na kwa wale mnaokiri na kuwaangukia wake zenu kwa samahani, je wake zenu wamewahi kubadili heshima yenu ama hata kukudharau?

leo akina mama tukae tuwatupie maswali kwa kila hoja watakazo leta hadi tujue nini ni nini.

nawasilisha.

km ww ni kungwi lazma utajua mojawapo ya madhaifu asili ya mwanaume alwayz ni kuwa mbabe vwango ni tofauti hawaomb msamaha na ht tukiomba ninyi hamsahau kirahisi ambayo ni weakness yenu pia dats y ukigombana na mwanamke ataweza ht kukumbushia miaka sita ulilala nje so mjue mme/mpenzi wako dats ol
 
Ila inabidi mi nifanye kazi ya ziada maana naona huu uanaume huko kwenye damu pia..mwanangu kuna siku anakuwa radhi abutuliwe kuliko kuomba msamaha...

Kuna siku alifanya kosa shule tulipotoka job babake kachukua bakora amtandike...mi nikaingiwa na huruma nikmwambia omba msamaha, knowing kuwa hiyo ndio itakuwa pona yake, kwani wote mimi na mume wangu tunaheshimu sana mtoto anapokubali kosa na kulijutia kwa kuomba msamaha. Aisee dogo aligoma kata kata na alikuwa 4 years tu. Mpaka baada ya kula fimbo kadhaa ndo akasema Dad am sorry.

Wakati mwingine anasema usinichape mama nimeshaomba msamaha. Inategemea ameamkaje. Ndio maana nasema labda kiburi cha kiume kiko damuni.
Mimi hao wangu ni wakaka, wote wawili....... na wanaomba msamaha, maana wanajua bakora za mummy siyo mchezo.
kuna mdogo wangu wa kike yeye alikuwa anatuchekesha sana. mama yetu pia alikuwa ukifanya kosa na ukaomba msamaha hakuchapi. huyo mdogo wetu alikuwa nanaomba msamaha baada ya fimbo kadhaa. Tukimwuliza kwa nini hujaomba kabla ili usichapwe, alikuwa anatuambia alikuwa anamwonea huruma mama, eti alitaka apunguze hasira kwa kumchapa angalau kidogo.... kahangaika kutafuta fimbo halafu nimkatize tu! siyo fair
 
Hivi kwanini wenzetu nyie si wepesi hata kidogo wa kukiri makosa yenu na kuomba msamaha? Kwanini mara nyingi huwa mnatafuta means ya kujusfty makosa kuliko kuomba msamaha? je ni ubabe ama ni aibu ama mnahisi kufanya hivyo ni kujishusha hadhi yani kutoka kuwa mwanaume na kuwa mtu mwingine?

je na kwa wale mnaokiri na kuwaangukia wake zenu kwa samahani, je wake zenu wamewahi kubadili heshima yenu ama hata kukudharau?

leo akina mama tukae tuwatupie maswali kwa kila hoja watakazo leta hadi tujue nini ni nini.

nawasilisha.

tunaomba msamaha lakini inabidi iwe kwa namna ya kipekee zaidi ya mwanamke na mtoto ,na maanisha kuomba msamaha kiuwanaume anaume na siyo km hapo kwenye blue ticha.
 
Hivi kwanini wenzetu nyie si wepesi hata kidogo wa kukiri makosa yenu na kuomba msamaha? Kwanini mara nyingi huwa mnatafuta means ya kujusfty makosa kuliko kuomba msamaha? je ni ubabe ama ni aibu ama mnahisi kufanya hivyo ni kujishusha hadhi yani kutoka kuwa mwanaume na kuwa mtu mwingine?

je na kwa wale mnaokiri na kuwaangukia wake zenu kwa samahani, je wake zenu wamewahi kubadili heshima yenu ama hata kukudharau?

leo akina mama tukae tuwatupie maswali kwa kila hoja watakazo leta hadi tujue nini ni nini.

nawasilisha.

huo ni udhaifu wa wote, si wanaume tu. Mi mke wangu hata afanye kosa kubwa namna gani utamuua tu, hasemi samahani. Utamsikia"kwani wewe hukoseagi". ovyo!
 
Back
Top Bottom