Wanaume, tupeni majibu hapa...

Wanaume, tupeni majibu hapa...

inamaana malezi mnaambiwa msiombe samahani?

Siyo kwamba huwa hatuombi samahani...we do quite often..but you know what it means...just to end unwanted arguments!!!!

In short, kupunguza kelele na vuvuzela!!

Babu DC!!
 
Mdogo wangu gfsonwin,

Mwanamume wa kweli (dume hasa) ambaye testostorone inafanya kazi vizuri, hawezi hata siku moja kukiri makosa kwa mke wake......Naomba ieleweke hivyo kwa sababu men are not big boys or women without breasts!!

Babu DC!!

khaaa! babu DC heshima mbele mkuu binafsi nilijifunza kutokuzoea kuombwa msamaha so naona kawaida sana tu ila kwa wenzangu waliolelewa hivyo wanateseka sana jamani.
 
Kwanza ni malezi,malezi yametufundisha kutokubali kirahisi.Tabia hii ni moja ya tabia zinazoitwa kimakosa kuwa tabia ya kiume.Kukiri kosa ni njia bora ya kulisahihisha kosa na kuboresha uhusiano,lakini bahati mbaya malezi yanatueleza kuwa huo ni uanamke wakath sio kweli!

Kama kosa gani hilo unalotakiwa kukiri mbele ya mkeo kaka Eiyer??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ukinywa vikombe ndo utajua kuogelea....mi naenda chuo kuogolea...I enjoy alot more there
Ndahani unasahau kwamba mwenzio miye ni mwl na wanafunzi wangu wako hapo chuo haya nije na kichupi changu naogelea ukute nilisha wahi kumlamba mikwaju enzi za shule lol! si atanichora azitume kwa wenzie????
 
Last edited by a moderator:
khaaa! babu DC heshima mbele mkuu binafsi nilijifunza kutokuzoea kuombwa msamaha so naona kawaida sana tu ila kwa wenzangu waliolelewa hivyo wanateseka sana jamani.

Amini usiamini gfsonwin,

Ukiendelea hivyo ndoa yako itadumu sana hadi utaichoka!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ndahani unasahau kwamba mwenzio miye ni mwl na wanafunzi wangu wako hapo chuo haya nije na kichupi changu naogelea ukute nilisha wahi kumlamba mikwaju enzi za shule lol! si atanichora azitume kwa wenzie????

Toooba! Basi yaishe. Ntakuja huko huko kwenye milango yenye password! Sijui wataniruhusu? Maana kuna Muro hapo...
 
Amini usiamini gfsonwin,

Ukiendelea hivyo ndoa yako itadumu sana hadi utaichoka!!

Babu DC!!

babu DC nimejifunza kuwa mpole mnyenyekevu, msikivu na si mbishi hata kidogo kwake. pia heshima yake mbele siibadili hata siku moja na kamwe si mwambii uongo manake wanaume wote wanapenda ubabe sasa dawa ya mbabe ni kuwa mnyonge tu basi. kwa hivo nimeishi na naifurahia sana ndoa. ila kwa mwanamke mwingine si mshauri manake inabaidi uwe na roho iliyo bardi kama yangu hata kama ni kosa hulion na wala hujali wewe unaish so long as amani ipo, furaha na upendo basi vinatosha.
 
Wakati mwingine msamaha inabidi ulazimishwe..."I demand an apology". Lol.

Tukitoka kwenye utani...hakuna siri zaidi ya malezi.

Wanangu niko nao makini sana kuwazoesha kuomba msamaha wanapokosea...na kutoa msamaha...unajua mtoto akikuomba msamaha afu ukaendelea kumwadhibu ...hataomba tena kwani atajua it doesn't work.
 
Toooba! Basi yaishe. Ntakuja huko huko kwenye milango yenye password! Sijui wataniruhusu? Maana kuna Muro hapo...

umeona eeh! huku ndo kuzuri manake ni ngumu kunibamba hapa. hivi umewah kujiuliza siku mwl unakutana na mwanafunzi wako guest house? aibu yake ni kama hii kwangu mimi.
 
mke wangu amewahi kuniambia hivyo!ngoja nifanyie kazi nibadilike!sipendi kumkera basi tu inatokea!tatizo sijui nianzie wapi kubadilika!ukiwa umekosea na unajiona uko sahihi ni ngumu kubadilika...sasa mi najiona sawa tu!ngoja nianze na dhamira ya kukubali kubadilika,nitabadilikaje nitajua hukohuko mbeleni!gfsonwin kama una ushauri wowote nipatie tafadhali....NATAKA KUBADILIKA
 
Wakati mwingine msamaha inabidi ulazimishwe..."I demand an apology". Lol.

Tukitoka kwenye utani...hakuna siri zaidi ya malezi.

Wanangu niko nao makini sana kuwazoesha kuomba msamaha wanapokosea...na kutoa msamaha...unajua mtoto akikuomba msamaha afu ukaendelea kumwadhibu ...hataomba tena kwani atajua it doesn't work.

wanawake wako so good kwenye ku demand apology
tena wana enjoy ku demand kama kama amekubana na ushahidi huna
yaani mtu 'kakusoea' na anakulazimisha uombe msamaha sababu huna evidence
ya kumtuhumu....inaumiza saana
na huwa sababu ya ndoa nyingi kufa mwishowe
 
mke wangu amewahi kuniambia hivyo!ngoja nifanyie kazi nibadilike!sipendi kumkera basi tu inatokea!tatizo sijui nianzie wapi kubadilika!ukiwa umekosea na unajiona uko sahihi ni ngumu kubadilika...sasa mi najiona sawa tu!ngoja nianze na dhamira ya kukubali kubadilika,nitabadilikaje nitajua hukohuko mbeleni!gfsonwin kama una ushauri wowote nipatie tafadhali....NATAKA KUBADILIKA

Umenichekesha sana wewe Mc Tilly Chizenga!!!

Huyo mke wako umeishi naye muda gani???

Kama ndo mnaanza maisha basi subiri tu...muda utafika utawajua wanawake...

Kuna mtu alinambia hili jambo mwanzoni mwa maisha ya ndoa yangu na sikumwamini kamwe...Alisema kuwa..."it is always a man's fault"!!!

Yaani akosee yeye au wewe, mwanamke angependa wewe ndo uombe msamaha!

Believe me....utayaona hayo!!

Babu DC!!!

Retired Maj Gen DC (1947)
 
Last edited by a moderator:
wanawake wako so good kwenye ku demand apology
tena wana enjoy ku demand kama kama amekubana na ushahidi huna
yaani mtu 'kakusoea' na anakulazimisha uombe msamaha sababu huna evidence
ya kumtuhumu....inaumiza saana
na huwa sababu ya ndoa nyingi kufa mwishowe

Umeona kaka....haya ndiyo niliyoyasema kwenye post yangu hapo juu....

But...kuna vitu ambavyo mwanamume wa kweli hatakiwi kuomba msamaha hata kama anachinjwa.....Mfano ni kufumaniwa ambapo mke hajaone tukio lenyewe!!!

Babu DC!!
 
Umenichekesha sana wewe Mc Tilly Chizenga!!!

Huyo mke wako umeishi naye muda gani???

Kama ndo mnaanza maisha basi subiri tu...muda utafika utawajua wanawake...

Kuna mtu alinambia hili jambo mwanzoni mwa maisha ya ndoa yangu na sikumwamini kamwe...Alisema kuwa..."it is always a man's fault"!!!

Yaani akosee yeye au wewe, mwanamke angependa wewe ndo uombe msamaha!

Believe me....utayaona hayo!!

Babu DC!!!

Retired Maj Gen DC (1947)

Babu mkubwa,

usicheke its serious,nimeshasema tatizo najiona niko sawa,ushauri ninaotaka ni ule utakaoniweka ktk angle yake anapoona nimekosea wakati mi najiona niko sahihi,labda nikiwa ktk angle yake ndio nitaona nimekosea hapo ndipo busara yangu itakapoongezeka!kama kuna jambo ambalo linanifanya nitake kujifunza katika hili inawezekanaje in thousand times mimi tu ndio niwe sahihi?may be sometimes hata kama ni mara 2 in thousand times sipo sahihi...nahitaji busara aliyonayo kuniona siko sahihi wakati mi najiona niko sahihi!niweze kuona sipo sahihi,niombe msamaha,nijirekebishe...na ni jambo vema kulifanya kama itamfanya yeye kuwa mwenye furaha bila kunitia unyonge mimi!

what i admit kwako babu i still learning....and will keep learning until my last breath
 
umeona eeh! huku ndo kuzuri manake ni ngumu kunibamba hapa. hivi umewah kujiuliza siku mwl unakutana na mwanafunzi wako guest house? aibu yake ni kama hii kwangu mimi.

Inategemea mwalimu alikuwa anafundisha nini.Kama aliwafundisha wanafunzi si busara kuonekana guest basi itakuwa imekula kwake. Vinginevyo mwanafunzi atajua kila mtu yuko kikazi zaidi hakuna sababu ya kuulizana.
 
yaani ma bro, hapo ndipo sifa ya mwanamke hukamilika kwamba she has to be very genius at convincing a man. lazima nitumie mbinu zote ku win over you and this is there hata delila alitumia neno tu 'kama wanipenda" kuuteka ubabe wa samasoni.

So then Mi Lady should we conclude this thread?
Kwa sababu kila mtu ana silaha yake na akiitumia vibaya analeta maumivu kwa mwenzie.
Ila nyie madhara yenu ni very lethal/poisonous/toxic/inflammable/combustible/corrosive
1) baba yetu adamu akala tundi (yani hadi leo ungekuta nimezaliwa zangu eden)
2) Suleman was the wisest man alive yet wanawake wakamchakachua
3) Samsoni

Ubabe wote wa mwanaume madhara yake siyo extraterrestrial kama yenu asee!
 
umenishangaza kuwa hukiri kosa ni kuonyesha udhaifu. kwa upande wangu nadhani kukiri kosa ni kuonyesha ushujaa, umetambua kosa lako na unataka kujirekebisha. mara nyingi kitu unachokiri kukikosea na ukaomba msamaha huwa hutarajii kurudia tena. na hapo ndo tunapopishana sisi ni wakaka.
mara nyingi mtu ambaye hataki kukiri kosa ni kwamba hayupo tayari kuacha kitu alichofanya, na hii ni hatari sana hasa katika mahusiano. Nampenda sana mume wangu, ukigundua kafanya kitu na wewe unadhani kuwa ni kosa, ukimwambia tu na kama kweli kafanya ataomba msamaha. Unajua wakati mwingine huwa tunafanya vitu ambavyo sisi wenyewe hatudhani kama ni kosa, lakini mwenzio akaona kuwa ni kosa. akikuambia, na kama kweli ulifanya, ni vizuri kukiri na kuomba msamaha. Mimi huwa ni msameheji mzuri sana, lakini kabla sijasamehe napenda nijue exactly nasamehe nini, nikiwa na stori robo ya kitu ulichonifanyia napenda muhusika aniambie stori kamili, yaani nijue kwa uhakika kabisa ni vitu gani vilitokea, wapi, na kwa wakati gani. unajua sometimes unaweza ukafanya mwenzako akakukosea, kwa hiyo nikijua details, huwa inanisaidia mimi siku nyingine nisimsababishe mwenzangu akarudia kosa ambalo alifanya.

Hapo ndio pagumu mdogo wangu Fixed Point!!

Katika kutafuta hiyo unayoita full story, kuna watu wanafanyiwa interrogation utadhani wako Mabwepande...

Ndo maana wengi wetu hupenda kuzima mjadala ili kupunguza pressure...ya nini kujitafutia headache na BP inayoweza kumfanya mtu aingie kwenye list ya RIP??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
hivi kwanini wenzetu nyie si wepesi hata kidogo wa kukiri makosa yenu na kuomba msamaha? Kwanini mara nyingi huwa mnatafuta means ya kujusfty makosa kuliko kuomba msamaha? Je ni ubabe ama ni aibu ama mnahisi kufanya hivyo ni kujishusha hadhi yani kutoka kuwa mwanaume na kuwa mtu mwingine?

Je na kwa wale mnaokiri na kuwaangukia wake zenu kwa samahani, je wake zenu wamewahi kubadili heshima yenu ama hata kukudharau?

Leo akina mama tukae tuwatupie maswali kwa kila hoja watakazo leta hadi tujue nini ni nini.

Nawasilisha.

kabla sijajibu naomba uniambie umewahi kuwa na wanaume wangapi na je kati ya hao ni wangapi ambao umegundua wana tabia hiyo usijekuta umekutana na ligumegume huko linakutesa unapelekea kuwahukumu wanaume wote.
Pili ujue kuwa wanaume hatuwezi kuwa na tabia za kike na mwanaume hasifiwi kuomba msamaa bali kipimo cha mwanume kwa mwezi anamahusiano na mlano wa benki na vibanda vya atm mara ngapi ndio mapenzi ya kileoView attachment 62115
 
Back
Top Bottom