Wanaume, tupeni majibu hapa...

Wanaume, tupeni majibu hapa...

Poor guy,umemkorogea la wapi makorora,kipatimo,mlingotini au la ujiji kwa kalumbanzira,au shuntama?

He is not as u think Bishanga, anajivunia kila mahali kuwa nami. Hamna chochote kati ya ulivyovitaja ila kakolea tu natural, chimvi aliyoionja ilikuwa barabara, haijazidi wala haijapungua hadi anajistukia tu anasema, samahani mpenz sirudii tena lol
mie nakula bata tu...... pole nyie msiotoa samahani kwa wake zenu looooh!
 
hivi Ndahani kwenye huu uzi unataka kutuambia nini? yaani sikusomi kabisa ama ushapata mwandani sasa hapa unapanga verse za kwenda kumliwazia ukifika home?

Kuomba msamaha kunategemea maana mkiombwa msamaha huwa mnaanza kuinvestigate, kuuliza, kukumbusha mambo yaliyopita...kheee! Ndo maana wengi wanapotezea tu
 
so womn always ni wagomvi kwa mujibu wa vitabu hvyo?
tatizo hapa ni ubabe na mazoea ya kiume,sababu mtu kila unachomuagiza anafanya ukimkosea anakuomba msamaha akikukosea anakuomba msamaha wakati mwingine hata mabo yanayohusu haki zake binafsi kwa unyonge anakubali tu.sasa siku moja akitokea akauliza tayari anakuwa mgomvi.kisa mwanaume alishazoea vya kunyonga.na hata hivyo vitabu vya dini vimewakandamiza sana hawa watu watamu.
 
Ni kwa sababu historia inaonesha wanawake ni wadanganyifu zaidi ya wanaume...kuanzia kwa mama yenu Eva,Delilla,Mpenzi wa Lwanda Magere n.k Na kati ya adhabu mliyopewa na Mungu baada ya kudanganywa na nyoka bustani ya Eden ni kuzaa kwa uchungu na kutawaliwa.Asili ya mahusiano ktk jamii nyingi Mwanaume ndiye anayepewa kipaumbele.Mfumo huo umetuathiri wanaume kisaikolojia kiasi cha kutaka kuwa champion kwenye masuala yote. Kwa hili hamhitaji kulaumu kwani maendeleo ya elimu ndiyo yatakayobadilisha mfumo kwa kiwango fulani kwa kuendana na wakati husika.Mwanamke ukijifanya kulazimisha mabadiliko utajuta kuwajua wanaume kwani tabia zetu zina mizizi ya asili.Binafsi ubavu wangu una nafasi muhimu lakini kuna wakati najikuta nimetumia mfumo dume gafla japokuwa najitahidi nimfanye ajione tuko sawa...!
 
Hahaha kuzaa kwa uchungu had nothing to do na ubabe wako. Jibu swali, kwa nini hata pale ulipokosea huombi msamaha unatumia ubabe kusawazisha mambo? Ni ukosefu wa Mungu ndani yenu, vinginevyo kama ni udanganyifu hata mwanamme alidanganywa na mke akatenda dhambi na adhabu yake ni kula kwa taabu. Nachofikiri mimi; ni kumkaribisha Mungu katika maisha yetu, na kumfanya kuwa kiongozi wa familia. Kwa akili zetu hatuwezi mwisho wake ni ubabe kwa kwenda mbele. Mara zote familia zenye mashindano kati ya mke na mume huwa hazina baraka.
 
Hii ni kawaida. Kwa jinsi ile-ile mwanamke anavyomuona mwanaume ni mgumu ku-kiri makosa yake na kuomba msamaha ndivyo hivyohivyo mwanaume anavyomuona mwanamke ni mgumu ku-kiri makosa yake na kuomba msamaha.
Kubali au usikubali hakuna mwanamke atakaye-kiri kuwa amegongwa nje ya ndoa na akaomba msamaha, hata kama mume anaushahidi wa kutosha.
 
ukiona mwanaume anakuwa hivyo kwako jua kuwa ana kidumu chake huko hata akijam*ba tu anagalagala kuomba samahani kwa kuchafua hali ya hewa...tafakari chukua hatua!!1 lol.....!!
 
Ni ubabe tu na dharau na huyo aneomba smtms wala sio msamaha wa kutoka moyoni
 
GREEN- Okay that is funny! lol!(kwa mara ya kwanza nimetumia lol). That's a display of a man who doesn't get it at all! yani haelewi mwanzo mwisho.

Mwalimu gfsonwin, ukweli huo ni udhaifu on our side ila na nyie mko vizuri sana kwenye art of manipulation and pretending! Yani you have you own ways of getting things done at your favor bila hata sisi kurealize at the beginning
kulalamika, kulia, kusema hampendwi na kudeny marital rights.
How can you explain that behavior?

yaani ma bro, hapo ndipo sifa ya mwanamke hukamilika kwamba she has to be very genius at convincing a man. lazima nitumie mbinu zote ku win over you and this is there hata delila alitumia neno tu 'kama wanipenda" kuuteka ubabe wa samasoni.
 
gfsonwin naomba msamaha kwa kukacha darasa la swimming

lile hukukacha bana ila ulisema kabisa kwamba huwez kuvumiia kuona nikiwa nimevaa swimming costume. so niliona uko na busara sana na muwaz kwenye hilo. BTW karibu blue pearl hotel leo tunaogelea hapo tutakuwa na mwl wetu Mr Kihunsi na Muro.
 
Mbona hiyo hoteli kama naipita pita...iko pande gani tena ili nije. Ukiona mtu anayevutia jua ndo mimi...teh teh teh
 
Mbona hiyo hoteli kama naipita pita...iko pande gani tena ili nije. Ukiona mtu anayevutia jua ndo mimi...teh teh teh

hapa ubungo plaza karibu sana tunaanza saa kumi na nusu. sasa unakuja kunitega ama? usije ukanivutia mwishowe nikanywa vikombe bure.
 
hapa ubungo plaza karibu sana tunaanza saa kumi na nusu. sasa unakuja kunitega ama? usije ukanivutia mwishowe nikanywa vikombe bure.

Ukinywa vikombe ndo utajua kuogelea....mi naenda chuo kuogolea...I enjoy alot more there
 
Hivi kwanini wenzetu nyie si wepesi hata kidogo wa kukiri makosa yenu na kuomba msamaha? Kwanini mara nyingi huwa mnatafuta means ya kujusfty makosa kuliko kuomba msamaha? je ni ubabe ama ni aibu ama mnahisi kufanya hivyo ni kujishusha hadhi yani kutoka kuwa mwanaume na kuwa mtu mwingine?

je na kwa wale mnaokiri na kuwaangukia wake zenu kwa samahani, je wake zenu wamewahi kubadili heshima yenu ama hata kukudharau?

leo akina mama tukae tuwatupie maswali kwa kila hoja watakazo leta hadi tujue nini ni nini.

nawasilisha.

Mdogo wangu gfsonwin,

Mwanamume wa kweli (dume hasa) ambaye testostorone inafanya kazi vizuri, hawezi hata siku moja kukiri makosa kwa mke wake......Naomba ieleweke hivyo kwa sababu men are not big boys or women without breasts!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom