Wanaume, tupeni majibu hapa...

Hivi kwanini wenzetu nyie si wepesi hata kidogo wa kukiri makosa yenu na kuomba msamaha? Kwanini mara nyingi huwa mnatafuta means ya kujusfty makosa kuliko kuomba msamaha? je ni ubabe ama ni aibu ama mnahisi kufanya hivyo ni kujishusha hadhi yani kutoka kuwa mwanaume na kuwa mtu mwingine?

je na kwa wale mnaokiri na kuwaangukia wake zenu kwa samahani, je wake zenu wamewahi kubadili heshima yenu ama hata kukudharau?

leo akina mama tukae tuwatupie maswali kwa kila hoja watakazo leta hadi tujue nini ni nini.

nawasilisha.

Hapa panawahusu akina Asprin ndo wakongwe sana mi niulize maswala ha kuhit na kurun nitayajibu kwa ufasaha
 
Last edited by a moderator:
Si kwamba huwa hatuombi msamaha. Mwanaume wa kweli huomba msamaha kwa bosi wake. Na bosi wa Mwanaume ni MUNGU. Nikikukosea napiga magoti mbele ya Mungu kuomba msamaha, si kwako bana. You are my woman, usisahau. My property for God's sake.

Mkuu ni kweli bosi wetu Mungu,lakini hawa wenzetu bosi wao nani?au ndo sisi!?!
 
Msamaha unaozungumzia maana yake nini? Na unataka uombweje? Mimi huo upuuzi unaoitwa kuomba msamaha marufuku nyumbani kwangu. Niliufanya miaka ya mwanzo mwanzo ya mahusiano baadaye nikagundua nilikuwa nafanya makosa makubwa sana. Ushauri wa bure kwa wanaume ni kuachana kabisa na huu upuuzi wa kuwaomba msamaha watani wa jadi.
 
Back
Top Bottom