Wanaume, tupeni majibu hapa...

Wanaume, tupeni majibu hapa...

wenyeji mpo hapa?

ukichukua karatasi nyeupe kisha ukaichora kwa penseli na baadae ukagundua kuna mahali umekosea kuchora na hivyo inakulazimu upafute pale kisha uchore vizuri. kufutika pale ulipokesea inategema na aian ya ufuto ulio nao..kuna futo zingine kadri unavyofuta ndivyo mahala pale panazidi kuchafuka zaidi

wakati mwingine wazo linaweza kukuijia kichwa kuwa upaache kama palivyo mahala pale huku ndani ya nafsi ukijua kabisa umekosea lakini unaamua kwa makusudi kupaacha kama palivyo na hivyo kuhalalisha kosa hilo.

kuomba msamaha si kitu kibaya wala si aibu kwa mwanaume kuomba msamaha na wala kuomba msamaha hakubadilishi jinsia ya mtu. ila kuna mahali unaweza usiombe msamaha ili kulinda na kudumisha AMANI YA YERUSALEMU, hasa unapogundua aina ya mtu unayemuomba msamaha alivyo.. sasa hapa inategemana na kosa lenyewe ulilofanya maana haiwezekani kila siku ukafanya makosa ya wazi na usiombe msamaha.

kuna wengine hata akiombwa msamaha haelewi na mara moja ile AMANI YA YERUSALEMU inatoweka na hapakaliki na kuna wengine ni waelewa, anakuelewa , yanaisha , mnalisongesha.

kwa mwanaume aliyekamilika kuomba msamaha ni sehmu ya maisha yake na huwa ni njia mojawapo ya kuutafuta mwili mmoja..maana mwili mmoja huwa hauji siku ile mnaposimama mbele ya padre, mchungaji au shekh. kuufikia mwili mmoja ni safari ndefu sana inayoanzia kwenye uchumba na hukamilika ndani ya miaka mingi sana mkiwa ndani ya ndoa.

kwa wale walioko katika fungu hili (la ndoa) wasione aibu kuomba msamaha japo si kila kosa inakupasa kuomba msamaha
 
Namshangaa,naona Husn kampiga chini anatafuta pa kujiliwaza.

Nilikuwa nimeenda Olympic nimerudi nasikia Bishanga anasumbua sana hapa
The Finest anayesumbua hapa si Bishanga ila ni babu Asprin maana anawachukulia watu wake zao kwa kisingizio kuwa ameukwaa utajiri wa kihaya
Kuna Yummy, BADILI TABIA, cacico na the only one Kongosho
we mpaka amemfukuza Erickb52 humu jamvini kisa mke wake BADILI TABIA

Huko olympic umerudi na medali gani au ndo umerudi na sanduku la nguo
Tusichakachue sired ya gfsonwin je unajua kuomba msamaha au ni wale wale
 
Last edited by a moderator:
[/COLOR]
kaka hapo kwenye red kwanini kwa mwanamke e ok ila siyo kwako wewe baba?
hata kwa wanawake wengine mbele ya kadamnasi kitu cha wazi wanakana kabisa na kulia juu mkirudi ndani anapiga magoti na samahani nyingi kisa mnaogopa kupata aibu. si unajua huko mtaani tunaonekana watakatifu sasa leo kitaa wasikia umekiri kugonga house girl au kugongwa na house boy mbwe mbwe zote utazipitisha wapi?
 
Waswahili wanasema undugu wetu na wanume uko kwenye shuka baada ya pale ni habari nyingine

Kwani kuna undugu mzuri kuliko ule? Ushawahi angalia vizuri jinsi mambo yanavyokuwa? We acha tu! Kumbe tuko pamoja kama mpaka sehemu muhimu hatutofautiani
 
yaani bila nyie with this beuty of the world plus that of we females yaani maisha yangekuwa mazuri sana manake God made u uncomplite untill woman was created. so nyie ndo msingeweza but sisi tungedunda vizuri tu na maisha.

Nani kasema peke yenu hamna shida? Mbona peke yenu ni kama dunia iko upside down? Au ni mimi tu ninao hayo katika mtaa ninao ishi!
 
kuomba msamaha = kukiri kosa = kuonesha udhaifu. wanaume hatutakiwi kuonesha udhaifu hivyo kumuomba msamaha mwanamke ni jambo gumu. pia wengi wanaamini ukifanya hivyo mwanamke atajisifu kwamba 'kakuweka mkononi', so no apology for you gfs
umenishangaza kuwa hukiri kosa ni kuonyesha udhaifu. kwa upande wangu nadhani kukiri kosa ni kuonyesha ushujaa, umetambua kosa lako na unataka kujirekebisha. mara nyingi kitu unachokiri kukikosea na ukaomba msamaha huwa hutarajii kurudia tena. na hapo ndo tunapopishana sisi ni wakaka.
mara nyingi mtu ambaye hataki kukiri kosa ni kwamba hayupo tayari kuacha kitu alichofanya, na hii ni hatari sana hasa katika mahusiano. Nampenda sana mume wangu, ukigundua kafanya kitu na wewe unadhani kuwa ni kosa, ukimwambia tu na kama kweli kafanya ataomba msamaha. Unajua wakati mwingine huwa tunafanya vitu ambavyo sisi wenyewe hatudhani kama ni kosa, lakini mwenzio akaona kuwa ni kosa. akikuambia, na kama kweli ulifanya, ni vizuri kukiri na kuomba msamaha. Mimi huwa ni msameheji mzuri sana, lakini kabla sijasamehe napenda nijue exactly nasamehe nini, nikiwa na stori robo ya kitu ulichonifanyia napenda muhusika aniambie stori kamili, yaani nijue kwa uhakika kabisa ni vitu gani vilitokea, wapi, na kwa wakati gani. unajua sometimes unaweza ukafanya mwenzako akakukosea, kwa hiyo nikijua details, huwa inanisaidia mimi siku nyingine nisimsababishe mwenzangu akarudia kosa ambalo alifanya.
 
HorsePower njoo huku usemeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kama unaombagaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
thats because you're a woman, men think a bit differently. ona sehemu ya pili ya posti yangu
 
thats because you're a woman, men think a bit differently. ona sehemu ya pili ya posti yangu
mwanamke anayefikiria kuombwa msamaha ni kumuweka mtu mkononi atakuwa na matatizo. kwaki yeye hafanyi koza? na akikosa haombi msamaha? na akiomba msamaha inamaana kawekwa mikononi? msitusemee jamani, na nimegundua kumbe wakaka wengi hawawajui wanawake, mnatufikiria tusiyokuwa nayo
 
The Finest anayesumbua hapa si Bishanga ila ni babu Asprin maana anawachukulia watu wake zao kwa kisingizio kuwa ameukwaa utajiri wa kihaya
Kuna Yummy, BADILI TABIA, cacico na the only one Kongosho
we mpaka amemfukuza Erickb52 humu jamvini kisa mke wake BADILI TABIA

Huko olympic umerudi na medali gani au ndo umerudi na sanduku la nguo
Tusichakachue sired ya gfsonwin je unajua kuomba msamaha au ni wale wale

Mr. nimekusije aiseee..... hebu njoo pande za pembeni
 
Hivi kwanini wenzetu nyie si wepesi hata kidogo wa kukiri makosa yenu na kuomba msamaha? Kwanini mara nyingi huwa mnatafuta means ya kujusfty makosa kuliko kuomba msamaha? je ni ubabe ama ni aibu ama mnahisi kufanya hivyo ni kujishusha hadhi yani kutoka kuwa mwanaume na kuwa mtu mwingine?

je na kwa wale mnaokiri na kuwaangukia wake zenu kwa samahani, je wake zenu wamewahi kubadili heshima yenu ama hata kukudharau?

leo akina mama tukae tuwatupie maswali kwa kila hoja watakazo leta hadi tujue nini ni nini.

nawasilisha.

ITS JUST MANLY PRIDE!unajua msamaha huenda na confession sasa hapo ndo ngoma aseme kuwa amekusaliti,aseme kuwa amejenga kwa pesa ya hawara,aseme kuwa gari alilokununulia alipata peasa kwa kuua,aseme kuwa anatembea na mdogo wako,aseme kuwa umekuwa rough sana ndo mana hakutamani,aseme kuwa wanashare penzi na kakake,aseme kuwa ana miallowance kibao ofisini lakini mzigo wa matumizi anakuachia wewe,na mengine kibao!haya ndo yanamfanya mwanaume asiombe msamaha manake kusema ukweli mimi ili nikusamehe lazima useme lile kosa na ulitapike lote tena into details sasa hapo ndo ngoma WANAANZAJE!though guys kusema ukweli mnatuumiza sana ambavyo hamuombi msamaha a woman needs to see yu regret,and confess sio mammbo ya kukimbilia kutaka ka mchakato hata kabla hamjaweka mambo sawa!pale mnazidi kuumiza hisia za wenzenu!
 
Back
Top Bottom