Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
sio ishu wacha nisubiri mume wa kwangu pekeangu....
Nimeshafika, haya sema neno moja roho yangu ipone.
sio ishu wacha nisubiri mume wa kwangu pekeangu....
Haaaah umenichekesha eti kama wale wa tamthiliya za kikorea! Bwahahaha wanavaa Kabati zima wale! Sa si tutashndwa kutembea jaman plus joto la Bongo!
kapalamsenga vinguo vya ajabu na suala tunaloliongelea hapa ni tofauti ujue hilo
Desperate single ladies....!
Set goal lazima niiachieve!Hahaha nimebaki nashangaa. Haya mambo ya nimeset a goal lazma niachieve, ndo unaangukia kwa jitu mwaka haujaisha unastukia umeingia chaka!
Set goal lazima niiachieve!
Mwe!
Nimestuka ujuee!
sio ishu wacha nisubiri mume wa kwangu pekeangu....
mbona mi nilishakuachia huyo....mwanaume anabebiz wengi utafikiri idadi ya nywele...Simtaki
Ndio hiyvo tena mmezaliwa Africa inabidi muwe wapole tu, huku kwetu mwanamume hakosei na akikosea ni kosa la mwanamke.....
Usiende mbali nami mpenzi....ntakufa kwa mawazo bure.
Nimeshafika, haya sema neno moja roho yangu ipone.
kufa tu kama ni rahisi hivyoo....usiiniite mpenz nitakusa mume bure
mimi binafsi nina kama miaka mi2 mbele ndio ntawaza mambo hayo
kuna wengine humu hawajafikia umri wa kuoa lakini wamekazana eti tunawasumbua kwa kutaka kuolewa jaman hivi nyie ?????????? aggghhh mnatakiwa maombi
Kwahiyo mie sio mumeo tena au....
Hahaha nimebaki nashangaa. Haya mambo ya nimeset a goal lazma niachieve, ndo unaangukia kwa jitu mwaka haujaisha unastukia umeingia chaka!