Wanaume: Tuacheni tuolewe basi

Wanaume: Tuacheni tuolewe basi

Ndoa ni suala la mwanaume kuamua hamna setting akisema mwaka huu anaoa ujue anaoa ila kwa mwanamke inakuwa ngumu

hii setting ni manual sio auto ujue
 
ahahahaaa sikumaaanisha nafungua mlango wa mtongozo aisee kama nimeeleweka hivyo ntaedit sasa hivi hapo

edit tu! kwa sababu kama una mchumba tena na mipango mshaiweka afu useme bado upo upo, inaleta maana tofauti.
 
edit tu! kwa sababu kama una mchumba tena na mipango mshaiweka afu useme bado upo upo, inaleta maana tofauti.

ahahahaaa nshafanya yangu nafikiri umenielewa ndugu
 
Tutawaachaje wakati ninyi mnavaa vinguo vya ajabu ili mtutie katika vishawishi hebu vaeni kama wale wanawake wanaoigiza tamthilia za kikolea na japana eg Jumong muone kama papuchi zenu hazitooza.
Hafu kitu kingine tukiacha kuwaongelesha huko mitaani mnaanza kulalamika au hafu wengi wenu mmewekwa nyumba ndogo hivyo kueni wapole


Haaaah umenichekesha eti kama wale wa tamthiliya za kikorea! Bwahahaha wanavaa Kabati zima wale! Sa si tutashndwa kutembea jaman plus joto la Bongo!
 
Haaaah umenichekesha eti kama wale wa tamthiliya za kikorea! Bwahahaha wanavaa Kabati zima wale! Sa si tutashndwa kutembea jaman plus joto la Bongo!

hata wewe ni mdada?
 
Habarin za usiku humu ndani bila shaka mko vizuri.......

Kumekuwa na malalamiko mengi humu ndani kutoka kwenu wanaume, sijui niziite lawama ama nini hata sielewi lakini hamuishi kutuongelea, ati wanawake tunalazimisha kuolewa huku mkijua fika kuwa mwanamke na kuolewa ni muhimu.......
Sasa jaman hamtaki tuolewe ama? maana tusipoolewa pia hamtokosa neno la kutuambia (binadamu haishiwi maneno).

Wakati mwingine unakuta mwanaume umri umekwenda kweli kweli, hapo kasugua gaga kupata walau mpenzi ajenge naye mahusiano baadae ndoa, lakini naye pia analalama ati mwanamke anawaza kuolewa mwezi mmoja tu wa mahusiano anaulizia ndoa, wakati hapo alitakiwa ashukuru mungu kakutana na mwanamke mwenye kutaka kuolewa naye anaacha kushukuru mungu kamwonesha nyota njema asubuh yeye anashangaa kwani kuolewa ni jambo la ajabu? eti nauliza jamni mbona kama kututupia lawama zisizokuwa na mashiko???

Hili suala la kuharakisha kuolewa sio kwetu tu hata nyie wanaume mnaharaka sana ya kuoa lakini hapa mnaficha uhalisia, wapo wanaume katoka huko ana stress zake sijui anakutongoza kwa gia ya kutaka kuoa mbona hatuwaongelei hapa? mwingne mko kwenye mahusiano miezi mitatu ati anataka akajitambulishe kwenu wakati hata wewe mwenyewe hujamjua vizuri bado... watu kama hawa sijui wanawaza nini vichwani mwao.............................

NB: Mtuache jaman kama mtu aliset goal aolewe ni lazima liachieve, tafadhali wanaume msiwaharibie watu mipango yao....................

MankaM nakuomba PM,,,nahisi una kitu fulani hivi mimi nakitaka
 
edit tu! kwa sababu kama una mchumba tena na mipango mshaiweka afu useme bado upo upo, inaleta maana tofauti.

Kama ana mtu na plan ni baada ya miaka miwili, huyo sio mchumba bali ni rafiki/mpenzi tu. Naamini uchumba kwa maana ya kufahamika na kutoa mahari tayari hauwezi kusubiri miaka miwili kufunga ndoa.

Akiamua kufungua milango ya mtongozo ni sawa tu kwa vile hakuna uhakika wa kuolewa hapo. Ni mama simu hizi watu kuitana mume wangu au mke wangu, wakati bado ni wapenzi tu, naona wanafurahisha nafsi zao tu. MankaM nikidhani umeolewa kumbe bado twaweza kurusha nyavu eeh!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom