Wanaume: Tuacheni tuolewe basi

Wanaume: Tuacheni tuolewe basi

So mfano kesho jamaa aseme anataka kuoa utamwambia bado asubiri?

yani aseme kesho??? kwamba ameoteshwa au?? kia kitu kipo programed ujue kwaio najua ni lini na nini
 
upo upo sana kwanini sasa?
ila umeandika ukweli sana na haya mambo kwenye jamii zetu yapo sana.
 
Tutawaachaje wakati ninyi mnavaa vinguo vya ajabu ili mtutie katika vishawishi hebu vaeni kama wale wanawake wanaoigiza tamthilia za kikolea na japana eg Jumong muone kama papuchi zenu hazitooza.
Hafu kitu kingine tukiacha kuwaongelesha huko mitaani mnaanza kulalamika au hafu wengi wenu mmewekwa nyumba ndogo hivyo kueni wapole
kapalamsenga vinguo vya ajabu na suala tunaloliongelea hapa ni tofauti ujue hilo
 
yani aseme kesho??? kwamba ameoteshwa au?? kia kitu kipo programed ujue kwaio najua ni lini na nini

I meant aseme anataka ndoa...utamwambia subiri mambo yajiset?
 
upo upo sana kwanini sasa?
ila umeandika ukweli sana na haya mambo kwenye jamii zetu yapo sana.

mimi binafsi nina kama miaka mi2 mbele ndio ntawaza mambo hayo
 
I meant aseme anataka ndoa...utamwambia subiri mambo yajiset?

nimesema hivyo coz tulishapanga kuwa lini na nini kifanyike kwaio hawezi kuibuka tu kama katoka usingizini
 
mimi binafsi nina kama miaka mi2 mbele ndio ntawaza mambo hayo

hiyo ni setting tu ya mind yako.
nakuambia, man can change ur setting no matter how hard ur.
tena kwenye kuolewa plus love..aaah hiyo miaka 2 utaiona 10.
 
nimesema hivyo coz tulishapanga kuwa lini na nini kifanyike kwaio hawezi kuibuka tu kama katoka usingizini

Ndoa ni suala la mwanaume kuamua hamna setting akisema mwaka huu anaoa ujue anaoa ila kwa mwanamke inakuwa ngumu
 
nimesema hivyo coz tulishapanga kuwa lini na nini kifanyike kwaio hawezi kuibuka tu kama katoka usingizini

sasa kumbe na wewe una mchumba afu unasema bado uko uko sana? what is ur plan?
hata wewe possibly umemfunga mtu asee...
afu hiyo ya kusema upo upo sana, ni kama unafungua mlango wa mtongozo..
then hapa unasema mmeshapanga.
 
hiyo ni setting tu ya mind yako.
nakuambia, man can change ur setting no matter how hard ur.
tena kwenye kuolewa plus love..aaah hiyo miaka 2 utaiona 10.

ahahahaaa atakuwa ameniweza aiseeee lakini sidhani
 
sasa kumbe na wewe una mchumba afu unasema bado uko uko sana? what is ur plan?
hata wewe possibly umemfunga mtu asee...
afu hiyo ya kusema upo upo sana, ni kama unafungua mlango wa mtongozo..
then hapa unasema mmeshapanga.
ahahahaaa sikumaaanisha nafungua mlango wa mtongozo aisee kama nimeeleweka hivyo ntaedit sasa hivi hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom