Kasumba potofu walizopewa Watoto kuhusu "wanaume watakaoolewa nao; na Wanawake watakaowaoa"

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,891
KASUMBA POTOFU WALIZOPEWA WATOTO KUHUSU "WANAUME WATAKAOOLEWA NAO; NA WANAWAKE WATAKAOWAOA"

Anaandika Robert Heriel.
Baba

"Wanaume ni wabaya"
"Wanaume ni wakatili, wakorofi na wanatabia za kupiga."
"Wanaume ni waongo, watakurubuni, watakuchezea alafu watakudampo"
Hizo ni baadhi ya kauli ambazo Watoto wakike wamekua nazo wakiambiwa na Wazazi wao kuwahusu Wanaume.
Wazazi hujenga utisho Kwa mabinti ati ili Wasiwe karibu na Vijana, Kwa kuogopa watapata madhara.

" Wanawake ni wabaya na wanaroho mbaya"
"Wanawake sio waaminifu hivyo sio wakuwaamini"
" Wanawake ni wabinafsi"
" Wanawake ni rahisi kudanganywa, hivyo usiwaamini wanaweza kukugeuka muda wowote"
" Wanawake wanadharau"
"Wanawake ni walozi, washirikina"
"Wanawake ni wambeya usiwaambie Siri zako"
Hizo ni miongoni mwa kauli ambazo Vijana wakiume tumekuzwa nazo tulizozirithi Kwa wazazi na Mababu zetu.

Kwenye Maisha ogopa kitu inaitwa KASUMBA. Yaani kumfikiri MTU mwingine au Jambo Fulani Kwa kusikia au Kutokana na Mapokeo ya hadithi tulizozikuta.

Wakati ninasoma nilipokuwa mtoto Mdogo niliwahi kusikia na kuambiwa mwalimu Fulani ni mkali au Somo Fulani ni gumu labda tuseme Hesabu. Lakini nilipokuwa nalisoma somo hilo wala sikuona ugumu wake isipokuwa uhaba WA vitabu, uhaba WA waalimu Bora wa Hesabu, pamoja na mazingira rafiki ya kusoma somo Hilo. Lakini somo lenyewe halikuwa gumu.
Na waalimu wote waliosemekana ni Wakali nilipowafuatilia sikuona kile nilichokisikia Kabla. Hapa najadili kuhusu KASUMBA.

Kabla sijabalehe, nilisikia kuwa Wanawake wa Tanga na wamakonde wanajua kufanya mapenzi, nafikiri Watu wote hiyo KASUMBA tunayo, lakini nilipofuatilia Jambo Hilo Kwa ukaribu sikuona utofauti wowote Kati ya Wanawake hao wa Tanga na Wanawake Kutoka Pande zingine.

Niliwahi sikia Wahaya wako na Akili Sana za darasani, lakini siku nilipokutana NAO katika ligi za darasani nikagundua wanauwezo tuu WA kawaida kama Watu wengine. Isipokuwa wao wamejengewa attitude ya kusoma. Lakini sio kwamba wanaakili kuliko wazaramo au wapemba NOO! Bado nazungumzia kuhusu KASUMBA.

Epuka kuongozwa na KASUMBA kwenye Maisha. KASUMBA zipo nzuri na Mbaya. Vyovyote iwavyo usiongozwe na KASUMBA unapofanya Jambo lolote lile. Utakwama!

Wakati nilipokuwa Kijijini kwetu Makanya kulikuwa na KASUMBA kuwa Watu WA mjini hasahasa Dar es salaam ATI ni wajanja kumaanisha ni Werevu. Lakini siku nafika Dar es salaam haikuwa hivyo, sio wajanja au Werevu kama vile KASUMBA ilivyo. Ni wakawaida mno. Wajinga wapo ambao ni wengi, alafu Werevu wapo ambao ni wachache. Kitu pekee ambacho labda kingeitwa kwao ni Werevu labda Ulimi laini wa kuzungumza Kiswahili. Kwa Hilo kama ndio ujanja basi ni Sawa.

Hizo zote ni KASUMBA.
Sasa zipo KASUMBA za mahusiano, ambazo zinapelekea ndoa za siku hizi kuwa ngumu Sana katika kizazi hiki.

Ukitaka mapenzi yakushinde basi endekeza KASUMBA zako za kijingajinga.

Elewa kuwa Mwanadamu ni kiumbe ambaye anabadilika kulingana na Wakati na mazingira.
Elewa kuwa Mwanadamu ana-react na ku-response kutegemeana na MTU anayekuja Mbele yake.
Elewa kuwa Mwanadamu anakiwango chake cha mwisho cha kila kitu iwe ni Akili, uvumilivu, Imani, Haki n.k.

Unaposema Fulani ni mwaminifu Kwa sababu hakuiba milioni 2 ulizoziacha kwenye meza nyumbani elewa kuwa na usijeukaibeba hiyo dhana kuwa ni mwaminifu kama ukiacha Pesa pungufu au zaidi ya hiyo milioni 2.
Yupo MTU anaweza kuwa mwaminifu Kwa kuacha kuiba milioni 2 lakini ukaacha milioni 20 akaiba(akakosa uaminifu)
Au ukaacha elfu 50 akaiba(akakosa uaminifu) hiyo weka Akilini.

Taikon kama mwanasaikolojia, mwanafalsafa na mwanasosholojia anakuambia kuwa Usikariri. Acha kuwa na KASUMBA.

Kwa kiasi kikubwa ndani ya jamii yetu, zipo KASUMBA ambazo hata humu mtandaoni zinajitokeza. Mfano, Sisi wanaume kuwaona Wanawake ni Watu wasiowaaminifu, wasaliti na wenye Tabia za kudanganywa.
Lakini ukifuatilia Kwa umakini pasipo kuwa na hisia za upendeleo utagundua kuwa tabia hizohizo zipo pia Kwa upande wetu Sisi wanaume.
Je hakuna wanaume wasaliti? wapo!
Hakuna wanaume wasiowaaminifu? Wapo!
Hakuna wanaume wanaodanganywa? Wapo!

Ukitaka MTU asidanganywe basi lazima umfundishe kuwa mkweli.
Huwezi mdanganya MTU Mkweli.
Lakini pia ukitaka MTU asidanganywe basi lazima umfundishe Namna ukweli unavyotofautiana na Uongo. Yaani mfundishe Ukweli na Uongo.
Mfundishe Mwanamke kuukubali, kuujua Ukweli na kuupokea. Hivyo ndivyo atakavyojihami na kuujua ukweli na kuukataa.

Lazima ujifunze kujua asili na silika.
Uhalisia wa mambo lazima uujue.
Elewa kuwa Mwanamke anapenda vitu VIZURI.
Elewa kuwa wanaume pia wanapenda Wanawake wazuri.
Sasa lazima tuukubali ukweli huo. Alafu tujifunze kujidhibiti katika matamanio yetu. Tutumie vitu vilivyohalali yetu.

Usiogope kuolewa Kwa kuwa na KASUMBA POTOFU au njema inayokuongoza.
Mambo hayaendi hivyo.
Yule unayemdhania atakupa Raha utashangaa ndiye anakupa huzuni.
Na Yule ambaye ulidhani atakutesa unashangaa ndoa yake Mwanamke aliyemuoa anafuraha mpaka unaanza kuingiwa na Wivu.

Ondoa KASUMBA kuwa kila aliyesoma anaakili. Kufaulu Kwa sehemu kubwa kunategemea na mazingira husika pamoja na attitude ya MTU Kwa wakati husika. Na sio AKILI.
Attitude na mazingira hubadilika lakini Akili haibadiliki. Akili MTU anazaliwa nayo, lakini attitude MTU hazaliwi nayo wala MTU hazaliwi na mazingira.

Ondoa KASUMBA kuwa MTU mwenye Pesa anaakili na atakupa furaha katika Ndoa. Sio kweli. Kupata Pesa sio kipimo cha Akili. Ili upate Pesa yaani uwe Tajiri inategemea na Mazingira, fursa, mtandao wa Watu waliokuzunguka na namna utakavyotumia fursa hiyo hapo ndipo MTU anapata Pesa au utajiri.
Kumbuka mazingira yanabadilika, mtandao wa Watu hubadilika Kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo Vifo, kugombana n.k. lakini pia fursa hubadilika thamani na UHITAJI wake Kwa wakati husika.

Unapooa au kuolewa Jambo pekee unalopaswa kulifanya na sio tuu kwenye Ndoa Bali katika Maisha Kwa ujumla. Ni kuwa Flexible ku-match na mfumo jinsi unavyohitaji na jinsi ya kukabiliana na changamoto.
Badilika kulingana na mazingira, usitumie Akili moja kukabiliana na matatizo tofauti.
Yaani Akili ya Jana Isiwe ya leo, na ya leo Isiwe ya kesho.

Elewa tabia na Akili ya mwenza wako hubadilika siku Hadi siku. Hivyo hata wewe itakupasa ibadilike.
Usimwambie mwenza wako kuwa amebadilika siku hizi, hivyo ndivyo Maisha ya Mwanadamu yalivyo.
Hata yeye mwenyewe sio ajabu anakuona umebadilika.
Wewe kajitazame kwenye Kioo alafu chukua picha ya miaka 10 iliyopita uone kama hujabadilika.
Kama umebadilika kimaumbile na haushangai Kwa nini ushangae ukibadilika kifikra, kihisia, Kiroho na kivipaombele?

Mambo ya kufanya ukiwa na Familia:

1. Wekeni sheria na kanuni. Iwe Katiba ya Familia.
Katiba hiyo itaje nafasi ya kila mhusika ndani ya familia, majukumu na wajibu wake ndani ya familia.
Inatarajiwa Baba ndiye awe Mtawala wa Familia.
Kama mwenyekiti wa familia majukumu na mamlaka yake yamruhusu kutelekeza na kusimamia familia nzima bila kuvunja Katiba mliojiwekea.

MKe au Mama naye Katiba itaje majukumu na wajibu wake ndani ya familia. Yeye atakuwa kama Makamu wa Rais. Hatakuwa na mamlaka kamili isipokuwa kila atakachokifanya kimetoka Kwa Baba/Mtawala.

Kila mhusika ndani ya familia ataapa Kwa Kutumia Katiba ya familia kuilinda na kuitumikia.

2. Sera, mipango na malengo ya Familia.
Wekeni Sera, na mipango ya familia yenu.
Msiishi kama mbuzi au kondoo.

3. Vikao na mikutano ya kifamilia.
Vikao vya siku, Robo Mwaka au mara moja Kwa Mwaka.
Vikao vya siku vitalenga zaidi mambo ya ibada, maombi, sala, kufundisha na kuonya hasa Watoto endapo wakiwepo.
Vikao lazima viwe na agenda.
Katibu wa vikao ataandika kumbukumbu ya kikao na kuipa namba, kisha ataiweka kwenye maktaba ya Familia katika sehemu maalumu ambayo MTU mgeni hawezi kuifikia kirahisi.

Mipango na utekelezaji wake itajadiliwa kila mwisho wa Mwaka katika kikao kikuu cha Familia.
Hakikisha Watoto wako wanaishi katika mifumo hiyo, yaani waikute na waielewe.

Ikiwa kuna Jambo ambalo mwanafamilia yeyote ataliona linaenda kinyume na fikra na uelewa wake. Vikao vya kila mwisho wa mwezi atatumia nafasi hiyo kuwasilisha shauri lake.
Litawasilishwa Kwa mara Kwa Kwanza ili litambulike, mara hiyo ya Kwanza atawasilisha Mtoa Hilo shauri pasipo kujadiliwa na MTU mwingine. Kisha Katibu na mwenyeketi wa familia watapanga Tarehe ya kulijadili Jambo Hilo wote Kwa pamoja kama familia. Hiyo itatoa mwanya Kwa wanafamilia kujiandaa Kwa kuchangia hoja katika siku ya majadiliano na kutoa mawazo Yao.

Ikiwa kutakuwa na Jambo la dharura linalotakiwa kujadiliwa kidharura basi Jambo hilo litawasilishwa Kwa katibu wa familia, kisha Katibu atawasiliàna na mwenyeketi, alafu katika vikao vya siku Jambo hilo linaweza kujadiliwa.

4. Nafasi ya mwenyekiti ya Baba huku Katibu ikiwa ya Mama, kipindi chote cha uhai wao.
Ingawaje Kadiri umri uendavyo Baba anaweza kumkaimisha mtoto mkubwa au yeyote Yule atakayemteua kuwa Makamu mwenyekiti ili awe na uzoefu WA kuiongoza Familia. Halikadhalika na Mama atachagua Makamu Katibu Mkuu wa familia ili kujenga uzoefu wa kuongoza familia/ukoo.

5. Sikukuu, sherehe, ndoa na misiba.
Familia itaweka utaratibu wa sikukuu, sherehe, ndoa na misiba ya wanafamilia au Watu wa karibu wa familia.
Yote hayo yataratibiwa kulingana na Katiba pamoja na sheria za familia.

6. Mapato na matumizi, na Mali za Familia.
Kutakuwa na Mali za familia, na Mali binafsi ya kila mwanafamilia.
Itakuwa ni Haki ya kila mwanafamilia kumiliki Mali yake kadiri ya atakavyoona na atakavyobarikiwa.
Mali za familia zitaitwa Kwa jina la familia. Na Mali za MTU binafsi zitaitwa Kwa amri na vile apendavyo MTU huyo binafsi.
Baba ndiye atakayekuwa msimamizi Mkuu wa Mali za Familia. Huku Mama akiwa msaidizi wa Mali za Familia.

Mali binafsi za Baba au Mama hazipaswi kuzidi Mali za Familia. Mali binafsi zinapaswa zisidizi asilimia 20% ukilinganisha na Mali za Familia. Yaani kama Mali ni Mlioni 100 basi Mali za Baba zisizidi milioni 20 na pia Mali za Mama zisizidi milioni 20. Hivyo Mali za Familia zinapaswa ziwe zaidi ya 60% ya Mali za wahusika ndani ya familia. Na hapa nazungumzia Baba na Mama.

Baba au Mama hatoruhusiwa Kutumia Mali za familia katika mambo yanayoathiri Familia yake kama vile, Kuoa MKE mwingine, kuhonga michepuko,
Au Mama kuolewa na Mwanaume mwingine au kuhonga michepuko.

Ikiwa Baba ambaye Katiba hiyo itamtambua kama mwenyekiti na Mtawala wa familia atataka kuoa MKE mwingine basi, ataita kikao cha familia kisha atawasilisha shauri lake. Litajadiliwa. Ikiwa kikao kitaridhia Baba Kuoa MKE wa pili. Basi itapitishwa sheria kuwa Mchakato wote wa kuoa na kuendesha ndoa yake Mpya hautagusa kiasi chochote cha Mali za Familia ya Kwanza. Isipokuwa Mali zake binafsi kama yeye ambazo ni zile zisizozidi 20% tuu.
Hii itatumika pia Kwa upande wa Mama.
Ikiwa Mama atataka kuolewa, na kuwa na mume mwingine basi Mali yake isiyozidi 20% ndizo zitakazotumika na sio Mali ya Familia ya Kwanza.

Ikiwa Baba au Mama katika kikao atabaki na msimamo wake wa kuoa au kuolewa mara ya pili. Basi kitaitishwa kikao cha pili ambacho huyo MKE au Mume Mpya atapewa utaratibu na sheria baadhi ikiwemo sheria hiyo ya kuwa Mume au MKE wake Mali alizonazo ni 20% tuu na zitatajwa.

Ikiwa itatokea ukikukwaji wa sheria na Katiba, ambapo kutaathiri moja Kwa moja familia na kuiangusha familia. Basi MTU huyo awe ni mama, au Baba au yeyote atakayefanya hivyo atahesabika kama Mhaini. Na utaratibu wa kumshughulikia kikamilifu utaanza mara moja pasipo kujali Jambo lolote. Kosa la uhaini adhabu yake inafahamika. Ni Kifo tuu.
Damu ya MTU huyo iwe Baba au Mama au yeyote katika familia itakuwa juu yake kwani alifanya kosa Kwa Makusudi huku akijua matokeo ya kosa Hilo.

Kamati za kumshughulikia zitatumia mbinu ambazo hazitaacha maswali katika jamii inayoizunguka familia.

Sheria hizi ziwe bayana, Kwa kila mwanafamilia. Ili siku MTU akikiuka asione anaonewa.

Acha nipumzike SASA.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Wewe jamaa una madini mengi sana kichwani endelea kumwaga elimu bure salutiii.
 
Back
Top Bottom