na wao pia wanang'ang'ania kuoa ati umri umeshaendaMankaM umesema ukweli tatizo ni mfumo tulio nao mpendwa
hata tujikwatue vipi,tuonyshe upendo kivip kama mmwanaume hajapanga/kuamua kukuoa ni kazi bure jaman
mwanaume ndo mwenye finally say kwa matendo ya kuoa
wengi ukiulizia ndoa eeeh visa na vitimbi ndo vinanza na anaanza kukuona like unang"ang'ania ndoa.....
hawa watu wanataka watutumie tuu kwa faida zao watupotezee mda wetu tu
ni kuwa mkin na hawa wanaume
ahahahaaa ni pale ambapo mnaowafuata wote wanakuwa na mawazo hayo hapo ndio shida zinapowakuta
na wao pia wanang'ang'ania kuoa ati umri umeshaenda
Hahahahaaa do i sound like a man??? For cryin out loud am juc a gal like u mydia. Lakini tubadilikeni haya mawazo yakuoa na kuolewa tusiyatumie kama kigezo chakupata wenzi mawazo ya ndoa yatakuja yenyewe tuu mda utakapo wadia.
ahahahaaa even ID yako jamani labda ungeweka picha ndio ningegundua
Mwanamke ukiulizia ndoa ni sheeeda..ile yeye ahh hakosei hata kama anakutania...wengi tu wanajijua ndio zao anaropoka ndoa oh i want to settle oh i've finally met my wife nk hata mwezi haujaisha si utulie kdogo tufahamiane jmn heh uko fastaaa unajuaje utaniweza?,ila kwa kuwa ye mwanaume poa sana kosa useme mwanamke....
Trust me i tell you kwa tabia za kiume zilivyo sisi ndo tungekuwa tunawa-approach na kutaka ndoa hakuna ambae angechomoa...
Mtuacheeee wengine we re not marriage desperate kutujaza habari za uongo za ndoa hatutaki.kama ipo acha time will tell usichoshe mtu na fake promises
Ndio hiyvo tena mmezaliwa Africa inabidi muwe wapole tu, huku kwetu mwanamume hakosei na akikosea ni kosa la mwanamke.....
hii habari ya kuoa wake wengi inabidi bunge la katiba iwekwe na iwe haki ya halali,ya msingi na ya lazima.Ili ku accomodate walio kata tamaa.
hahahaaaa unanitafuta wewe eee sijamaanisha ulichokielewa wewe
Leo nimepigiwa simu my new girl friend anaulizia lini nitaenda kujitambulisha kwa wazazi wake!Nina weeks ya 2 sasa nae kwenye mahusiano lkn tayari mentality yake ipo kwenye ndoa ahahahaha!Ana miaka 24 sasa!
Kwani wat so special about gettin married :sly: coz naona pipo zipo sooooo desperate maskini kuoa/kuolewa laiti wangejua hizo sarakasi za ndoa heheheheeee wangejipanga ndoa ni majaaaaliwa wapendwa, mimi bado msafiri naja taratibu nawapisha wale warudio na waendao kwa haraka.
Usiisemee mioyo ya watu wenye ndoa I thought upo kwenye ndoa.
wanaume wakubali wakatae ndoa kwao ni changamoto na wengi waoga, tukisema serias wanawake tuache kuwaambia wenzi wetu kuhusu ndoa , mwanaume atakayethubutu kuongelea ndoa labda akiwahi ni 40 years na hapa watakua wanahesabika, ni waoga balaa lakini akishaingia anaanza ooh mke muhimu oooh mambo yangu yananyooka aoohhh faida kibao
labda ktk mtaa wenu ndio kuna watu wa jinsi hiyo ni lazima wanamapungufu