Wanaume: Tuacheni tuolewe basi

Wanaume: Tuacheni tuolewe basi

Kwani wat so special about gettin married :sly: coz naona pipo zipo sooooo desperate maskini kuoa/kuolewa laiti wangejua hizo sarakasi za ndoa heheheheeee wangejipanga ndoa ni majaaaaliwa wapendwa, mimi bado msafiri naja taratibu nawapisha wale warudio na waendao kwa haraka.
nothing special lakini mmezidi kutuchamba wanawake ati kisa tunaulizia ndoa
 
Una ahadi na mungu? Acheni kukufuru binadamu hakuna hata ajuaye saa kumi jioni atakuwa katika hali gani. Ishi kwa hofu ya muumba wa nafsi yako.
sijamaanisha nina ahadi na mungu na sijakufuru kama unavyodhani wewe au umeelewaje
 
Leo nimepigiwa simu my new girl friend anaulizia lini nitaenda kujitambulisha kwa wazazi wake!Nina weeks ya 2 sasa nae kwenye mahusiano lkn tayari mentality yake ipo kwenye ndoa ahahahaha!Ana miaka 24 sasa!

ndio mipango yake usimcheleweshe
 
Kama ana mtu na plan ni baada ya miaka miwili, huyo sio mchumba bali ni rafiki/mpenzi tu. Naamini uchumba kwa maana ya kufahamika na kutoa mahari tayari hauwezi kusubiri miaka miwili kufunga ndoa.

Akiamua kufungua milango ya mtongozo ni sawa tu kwa vile hakuna uhakika wa kuolewa hapo. Ni mama simu hizi watu kuitana mume wangu au mke wangu, wakati bado ni wapenzi tu, naona wanafurahisha nafsi zao tu. MankaM nikidhani umeolewa kumbe bado twaweza kurusha nyavu eeh!!

hahahaaaa unanitafuta wewe eee sijamaanisha ulichokielewa wewe
 
Hahaha nimebaki nashangaa. Haya mambo ya nimeset a goal lazma niachieve, ndo unaangukia kwa jitu mwaka haujaisha unastukia umeingia chaka!

ahahahaaaaa hapo umeelewaje? kwa anayetafuta au kwa aliyenae tayar
 
nothing special lakini mmezidi kutuchamba wanawake ati kisa tunaulizia ndoa

Lakini na ww mwanamke siusubiri man wako apropose mwenyewe willingly haraka ya nini ukiona hasomeki unasepa
 
MankaM umesema ukweli tatizo ni mfumo tulio nao mpendwa

hata tujikwatue vipi,tuonyshe upendo kivip kama mmwanaume hajapanga/kuamua kukuoa ni kazi bure jaman

mwanaume ndo mwenye finally say kwa matendo ya kuoa
wengi ukiulizia ndoa eeeh visa na vitimbi ndo vinanza na anaanza kukuona like unang"ang'ania ndoa.....

hawa watu wanataka watutumie tuu kwa faida zao watupotezee mda wetu tu

ni kuwa mkin na hawa wanaume
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom