RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,004
- 137,628
Ona sasa tunavyoendana,wote Man utd njoo basi hata tuangalie mpira pamoja, tukishinda tunapongezana tukifungwa tunaliwazana..Hapana avatar usibadili sijui sababu nampenda pogba au sababu me ni man u hiyo sura ya kiume huwa nakuogopa tu na mambo mengine sio kuhusu avatar