Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,498
- 85,845
Kwahyo nyinyi mnanuka kimataniš¤Ila bora wanaume, ukikutana na mwanamke ananuka ujue huyo ni ananuka serious š
Kwahyo nyinyi mnanuka kimataniš¤Ila bora wanaume, ukikutana na mwanamke ananuka ujue huyo ni ananuka serious š
VitunguušVinini?
Unatakiwa kumumunya, wewe unaona kinyaa tena.Vitunguuš
Siwezi mimi nimewaachia ninyi hayo mambo yenuUnatakiwa kumumunya, wewe unaona kinyaa tena.

Eti sick!!! Hatununui huu uongoš¤£Siwezi mimi nimewaachia ninyi hayo mambo yenu![]()
Kwamba??Eti sick!!! Hatununui huu uongoš¤£
Limao na tangawizi mkuu nwisho wa matatizo zinaondoa na nursingDeodorant zishawekwa hadi bei kuna zingine nasikia elfu mbili na mia tano tu, lakini pia limao nalo kiboko ya kikwapa, kiwembe sh 200 nadhani, maji ndoo sh 100, sabuni kipande 100, mtu ashindwe mwenyewe tu usafi
Kwamba eti huwezi, wakati unafanya!!Kwamba??
Mnuko wa mwanamke ni noma šKwahyo nyinyi mnanuka kimataniš¤
Utafanyaje na hakuna extra seat?Hahahahahahaha walai umenivunja mbavu, mmh jasho hilo kali halafu kwenye train, siwezi kukaa na mtu wa hivyo nitapaliwa, nitazimia.
Umeniona wapi nikifanya?Kwamba eti huwezi, wakati unafanya!!
Unatufuatilia sana, sijapenda!Mnuko wa mwanamke ni noma š