Wanaume pendeni usafi, mnanuka makwapa

Wanaume pendeni usafi, mnanuka makwapa

Ni ijumaa nyingine tulivu kabisa, nikiwa nafukiza udi nyumbani kwangu nikakumbuka kitu hiki, ukipishana na wanaume jamani ni aidha uzibe pua au ukubali kunukishwa harufu mbaya ya kwapa, inakuaje mwanaume umevaa vizuri tu ila unanuka kwapa na kuna vikata harufu vya kila aina kwa bajeti anayomudu mtanzania yoyote!!?

Juzi kati hapa nilikua sehemu nabarizi pembeni kulikua kuna wapendanao wanaogelea kwenye swimming pool, sijui ilikuaje yule mwanaume akanyanyua mikono juu yoh! nilihisi kutapika, makwapa yana manywele zimekua kama kapaka bleech yaani niliwaza sana yule mwanamke aliwezaje kukumbatiwa na mtu ana manywele yaliyochacha namna ile, nikawaza hiyo harufu ya kikwapa ikoje kwenye nguo zake na hata mwilini mwake, mmh wanawake wana huruma jamani ptuuuh!

Nimesikia kuna wengine wanavaa boxer mwezi mzima, seriously!!! unavaa nguo ya ndani mwezi mzima huo sio uchafu ni ukichaa kabisa hata humu mpoooo jirekebisheni, nyie ndio mnawapa wanawake zenu mafangasi ya uke,🤢

Hapo sijagusa wale mwenye uso mchafu pua imejaa vidude dude vyeupe, kidevuni ndio usiseme, hivi nyie wanawake mnawezaje kuwakiss watu wa hivyo mbona kinyaa jamani, scrub ya elfu 5 tu nayo mzozo!!

Ushauri wangu konky kwa wanawake kama mwanaume wako hajitunzi, hajipendi, ananuka makwapa, hataki kushave, tengenezeni kikundi chenu cha watu watano watano au kumi, mnakua mnasaidiana kukamkaba huyo mwanaume mchafu na kumfanyisha usafi kwa nguvu, eeh mbona mama zao walikua wanawakaba kunywa uji au wanawapiga bakora wakaoge, hebu anzeni hiyo kampeni mtokomeze harufu za vikwapa barabarani, mnatupa tabu sisi wengine yaani ukipishana na kundi la wanaume ni lazima uzibe pumzi ili tu ile harufu mbaya usiisikie,

Na nyie mnaoishi kwenye mikoa ya baridi habari zenu tunazo, mnakaa hata miezi mitatu hamuogi, mnanawa tu uso na kinywa, jamani uvundo lazima uwepo msijipe moyo ooh kuna baridi kwapa langu halitosikika harufu, tunasikia, wengine pua zetu nyembamba ndefu zinanusa hizo balaa,

Povu ruksaaaaaa😤😬
Kwa vile unapenda jinsia yako, siamini unaweza kuisemea vizuri jinsi pinzani
 
Sasa hivi kuna vile visplash vya 2k mtu hawezi shindwa kama anajijali.
 
mwanaume kunuka jasho muhimu kwa sababu ya kazi nzito.
Kuna wengne tunatoka tumevaa vizuri ila nguo za kaz zimo kwa begi.
kwahyo jion tukimalza kazi tunavaa nguo safi ili jamii istushangae kama misukule.

Sasa ukute maji hamna ntajifuta tu nakuva pamba nakurud nyumbani.

Kwahyo tuvumiliane kama ni jioni, ila kama ni ahsubh hapo ndo makosa
 
Tatizo kwapa linatema isiponyoa. Dawa ya kwapa kutoa harufu ni kuondoa nywele zote katika kwapa.
Ewaaa ndio nilichoshauri, nywele zitolewe zisiachwe hadi zibadilike rangi, kama mtu anaona uvivu kushave mara kwa mara afanye waxing inachelewesha kuota.
 
mwanzo nilijuaga wew ni KE.

siku za hv karibun ukaandka uz kama ME.

leo tena jamaa amekuambia amekumis, tena amekuita marr duu.
wew ni KE au ME?
Zama za jinsi na jinsia zishaisha, wewe enjoy mada nzuri kutoka kwa daktareeee
 
mwanaume kunuka jasho muhimu kwa sababu ya kazi nzito.
Kuna wengne tunatoka tumevaa vizuri ila nguo za kaz zimo kwa begi.
kwahyo jion tukimalza kazi tunavaa nguo safi ili jamii istushangae kama misukule.
Nimewahi kumsalim mtu yule yule mara mbili, tulikwenda site na baba yangu, tukamkuta fundi amevaa singlendi, jeans chakavu na mzura, baba akamwambia huyo fundi aje nyumbani na wenzake kula chakula wasihangaike kupika, tulipofika nyumbani tukakaa kama nusu saa wale mafundi wakaja ila walikuwa wameulamba mkandaa nje ndipo nikajikuta namsalimu yule ambaye sikumtambua site kutokana na mvao wake
 
Back
Top Bottom