Wanaume pendeni usafi, mnanuka makwapa

Wanaume pendeni usafi, mnanuka makwapa

Mambo ya wanaume wa Dar hayo. Utawakuta kwenye Daladala amevaa singlend yake makwapa yakiwa nje yanatema balaa.

Inasikitisha, plus alafu ya Pumbu wakiwa wamevaa vibukta vyao kwenye daladala.
Bora useme wewe Komando,
ni kero kubwa sana tunayopitia, binaadam kamili huwezi ruhusu jasho likutawale jamani
 
umenikumbusha kitu..!
Juzi nilikuwa kwenye train kikapita ‘kifaa’, kwanza ilitangulia harufu kali ya jasho, natazama mbele naona mtu kavaa wigi lake, kapaka lipstick mdomoni, kabandika zake kucha tena ndefu tu, (unaziona kwa ile swaga ya kurudisha wigi nyuma kwa mbwembwe😹), mikope kama yote, ila sura saaaasaaa ikanishtua,

Nikajiuliza mwanamke ananukaje harufu kali hivi ya jasho hata hajishtukii.!? kumtazama vyema, jizoooozii, kakomaa balaa, miguuni kavaa vikuku ila milonjo ina vigimbi vya Usain Bolt, kavaa kila kitu cha kike ila muonekano, haiba, harufu vinamgomea kabisa kuwa mwanamke..!

Nikajiambia tu afadhali hii harufu siyo ya mwanamke maana ingekuwa ni udhalilishaji kwenye (UWD), Umoja wa Wanawake Duniani walaqhi’..!!🙌🏾
Hahahahahahaha walai umenivunja mbavu, mmh jasho hilo kali halafu kwenye train, siwezi kukaa na mtu wa hivyo nitapaliwa, nitazimia.
 
Ni ijumaa nyingine tulivu kabisa, nikiwa nafukiza udi nyumbani kwangu nikakumbuka kitu hiki, ukipishana na wanaume jamani ni aidha uzibe pua au ukubali kunukishwa harufu mbaya ya kwapa, inakuaje mwanaume umevaa vizuri tu ila unanuka kwapa na kuna vikata harufu vya kila aina kwa bajeti anayomudu mtanzania yoyote!!?

Juzi kati hapa nilikua sehemu nabarizi pembeni kulikua kuna wapendanao wanaogelea kwenye swimming pool, sijui ilikuaje yule mwanaume akanyanyua mikono juu yoh! nilihisi kutapika, makwapa yana manywele zimekua kama kapaka bleech yaani niliwaza sana yule mwanamke aliwezaje kukumbatiwa na mtu ana manywele yaliyochacha namna ile, nikawaza hiyo harufu ya kikwapa ikoje kwenye nguo zake na hata mwilini mwake, mmh wanawake wana huruma jamani ptuuuh!

Nimesikia kuna wengine wanavaa boxer mwezi mzima, seriously!!! unavaa nguo ya ndani mwezi mzima huo sio uchafu ni ukichaa kabisa hata humu mpoooo jirekebisheni, nyie ndio mnawapa wanawake zenu mafangasi ya uke,🤢

Hapo sijagusa wale mwenye uso mchafu pua imejaa vidude dude vyeupe, kidevuni ndio usiseme, hivi nyie wanawake mnawezaje kuwakiss watu wa hivyo mbona kinyaa jamani, scrub ya elfu 5 tu nayo mzozo!!

Ushauri wangu konky kwa wanawake kama mwanaume wako hajitunzi, hajipendi, ananuka makwapa, hataki kushave, tengenezeni kikundi chenu cha watu watano watano au kumi, mnakua mnasaidiana kukamkaba huyo mwanaume mchafu na kumfanyisha usafi kwa nguvu, eeh mbona mama zao walikua wanawakaba kunywa uji au wanawapiga bakora wakaoge, hebu anzeni hiyo kampeni mtokomeze harufu za vikwapa barabarani, mnatupa tabu sisi wengine yaani ukipishana na kundi la wanaume ni lazima uzibe pumzi ili tu ile harufu mbaya usiisikie,

Na nyie mnaoishi kwenye mikoa ya baridi habari zenu tunazo, mnakaa hata miezi mitatu hamuogi, mnanawa tu uso na kinywa, jamani uvundo lazima uwepo msijipe moyo ooh kuna baridi kwapa langu halitosikika harufu, tunasikia, wengine pua zetu nyembamba ndefu zinanusa hizo balaa,

Povu ruksaaaaaa😤😬
Hata beberu ndio Hivyo Hivyo,hii ni kujitofautisha na wanawake!
 
Swala la kunuka Jasho ni serious case hasa mikoa ya Joto kma DSM & Moro.

Na shida ya Jasho muhusika ni kama anakua kaizoea harufu, ila majirani ndo kazi mnayo.

Nakazia Deodorant ni 6000/= unatumia mwezi mzima, Itakuokoa na Mengi maana shida ya wanaume sio kuoga ila ni KURUDIA NGUO hasa masharti/tshirt
Thank youuuu, nashukuru pia umewawekea bei ya deodorant labda walidhani kunukia ni gharama, wakishindwa kabisa wajisugue na limao makwapani
 
Ni ijumaa nyingine tulivu kabisa, nikiwa nafukiza udi nyumbani kwangu nikakumbuka kitu hiki, ukipishana na wanaume jamani ni aidha uzibe pua au ukubali kunukishwa harufu mbaya ya kwapa, inakuaje mwanaume umevaa vizuri tu ila unanuka kwapa na kuna vikata harufu vya kila aina kwa bajeti anayomudu mtanzania yoyote!!?

Juzi kati hapa nilikua sehemu nabarizi pembeni kulikua kuna wapendanao wanaogelea kwenye swimming pool, sijui ilikuaje yule mwanaume akanyanyua mikono juu yoh! nilihisi kutapika, makwapa yana manywele zimekua kama kapaka bleech yaani niliwaza sana yule mwanamke aliwezaje kukumbatiwa na mtu ana manywele yaliyochacha namna ile, nikawaza hiyo harufu ya kikwapa ikoje kwenye nguo zake na hata mwilini mwake, mmh wanawake wana huruma jamani ptuuuh!

Nimesikia kuna wengine wanavaa boxer mwezi mzima, seriously!!! unavaa nguo ya ndani mwezi mzima huo sio uchafu ni ukichaa kabisa hata humu mpoooo jirekebisheni, nyie ndio mnawapa wanawake zenu mafangasi ya uke,🤢

Hapo sijagusa wale mwenye uso mchafu pua imejaa vidude dude vyeupe, kidevuni ndio usiseme, hivi nyie wanawake mnawezaje kuwakiss watu wa hivyo mbona kinyaa jamani, scrub ya elfu 5 tu nayo mzozo!!

Ushauri wangu konky kwa wanawake kama mwanaume wako hajitunzi, hajipendi, ananuka makwapa, hataki kushave, tengenezeni kikundi chenu cha watu watano watano au kumi, mnakua mnasaidiana kukamkaba huyo mwanaume mchafu na kumfanyisha usafi kwa nguvu, eeh mbona mama zao walikua wanawakaba kunywa uji au wanawapiga bakora wakaoge, hebu anzeni hiyo kampeni mtokomeze harufu za vikwapa barabarani, mnatupa tabu sisi wengine yaani ukipishana na kundi la wanaume ni lazima uzibe pumzi ili tu ile harufu mbaya usiisikie,

Na nyie mnaoishi kwenye mikoa ya baridi habari zenu tunazo, mnakaa hata miezi mitatu hamuogi, mnanawa tu uso na kinywa, jamani uvundo lazima uwepo msijipe moyo ooh kuna baridi kwapa langu halitosikika harufu, tunasikia, wengine pua zetu nyembamba ndefu zinanusa hizo balaa,

Povu ruksaaaaaa😤😬
Hili ni suala mtambuka mkuu.

Mchafukoge si kwa wanaume tu, ni jinsi zote wapo.

Nilitegemea hapa uwazodoe wote.
Tatizo umebagua wakati uchafu hauchagui jinsia!
 
Back
Top Bottom