Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,523
- 18,253
- Thread starter
- #121
Sio kweli, wanaume pendeni usafi jamani kwani sh ngapiHizo ni harufu za nguvu, mtoto wa kike huwezi kuelewa haya 💪
Sio kweli, wanaume pendeni usafi jamani kwani sh ngapiHizo ni harufu za nguvu, mtoto wa kike huwezi kuelewa haya 💪
Ianzwe kwanza ilimu ya usafi wa mwili na kinywa kwa wanaume, hali ni mbayawatu wapewe ilimu ya afya ya uzazi na personal hygiene
Nimecheka 😅😅😅mimi naona na fire wahusishwe pia, wawapulizie yale maji hasa makwapani zoezi likisimamiwa na JKT😂😂
unajikaza tuOMG!
siwezi kurisk afya yangu ya kunywa namna hio🤣
hapan mam kwenye hio sector siko vizuri 😁unajikaza tu
Sa itakuwaje 😒hapan mam kwenye hio sector siko vizuri 😁
kwenye hio angle nooSa itakuwaje 😒
dar maji n ya chumvi. nikivaa shati sku moja afu nifue manake baada ya week au mwezi hilo shati lishapauka halifai. ndo mana angalau tunaforce kuvaa hata sku 2.Kwa kweli inabidi elimu ya usafi itolewe zaidi, ila wenye matatizo hayo ya kiafya ni wachache, wengi wao ni uchafu wa mwili na nguo, kwa Dsm hii mtu anavaa shati siku mbili au tatu kweli jamaniiii,
Nakwambia wakabwe waoshwe makwapa wasuguliwe na limao
Harufu ya Me inavumilika sio ya mwanamke, jasho la Ke linatema dadeki. Sijui huwa no jasho pekee au kuna vingine vibatoaga harufu.Mkimaliza kuwasema wanaume,.
Tuje kwa wadada Jamani kuna MABINTI wananuka kwapa,. Yaani kwapa la binti linatoa harufu kama la mwanaume 🥺🥺
UhakikaKula lazima kuoga ni hiyariii 😁😁
Dahh sawakwenye hio angle noo
Nini bwana wee kaoge huko!Tunafanya kazi nzito bwana msituzingue!!
Hahahaaa wanawake sometimes huwa hamsomeki.Nani kakwambia harufu ya kibeberu ni stahamilivu!? mnatupa tabu bhana kunuka sio sifa, na hao wanawake wanaonuka kisamaki maradhi mnawapa nyie msiofua boxer zenu wala mashuka, usmart uendane na usafi
Posta feri hujambo?Tunao nuka kisamaki tuna ruhusiwa kucomment hapa?
Toa neno ndogo ndogoUsafi ni muhimu sana...kwa zama hizi zipo Deodorant hadi za eflu 2 mia 5 ,ndoo ya maji Ths 100 tena kuna vyoo vya kulipia kuoga jero.
Kunuka kwapa ni uchavu uliopitiliza.
Wanawake wanaongoza kwa usafi ukiachilia changamoto ndogo ndogo za kwa Bi Nyau.